_.Cousin🇹🇿

23 posts

_.Cousin🇹🇿 banner
_.Cousin🇹🇿

_.Cousin🇹🇿

@Muafrika26

Psalm 116:7

Pwani, Tanzania Beigetreten Mart 2022
685 Folgt401 Follower
_.Cousin🇹🇿
_.Cousin🇹🇿@Muafrika26·
@EngMapundajr 😂😂ndo malawi sasa barabara haina hata miezi 6 tayari ina mashimo ukienda kuangalia budget ni B kadhaa
Filipino
1
0
1
63
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
@Muafrika26 Lami mpya na tayari zina mashimona bado hawataki kupima mzani ok 😂🤝
Filipino
2
0
2
1.2K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Hizi zote ni za Usiku wa kuamkia leo.,Acha tuendelee kuamini Busses kusafiri usiku hakuna tatizo tutafika tu tunapotaka kwenda 🤝
Eng.Mapunda Jr tweet mediaEng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
68
24
309
34.2K
_.Cousin🇹🇿
_.Cousin🇹🇿@Muafrika26·
@ze_mandevu kichungi~ chujio kisiagi~ mashine ya kusaga mbona ~ kwa nini keja~ nyumba/ geto kifunguo~ ufunguo
Indonesia
1
0
4
1.7K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Wakenya Kiswahili chao kina sound funny sana. Mfano "Story za jaba" ni story za uongo na "Ushagoo" ni Kijijini, ongezea unayoijua wewe hapo kwa comment.😂
The mandevu tweet media
Indonesia
78
39
514
62.7K
_.Cousin🇹🇿
_.Cousin🇹🇿@Muafrika26·
@Kaponda_077 Uncle shida kubwa ni uwe na watu wakuwachezesha maana unaeza fungua duka ila winga wa kuwa chezesha kuwapa zoezi ukakosa.. kabla ujaanza tafta channel ya watu wa kuwachezesha kwanza
Indonesia
1
0
5
1.2K
Kaponda Jr
Kaponda Jr@Kaponda_077·
Nipe changamoto mbili tatu za hii biashara kabla sijaingia nizingatie nini na nini 🤝
Kaponda Jr tweet media
Indonesia
34
39
458
48.6K
BOB SANCHOO™
BOB SANCHOO™@Bob_sanchoo·
Kizurii kula na wenzio Ikikupita hii Rudi shamba kalime Korosho.😅
BOB SANCHOO™ tweet media
Eesti
34
22
213
17.3K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hivi kati ya 1. CRDB 2. NMB 3. NBC 4. EQUITY 5. STANBIC Bank gani nzuri ya kutunzia hela na yenye makato nafuu?
Filipino
83
42
335
49K
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
Hivi New Best Line Timetable yake ni saa ngapi Dar es salaam - Mwanza? Ni kwamba anaubonda mwingi chini kwa chini ama anadebwela?
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Filipino
10
4
96
4.3K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Yaani kuna watu wameumia kabisa Askofu Joe Gwajima kukemea utekaji? Kuna viumbe wamekwazika Ask. Joe Gwajima kuunga mkono hoja za NRNE? Hawa watu ni kwamba wanafurahia watu kutekwa na kuuwawa? Wanafurahi watu kuporwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa? Au ndiyo watekaji wenyewe?
Indonesia
35
254
1.9K
64.2K
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira? 1. Degree of Law 2. Degree of Medicine 3. Degree of Mass Communication 4. Degree of Computer Science Ongezea Degree moja hapa tuone?
English
132
55
779
103.2K
_.Cousin🇹🇿
_.Cousin🇹🇿@Muafrika26·
@Adventure_36 Ni logic rahic sana. kwa nn wasifanye izo barabara ziwe za kulipiwa kama kenya, eg. gari ndogo zilipie 3000-5000 kwa lisaa, maana ukipiga foleni iliyopo kwenye Morogoro road ni kubwa, imagine wakifungua izo barabara za mwendokas ya Gomz,mbagala na Tegeta. @tanroadshq @tanpol
Indonesia
0
0
1
89
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Jeshi la Polisi Kanda Maalum mkoa wa Dar es salaam limekamata madereva 289 waliopita kwenye barabara ya Mwendokasi, Bodaboda 61 Bajaji 65 Magari ya Serikali 35 Magari binafsi 123 41 walionywaa Jamani msipite barabara za Mwendokasi wazee saiv hawachek na wowote
Indonesia
30
25
461
27.3K
_.Cousin🇹🇿
_.Cousin🇹🇿@Muafrika26·
@julip202 shida so division mkuu muda wengine inawezekena ni kwenye ku apply kuna vitu huenda alikosea.. ila asikate tamaa aende ofisi za mkopo pale tazara akaongee nao ata pata, wapo wengi walifanya ivyo na wamepata
Indonesia
0
0
0
192
AiS
AiS@Fiendlyg·
DROP HANDLES we follow you ,👏🏾
English
181
48
254
6.5K
_.Cousin🇹🇿
_.Cousin🇹🇿@Muafrika26·
@moodewji planning(mipango) Vs Execution(utekelezaji) they depend on each other you cannot execute thing which you have not plan NB you can plan thing that you cannot execute, in real world sometimes execution is most important. But deep down planning and execution depends on each other
English
0
0
1
53
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Planning vs. Execution: which is most important? And why?
English
149
27
229
44K