BiDi🤝

227.9K posts

BiDi🤝 banner
BiDi🤝

BiDi🤝

@Raphaeligp

Juu🌝 chini🙃

Tanzania Beigetreten Ocak 2022
2.1K Folgt8.7K Follower
Angehefteter Tweet
BiDi🤝
BiDi🤝@Raphaeligp·
NJIA YA KUVUNJA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA UMPENDAYE. (Hakutaki ila wewe unamtaka) Uzi. 💔
BiDi🤝 tweet media
Indonesia
66
164
448
84.4K
Gabbar singh
Gabbar singh@cindaramadhan·
@Labella_Mafia95 ukitaka kuoa fuga kuku kwanza...ukiweza pirika pirika zao mara wasile mtama wawatu mara kuwatafuta muda wa kuingia bandani..hapo oa mana pirika utakua unaziweza😂😂
Indonesia
2
0
30
2.3K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Nilikuwa najiulizaga sana kwa nini janja hakuwa hajaoa na ni mtoto wa kiislam, sasa kaoa juzi tuu alafu tena kaiachia ndoa — si angepigana hata kidogo basi just to keep his marriage jamani hata kwa mwaka mmoja!
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
47
18
598
25.4K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
@chiefgodlove1 Tajiri hapa Umemaliza kila Kitu, Sema maskini wa Humu wata comment vibaya hapa 😀😀
Indonesia
32
1
109
21.3K
Chiefgodlove_billionaire
Chiefgodlove_billionaire@ChiefGodlove666·
Kipindi Hiki nilikua namiliki libraly na ghetto pekee lakini cha zaidi nilichokua namiliki ni kujua na kuamini kwamba nitakua tajiri kwa njia yeyote kuna kipindi kilifika kulkua kuna option ya kuchagua ni either nife nipate maradhi ili nitajirike au niendelee kuishi kwenye maisha haya nikachagua njia moja bila kuangalia kushoto kulia wala pembeni niliangalia mbele nilinyeshewa na mvua jua liliniwakia nilipitishwa kwenye moto mkali kufedheheshwa kuzalilishwa kukatishwa tamaa kuonekana sifai nikiwa napitia hizo changamoto nikawa najiambia mimi sio maskini wala sio mnyonge ni bola nikafa nikiwa vitani kuliko nikaishi nikiwa maskini nmepitia challenges nyingi mpaka kufika hapa hatimae leo mungu kaniinua aijalishi unapitia kwenye magumu gani sasahivi amini ya kwamba unaweza kua tajiri unaweza kua chochote ukiamini mimi nilijitoa kufa na kupona au kuumwa magonjwa au kuoza mwili ili nitajirike lakini sikuoza mwili wala sikupata maradhi lakini utajiri nikapata bali nilichopitia imekua shule ambayo leo hii naweza wafundisha wenzangu pia wakafanikiwa tarehe ishirini mwezi wa sita tunaenda kuitambulisha dini yetu ambayo tutashirikiana na serikali na dini yeyote kuhakikisha tunaondoa adui ujinga adui umaskini adui kutokujitambua na kujitawala mwenyewe kuepusha baadhi ya athali zinazofanyika na watu kutokujua thaman zao na kufanya makosa Hatuamini katika kuteseka tunaamini katika kuishi maisha mazuri hapa hapa duniani tutaponya wagongwa tutawasaidia kuishi maisha ya kifahari na kabla hatujaanza ibada tutahakikisha tumekula tumeshiba hatuamini katika umaskini na njaaa karibu katika dunia ya kweli USIPOJIUNGA NASI SIO KAMA SISI HATUTASALI HAPANA BALI WEWE TU NDO HUTOHUSIKA NA SISI AMEN
Chiefgodlove_billionaire tweet media
Filipino
354
84
1.8K
226.2K
BiDi🤝
BiDi🤝@Raphaeligp·
