SAMBO #INCHARGE 369

2.9K posts

SAMBO #INCHARGE 369 banner
SAMBO #INCHARGE 369

SAMBO #INCHARGE 369

@sambo_soweto

The Genuine one,An Alpha Male,Introvert&Aquarius. I'm a rule maker or breaker. #RespectTheOGs

Katılım Ekim 2024
234 Takip Edilen123 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
SAMBO #INCHARGE 369
SAMBO #INCHARGE 369@sambo_soweto·
TUNDUMA - A place where I learn to Love and Love to Learn. God is good all the time.
English
0
2
5
524
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Je ni sahihi Yao kwasi kuwekwa Benchi na Isla Mwenda.? 👇👇 Me:Hapana si sahihi Wewe: 👇👇
Mr.Mbeya tweet media
Filipino
15
2
102
7.6K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026. Taarifa hiyo ya Hilda ilikuwa inasema kuwa, Serikali imepanga kumuua Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa risasi hivyo Ili kukamilisha uchunguzi, Jeshi la Polisi limemwelekeza Hilda Newton afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai iliyopo katika Jengo la Makao Makuu Ndogo ya Polisi iliyopo Mtaa wa Ohio Jijini Dar es Salaam tarehe 24.4.2026 saa nne (4) asubuhi ili aweze kuwasilisha ushahidi aliosema na kutangazia umma kuwa anao. Jeshi la polisi limesema hatua hiyoni kwa mujibu wa kifungu cha 11 (2) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2023. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Filipino
51
21
363
70K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
-Yanga kabla hawajamdai Oruma Bilioni 10 kwa kuwachafua wamemtaka awaombe radhi pamoja na Efm na TVE kushusha post zote zinazoonekana matamshi yake yaliidharirisha Yanga. Ningekuwa mimi Oruma ningewaomba radhi hadharani kabisa...Tena ningerekodi video clip ya kuwaomba radhi na kuipandisha Mtandaoni Kwanini...? 1)Yanga wanaweza kushindwa kesi ya Morrison ila kesi ya hivi hawashindwi nakuambia...wote tunajua! 2) Kwenye hii Nchi linapokuja suala la Simba na Yanga hata wakili wako anaweza kukusaliti akaacha kutokea Mahakamani ukaishia jela! 3) Tuhuma za Kuihusisha Yanga na rushwa/upangaji wa Matokeo haijaanzia kwa Oruma, Mamlaka inajua lakini wa kuthibitisha hayupo...Suala la kipa wa Tabora United liliishaje? 4) Kuomba radhi hata bando la jero haliishi...Aombe radhi...Yanga ni wakubwa sana kwenye hii Nchi...Hawezi kutoboa japo kila mtu anajua alichosema Oruma ndio ukweli wenyewe! Nafunga hizi Story siziongelei tena ✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
43
6
101
21K
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Mzee wa jambia mmoja kaitikisa yanga nzima kuanzia mashabiki mpaka viongozi wameanzisha campaign ya kum unfollow kwenye social platforms Yanga wana utoto sana yaani wanapenda ku attack wachambuzi taasisi kubwa kama yanga mnapoteza muda ku attack wachambuzi kuliko kuboresha timu
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
22
8
48
2.6K
jonnibo
jonnibo@Dunia__tunapita·
@kirigitim Usalama wa taifa wanafanya kazi kubwa mno na akitoa taarifa kama io anapata bonasi kazi ni sasa kumjua uyo muokota makopo mara muuza maji usishangae mpiga debe stendi mara mtu furani ivi smart ila hana kazi😂😂
Filipino
1
0
0
249
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Hivi hapa Tanzania kuna sehemu ina baridi kuliko makete
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
29
10
142
6K
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Kupata kazi bila kuombwa chini ni ngumu sana.. Nimechoka😔
Filipino
184
164
1.4K
70.8K
Hamadi.Mbeyale🔥🔥
Hamadi.Mbeyale🔥🔥@hamadimbeyale·
Huu ni upumbavu. Waliotayari tutakwenda nao ,wenye kutumika kama wewe tutawaacha. Haki haiombwi inapiganiwa na kutafutwa.
Filipino
53
31
161
12K
HATUSHINDWANI BEI STORE.
HATUSHINDWANI BEI STORE.@zizujo01·
Wapwa mliopiga hapa, bei elekezi ipoje Aliniambia 800k, nikachora kummamke.
HATUSHINDWANI BEI STORE. tweet media
Polski
46
15
316
77.9K
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Tanga ni mkoa ambao siupendi na nauchukia sana, week hii nilienda kwenye msiba baada ya kufika akahifadhiwa yule Mama na kikapita kisomo pale, baada ya pale kwenye mlango wa marehemu tukiwa nje alitokea Mtu kavalia nguo nyeupe kama Sanda mwili mzima na usoni kapaka vitu vyeupe 👇🏻
Indonesia
41
26
494
56.2K
SAMBO #INCHARGE 369 retweetledi
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Only for Footballers How Does Mudathir Being MOTM over Allan Okhelo.? 🙄
Mr.Mbeya tweet mediaMr.Mbeya tweet media
English
9
9
309
7.4K
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Yanga akikutana na timu zinazodhaminiwa na GSM mechi zao zinakuwa nyepesi sana lazima Ila akikutana na timu zisizo dhaminiwa na GSM anapata tabu sana kupata matokeo
Filipino
36
11
113
4.5K
SAMBO #INCHARGE 369 retweetledi
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Lakini unamfuatilia.....😃😃😃! Mie nipo SAWA SAWA...🥑😃😃!!!na walioshirikiana kuniita MSALITI wakageukana na kuitana WASALITI kwa lugha NGUMU sana . Ukikua (unaonekana bado mtoto) utakuwa makini sana kwa kila neno unalolisikia kwa binadamu mmoja ...dhidi ya mwingine..... ! Glad unanichukia...lakini unanichungulia 😀😀😀!
MANDELA@seeeker_tz

