Watu wenye hela kummako zenu mkizoesha hawa mademu kuwapa hela na kuwapeleka sehemu za gharama WAOENI,, huyu namtongoza ananiambia twende dinner date nikaongee shida zangu wakati mm nimezoea dinner date anakuja kuilia geto💔🙌
Tajiri namba moja Afrika na tajiri namba 69 duniani @AlikoDangote amezaliwa leo na anatimiza miaka 69 alizaliwa 10.4.1957 mmiliki wa Dangote Group inayomiliki viwanda vya Saruji (Dangote Cement), Sukari (Dangote Sugar),Mafuta na Gesi, Chumvi na Unga.
Tajiri aliyesomea biashara chuo cha Al- Azhar pale Misri, utajiri wake ni tokea enzi za babu yake aliyekuwa tajiri mkubwa sana.
Alianza biashara kwa mkopo kutoka kwa mjomba wake mwaka 1977.
Tushirikiane kumuwish, Anasoma comments📌
Vijana wa Western countries wana code apps, wana-connect na investors plus wengine wana build portfolio ili kujikwamua kiuchumi, huku Africa vijana wanavaa rubber band, na cheni zenye ndimu kiuononi ili nyeti zisipotee. Ni huzuni
@EsirEid Mzee Ameumia mnoo Mana hao watu ndo walikuwa wanamsupport 2024 baada ya kumuona haeleweki wamemkataa ni uzuni kwa kweli kwa Trump imemuuma mno hiyo Mzee kalipuka nyongo ya KISWAHILI 🤣😁
Msanii Matonya anatuhumiwa kubaka uko Kenya,
Amemuingilia kwa nguvu mwanamke mmoja uko Kenya bila ridhaa yake na pia alimgusa mwanamke mwanamke huyo sehemu za siri bila ruhusa yake.
Dhamana milioni 10 kwa pesa ya Tanzania na mdhamini awe raia wa Kenya.
Mmmh
Mwanamke pekee ambae amewahi kunionesha mapenzi ya kweli, Tumesoma wote primary secondary akaenda St. Mary's International School Moro. Tukaja kukutana tena Mzumbe penzi likaendelea, 2nd yr akapata Scholarship akaenda Korea, na hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwisho kumuona Jouber💔
@Mudrick02@Adventure_36@Kariakoo_ Saidia watu ww acha roho ya korosho kama umeANDIKIWA KUWA TAJIRI UTAKUWA TAJIRI NA KAMA UMEANDIKIWA UTAKUWA UTAKUWA MASIKINI UTAKUWA MASKINI TU TENA KAPUKU HASWAA CHA KUKUSHAURI ACHA ROHO YA CHOYO WW KIZURI KULA NA NDUGU YAKO UKITOA UNAZIDI KUBARIKIWA ,AU UTAKI KUBARIKIWA WW?
@iSlimfit A system built on trust, where even those who might be causing trouble quickly fall in line the moment the police are mentioned. It reflects a society structured to protect people, property, and public order.
Sometimes, I silently praise how genuinely safe the UK is. You walk freely at midnight, you take the tube alone, you leave your laptop on a coffee shop table while you use the bathroom… or even forget your laptop bag on the train and it somehow finds its way back to you.