Mweshimu sana Mwanamke ambaye anatenga bajeti ya zawadi kwaajili ya Mwanaume wake. 💗
Indonesia
0
2
8
417
Lady Vee💜
Lady Vee💜@ladyVee_Ve·
Jioni mawife na mahusband material wote watakuwa na alama usoni 😁
Filipino
5
9
42
1.8K
Maggie
Maggie@MagdalenaJ81011·
kuamka salama ni neema tu . Good morning everyone❤️❤️
Maggie tweet media
Filipino
62
27
120
4.5K
BiDi🤝 retweetet
Captaιn Mƙυυ🎖️
Captaιn Mƙυυ🎖️@CaptainGerry_·
Kuna wakati kushindana katika maisha sio kosa, ila shindana kimya kimya ikiwezekana ushinde kimya kimya ili hata ukishindwa ushindwe kimya kimya. Good Morning Family.
Filipino
17
15
35
803
BiDi🤝 retweetet
DOCHA 
DOCHA @ALugandu·
Kuna Sisi Hatuna Mjomba Wala Connection Yoyote Maofisini ili Tupate Kazi ila Msaada Wetu Pekee Ni Mungu Tu..!!
Filipino
16
17
83
1.8K
BiDi🤝 retweetet
Lady Vee💜
Lady Vee💜@ladyVee_Ve·
Ila umasikini mbaya nimeamka nijichemshie maji yangu ya kuoga nishaweka tuhiriki niwashe gesi deep down nikajiuliza hivi gesi ipo kweli? weirdly nikasema bwana Yesu naomba nikute gesi humu am too broke for this😂😂 gesi ni ya kupigia maombi kweli 🥹🥹
Indonesia
13
7
59
1.4K
BiDi🤝
BiDi🤝@Raphaeligp·
Mungu hawezi kuwa upande wako wakati kuna kitu kipo juu yako. Huwezi ishi maisha ya Amani na furaha ikiwa utulivu wa moyo wako unategemea furaha ya mtu Mwingine. Good morning.
Indonesia
0
2
6
219
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Siku zote kwenye maisha ya Ndoa lazima mwanamke awe chini ya mwanaume ( atawaliwe na mwanaume) yaani mwanaume ndio final semaji mfano umeomba ruhusa kutoka na rafiki zako kasema hapana ni hapana unakituliza hapo tuli na hakuna kununa😀 Kama hutaki kutawaliwa kaa kwenu usiolewe 😀🙌 Good morning ❤
Filipino
89
47
240
14.8K
Mudryk Jr
Mudryk Jr@mudryk_jr·
Kwenye football hii tunaita 'low block defending' yani unaruhusu kushambuliwa lakini unahakikisha mpinzani hapati goli 😅🤣
Mudryk Jr tweet media
Indonesia
75
63
630
77.7K
Isack Mathew Ilamlila
Isack Mathew Ilamlila@IsackIlamlila·
Saida Karoli, Ana watoto 6 kila Mmoja Na Babake 😃😃😃, Gusa Achia Twende Kwako. Wahaya Mna Pepo yenu.
Isack Mathew Ilamlila tweet media
Filipino
13
11
35
925
BiDi🤝 retweetet
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.@Gaspinho15·
Wakati una download Movies kwa WiFi ya Ofisisni kwenu na Nyumbani Dada wa Kazi anapika Maharage kwenye jiko la Gas. Malipo ni hapa hapa Duniani.😂😂
Filipino
3
5
46
2.5K
BiDi🤝
BiDi🤝@Raphaeligp·
@ladyVee_Ve Na hili jua na vipara vyao😎
हिन्दी
1
0
1
25
BiDi🤝 retweetet
Lady Vee💜
Lady Vee💜@ladyVee_Ve·
Good morning Kwa wanaume wenye Vipala 🥰 nyie wengi Punguzeni dhambi joto hili mtatuua😒
Filipino
9
6
28
874
BiDi🤝 retweetet
Wizdõm★
Wizdõm★@Wizdomtz·
Hiyo T huwa inamaanisha nini barabarani?
Wizdõm★ tweet media
Filipino
221
56
1.3K
229.7K
BiDi🤝 retweetet
goligani
goligani@goligani·
BACK BENCHA tunafuata agizo la watu wa MIKOANI kupost WAPENZI wetu,kama unajiamini basi na ww MPOST wako tuone kama unaweza kubaki salama 😂😂
goligani tweet media
Indonesia
34
24
160
13.4K