DODOMA: Sehemu ya hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Mei 25, 2026, alipokuwa akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Zaidi tembelea jamii.app/KatambiAskariK…#JamiiForums#Governance#Utawala
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameyasema hayo Mei 25, 2026 alipotembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu ya Tanzania (#TFF), Ilala, Karume.
Una maoni gani Mdau?
Zaidi tembelea jamii.app/ChalamilaTozo#JamiiForums#Utawala#Governance
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, aliyasema hayo alipozungumza na wananchi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Kichangani, Iringa, Mei 23, 2026.
Nini maoni yako Mdau?
Zaidi jamii.app/MwiguluNukuu#JamiiForums#JFNukuu#UtawalaBora
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji "daladala", ambao Mei 25, 2026 walifanya mgomo wakidai kutokupewa taarifa za faini wanazotozwa na LATRA, kukaa pamoja na mamlaka husika ili kutafuta suluhisho.
Kwa upande wake, kiongozi wa LATRA amewaomba viongozi wa madereva hao kukaa pamoja na mamlaka hiyo kujadili changamoto zao ili kwa pamoja kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto hizo.
Zaidi tembelea jamii.app/MgomoMadarevaA…#JamiiForums#Uwajibikaji
DODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Mei 25, 2026, amewasilisha Bungeni Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, akiomba kuidhinishiwa Tsh. trilioni 2.44 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara.
Yapi maoni yako?
Zaidi jamii.app/KatambiBajetiM…#JamiiForums#Utawala#Governance
KUMBUKIZI: Sehemu ya mjadala katika Bunge la 10, Mkutano wa 18, Kikao cha 3, uliofanyika Januari 29, 2015, ulihusisha Mbunge Tundu Lissu akichangia hoja huku Spika wa Bunge, Anne Makinda, naye akitoa muongozo.
Hoja iliyokuwa mezani ilikuwa ni tukio la Mwenyekiti wa CUF wa wakati huo, Prof. Ibrahim Lipumba, kupigwa wakati wa maandamano yaliyoongozwa na chama hicho.
Kushiriki mjadala huu jamii.app/BungeLa2015#JamiiForums#Siasa#JFKumbukizi
Baadhi ya kero za Watumishi zilizoripotiwa ndani ya JamiiForums.com kupitia jukwaa la “KERO”
Nawe unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com 📌
#JamiiForums#JFMdau2026
🧵👇 Inaendelea kwenye comments