
TEAM Samia 🇹🇿
654 posts

TEAM Samia 🇹🇿
@PresidentSamia
🇹🇿🌿☀️President Samia Fans☀️🌿🇹🇿 🟩🟨🟩🟨🚧Building a Better Tanzania.🚧 🟨🟩
Makunduchi, Zanzibar Beigetreten Ağustos 2023
109 Folgt85 Follower
Angehefteter Tweet

🇹🇿FALSAFA YA AWAMU YA SITA🇹🇿
Samia’s 4Rs •Reconciliation •Resilience •Reforms •Rebuilding @SuluhuSamia @ccm_tanzania
Indonesia

Dear President @SuluhuSamia ,
Your steadfast leadership and unwavering commitment to Tanzania are truly inspiring. In the face of challenges, you've guided with grace, strength, and unity. Your efforts bring hope to many. Keep leading with courage. Tanzania stands with you.
English



My Goal is to have atleast 10,000 people that I will follow and be interacting with.
One big twitter Family.
So as we approach the 31st let's build this together.
Good things are coming your way.
#TukutaneGardenCity

English


. @officialzuchu uliimba “wapinzani watetereke sana.. Tanzania ya CCM inawakawaka”.. eeh! Ulifikiri umeme utakatika kwa wapinzani wa CCM tu? Au ulijua nyumbani kwa SADALA ni Ikulu umeme haukatiki? Mbezi Beach anaishi hadi Lipumba.. kula chuma hicho Zuhura.. pandisha bendera.

Indonesia



Akizungumzia kero ya foleni ya Dar katika mkutano na Wamiliki wa Bar, Night Clubs na Grocery, Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema, "Mtu anaweza kusimama akisema 'Dar foleni sana Serikali haijafanya kazi kupunguza foleni', kuna vijiji vingi havina foleni hamia kwenye Kijiji ambacho hakina foleni"
Ameongeza, "Aliyesababisha foleni Dar ni Mimi na wewe tulionunua gari. Serikali imewezesha Watu kununua magari na Rais anajenga Mabarabara, fly over kila kukicha lakini kila akijenga fly over kinakuwa kivutio cha wengine kutoka Kijijini kuja Mjini"
Katika Miezi ya hivi karibuni wadau mbalimbali wa JamiiForums.com ambao ni wakazi wa Dar wamekuwa walikalalamikia kero ya foleni katika maeneo mengi na kutoa wito kwa Serikali kushughulikia kero hiyo
Soma jamii.app/FoleniDarChala…
#JamiiForums #ServiceDelivery #JFHuduma #Accountability #Uwajibikaji #Governance

Indonesia


Tshisekedi aapa kuingia vitani dhidi ya Rwanda mwananchi.co.tz/mw/habari/kima…
Indonesia




Huyu dada napingana naye kwa Mengi
Kuolewa ni Muhimu Kama ilivyo kuoa ni Muhimu
Kuna muda ntapata nieleze madhara ya kuto oa na kutoolewa
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
Huyu dada yupo sahihi sana ila kwa sababu kuna walinzi wa mfumo dume wasiopenda kusikia ukweli, atanyooshewa vidole sana. Wakati mtoto wa kiume anaota mandoto makubwa kwenye maisha, mtoto wa kike analazimishwa kuwaza ndoa tangu akiwa mdogo. Sio łazima!
Indonesia


Wizara ya afya inatumia Sh35.29 bilioni kununua magari hewa (pesa zimeliwa), wanawake wajawazito kituo cha Afya Buzuruga (Ilemela), Mwanza wanajifungua katika sakafu kwa foleni. Hakuna vitanda katika chumba cha kujifungua
@ummymwalimu anaweza kuwa mwanamke katili zaidi Tanzania.


Indonesia

“Katiba mpya kuiunda kuifumua yote ni zaidi ya miaka mitatu hata saba ni kwasababu ukitaka kupita kukusanya maoni kwa wananchi wote sio jambo la miaka miwili labda sasa itumike busara sasa kwakuwa tumeridhiana sasa na hayo maridhiano yameleta amani itumike busara ya kuona tunaendaje kwenye uchaguzi” - David Daudi Mwaijojele, Mwenyekiti Chama cha CCK #SupaBreakfast #EastAfricaRadio

Filipino

Ni changamoto zipi wanapitia mama wajawazito katika eneo lako?
Maoni yako yatasomwa katika kipindi cha Jambo Tanzania
#JAMBOTANZANIA

Filipino

Raisi Samia Mubashara Na Wakuu wa shule za sekondari nchini. #MamaYukoKazini #KaziIendelee
@ccm_tanzania @ccm_zanzibar
Indonesia


"Utawala wa awamu ya tano siasa ilikuwa ngumu sana hii kuliminywa, watu walikuwa hawawezi kuongea tulikuwa kiukweli hatusikiki lakini sasa ili siasa irudi kwenye mrengo wake mahala pake lazima ipatikane amani, amani inazaa kila kitu maendeleo mafanikio na kila kitu kinakuwepo”
“Kwahiyo ili tuweze kufanikiwa sote Rais akagundua ni kukaa pamoja ndo maana akaita machifu, wazee wakimila, viongozi wa kisiasa ,viongozi wa dini makundi mbalimbali ,asasi za kiraia kuhoji wanaonaje mambo yanavyo kwenda kila mtu akatoa maoni yake ndio maana tukafikia maridhiano na ndio maan vikao vyote unavyoona vinafanyika kwa sasa hakuna kundi linalosahaulika” - David Daudi Mwaijojele,Mwenyekiti Chama cha CCK #SupaBreakfast #EastAfricaRadio

Indonesia


Taarifa ya CAG 2021/22 inaeleza; Wizara ya Afya chini ya @ummymwalimu iliagiza bidhaa zenye thamani ya Sh30.18 bilioni ikiwemo (dawa na vifaa tiba) vilivyopo katika maghala ya Bohari ya Dawa ya Taifa (MSD), vilikuwa vimekwisha muda wa matumizi.
Wizara ya Afya, ikaidhinisha bajeti kwenda kununua vifaa tiba vilivyo’ expire, na kununua dawa kwa ajili ya matumizi ya binadamu ambazo muda wa matumizi umekwisha (expire). Wakachukua na kuhifadhi katika maghala ya MSD. Hawa watu ni WAUAJI.
Kwa kuwa Ummy Mwalimu na familia yake hawatumii dawa na vifaa tiba katika hospitali, vituo vya afya, zahanati za serikali (akiugua anatibiwa nje ya nchi), akaona ni sahihi kuwaletea watanzania dawa za binadamu ambazo vimekwisha muda wa matumizi.
Je, Ummy Mwalimu anastahili kuwa Waziri wa Afya za watanzania? Waziri wa Afya asiyejali ustawi wa maisha ya watanzania? Watanzania wangapi wamepata madhara kutokana na kutumia dawa hizo? Ummy Mwalimu anastahili kuwepo gerezani.
Brigedia Mtikila, MMM.


Indonesia










