Mudrìck
16.9K posts


@iamkizzyh @Zephania_Ndaki Filter inatabia ya kumfanya mtu aonekane ana sura mbili tofauti.
Indonesia

Huyu demu kuna time anakuwa mbovu kama hapa alafu kuna time anakuwa mzuri kmk
BOB SANCHOO™@Bob_sanchoo
Huyu jamaa na huyu bi dada kumbe ni wapenzii wa muda mrefu sikujua kabsa👏👏
Filipino

Mojawapo ya mikoa iliyobarikiwa Tz ni Kilimanjaro 😍
Nani anabisha nimletee parachichi?

Sarafina@Finah_Business
Good morning wapenzi 📌Pressure cooker yetu inapika kila kitu kwa haraka; kande, ugali,ndizi, mboga mboga..n.k E.g beans/ meat ni 30mins tu inaiva Tsh 120,000 Sufuria mbili, Lita 6 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa Mikoa yote tunatuma
Indonesia
Mudrìck retweetet

@khalid_benju @Adventure_36 @Kariakoo_ Hakuna aliyeandikiwa kuwa maskini wala tajiri mzee pambana, mambo ya ukitoa unaongezewa usiyaamini sana.
Filipino

@Mudrick02 @Adventure_36 @Kariakoo_ Saidia watu ww acha roho ya korosho kama umeANDIKIWA KUWA TAJIRI UTAKUWA TAJIRI NA KAMA UMEANDIKIWA UTAKUWA UTAKUWA MASIKINI UTAKUWA MASKINI TU TENA KAPUKU HASWAA CHA KUKUSHAURI ACHA ROHO YA CHOYO WW KIZURI KULA NA NDUGU YAKO UKITOA UNAZIDI KUBARIKIWA ,AU UTAKI KUBARIKIWA WW?
Indonesia
Mudrìck retweetet
Mudrìck retweetet

Kibongo bongo kashapigwa faini tayari😀😀
mTusi original 👦@mTusiOriginal
Najua wengi mmekuwa mkijiuliza kwa nini Michael Olise kabla ya mechi huwa anasugua pichi kisha anarudi vyumbani?😂 Jana aliulizwa na waandishi wa habari, akajibu hivi, "Kama unacheza mpira unaelewa kuna aina tofauti za studs kuna za pichi ngumu, laini, na za kati.Mimi huwa naja👇
Filipino



















