miss1_momaah💝

387 posts

miss1_momaah💝

miss1_momaah💝

@RodgerJr8

biography

Kenya Beigetreten Haziran 2019
50 Folgt41 Follower
miss1_momaah💝
miss1_momaah💝@RodgerJr8·
Sidhani kam mafanikio ya kihistoria yatamsaidia mTanzania , we are poor we need more advancement katka vtu sensentive kam nishati ndani ya nchii tukuze sector nyingi tofaut na tuingize pesaa #TUACHE #SIASA #SEHEM #AMBAPO #HAPAHITAJIKI NI DHAMBI
January Makamba@JMakamba

Leo naondoka Algeria kurudi nyumbani baada ya ziara mahsusi ya kikazi ya siku nane katika nchi rafiki na bobezi kwenye masuala ya nishati. Katika siku chache zijazo, tutatoa taarifa ya mafanikio ya kihistoria tuliyoyapata katika ziara hii. [video: na Waziri wa Nishati wa Algeria]

Indonesia
0
0
1
0
miss1_momaah💝 retweetet
Global Folder
Global Folder@Global_Folder·
High court in Zimbabwe has ordered a newly married gay couple to be put under house arrest for 12 months and if by the end of the period none of them will be pregnant, the court further ordered a death penalty.
English
122
367
1.2K
0
miss1_momaah💝
miss1_momaah💝@RodgerJr8·
Karbu Tanzania nchi ambayo!! Mdada anaandaa bango la "she said YES" anaandaa msosi na vnywaji anaalika watu kwa engagement af ikfka point ya kuvalishwa pete anakua Suprised😂😂
Indonesia
0
0
1
0
Pasco Nkololo
Pasco Nkololo@Nkololotz·
Dar ina beach kali kali sana basi tu. Aya kwa wataalamu hii ni beach gani ?!
Pasco Nkololo tweet mediaPasco Nkololo tweet mediaPasco Nkololo tweet mediaPasco Nkololo tweet media
Indonesia
18
1
72
0
miss1_momaah💝 retweetet
SONGA
SONGA@NiiteSonga·
That feeling unaangalia tangazo la condom mbele ya wazazi wako na una mimba😂😢
Filipino
6
8
80
0
miss1_momaah💝 retweetet
formemym_🇹🇿
formemym_🇹🇿@Its_Lighter·
✍️Kwenye kila jambo amini unaweza na mafanikio hayapo mbali nawe......
Indonesia
16
30
109
0
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Lakini Kama Umefatilia Kwa Makini Toka Mwanzo Utaona Kabisa Fei Ndio Alianza Ukorofi Kwa Luanga Toka Dakika Za Kwanza Kabisa!! @michaelbaruti Luanga Kamvumilia Sana Mwana
Filipino
152
40
1.4K
0
miss1_momaah💝
miss1_momaah💝@RodgerJr8·
Kinacho niuma roho ni kuona nakufa maskini af mbinguni nmeandaliwa nyumba ya dhahabu ya milele😂😂
Indonesia
0
1
2
0
miss1_momaah💝 retweetet
SONGA
SONGA@NiiteSonga·
Siku nyingine tena ya kumshukuru Mungu 🙏
Indonesia
3
6
116
0
miss1_momaah💝 retweetet
SONGA
SONGA@NiiteSonga·
Ukinunua nyama robo unafungiwa kwenye gazeti la michezo,sababu unaleta mchezo na nyama.
Filipino
15
26
257
0
miss1_momaah💝 retweetet
SONGA
SONGA@NiiteSonga·
Ukiwa upo na mtu wako pembeni halafu yeye akawa busy zaidi na simu kuliko wewe tambua ya kuwa haoni umuhimu wa uwepo wako mahali hapo.
Filipino
10
14
162
0