@halimamdee Msaliti

Indonesia
98
20
350
52.9K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuufungia uwanja wa Jamhuri, Dodoma kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Taarifa ya leo Machi 22, 2026 iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa miundombinu ya uwanja huo haikidhi matakwa ya Kanuni kama ilivyoainishwa kwenye masharti ya Kanuni ya Leseni za Klabu. “Kufuatia uamuzi huo, timu zinazotumia uwanja huo kwa michezo yao ya nyumbani zitalazimika kutumia uwanja mwingine kama Kanuni inavyoelekeza mpaka uwanja wao utakapofunguliwa baada ya kufanyiwa marekebisho na kukaguliwa na TFF.” imesema sehemu ya taarifa hiyo. TFF imezikumbusha Klabu zote kuendelea kutunza na kuboresha miundombinu ya viwanja. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
8
7
126
7.3K
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Umewahi kujiuliza ni kwann mwanaume anaweza kuoa wanawake zaidi za mmoja lakn kwann mwanamke hawezi kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja..?
Indonesia
14
16
38
1.2K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Hapa sio Uwanja wa ngumi 🥊 ni kwenye Uwanja wa Mpira 🏟️ Huyo aliyekaba Mtu sio Bondia ni Mchezaji wa Mpira. 😁 Huyo aliyekabwa Roba sio mtuhumiwa ni Meneja wa Timu. 🤔 Guyz! Narudia na Nitazidi kurudia NIDHAMU! NIDHAMU! NIDHAMU! Hii (Djgui Diarra) Hatoki! Adhabu kubwa Inakuja Kwake🔒 ili iwe fundisho kwa wengine. Hata mkinitukana hakuna Tusi jipya. NB: Mchezaji hata uwe mzuri vipi Kiwanjani Ukikosa nidhamu tu, Unashusha thamani yako kuanzia Jamii mpaka Timu za Mpira. ⚽️🚮 Tumeshuhudia wachezaji wengi wenye nidhamu mbovu, Lakini mwisho wao ukawa mbaya. Diarra amekuwa akifanya hizi tabia hata akiwa Timu ya Taifa ila sio kwa Namna hii, kwenye ligi yetu anafanya mazoea kwa kuwa hajawahi kuchukuliwa Hatua.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
20
9
106
9.1K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ KAMA UMEFIKISHA MIAKA 28….. 1. Punguza matumizi ya Sukari 2. Punguza matumizi ya Chumvi nyingi 3. Acha kunywa pombe 4. Acha kunywa Energy Drinks 5. Acha kunywa Soda 6. KUNYWA MAJI MENGI
Indonesia
23
35
219
6.7K