Dizzim TV

129 posts

Dizzim TV banner
Dizzim TV

Dizzim TV

@DizzimTV

The Official Twitter Page for Dizzim TV | Tune in on Azam decoder Channel Number 120 | IG & FB: @dizzimtv | For enquiries and submissions: [email protected]

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2018
2 Takip Edilen348 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Leo saa 11 jioni #ChillNaSky ya kwanza kuruka kwenye TV itapatikana ndani ya @dizzimtv! Mgeni ni @JNtuyabaliwe ambaye amefunguka mengi kuhusu maisha ya utotoni, muziki, Miss Tanzania, familia, ndoa, ujasiriamali na mengine mengi. Usikose‼️
Indonesia
4
3
28
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Cardi B aingia kwenye Skendo Nyingine ya kuwapiga wasichana wanaosemekana kuchepuka na mumewe Offset. Hivi unajua kwa kiasi gani nchi za nje wametuzidi katika suala la Teknolojia?? Msimu wa UEFA Huoooooooo. Unazijua historia zilizovunjwa?? Umejiandaaje??… dlvr.it/QkShxP
Indonesia
0
0
3
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Dr abbas amesema mwananchi yeyote akinunua vifurushi vya ving’amuzi mbalimbali kama star Media, Digitek Continental na Ting atapata televisheni za ndani 34 Buree bila kulipishwa. Hali ni shwari kati ya familia ya @diamondplatnumz Na @hamisamobbettodlvr.it/QhLgdx
Indonesia
1
0
0
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Je @kalapina Amefuata Taratibu za BASATA na hii Ngoma Yake Mpya? - @richmavoko na WCB Wakutana Uso kwa Uso Leo Hii. Ni nini Kilichojiri? - Arsene Wenger ndani ya Liberia, Africa. Atarajia Kukutana na Rais wa Sasa, George Weah. - Don’t miss a thing! Tune… dlvr.it/Qgs1Kz
Filipino
0
0
0
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
richmavoko Aachia Ngoma yake Mpya Chini ya Billionea Kid Siku Chache tu Baada ya Meneja sallam_sk Kueleza Kuwa Rich Bado Yupo Chini ya WCB Kimkataba. - queenveebosset adai Kuachana na… instagram.com/p/BmlW3KNhuWR/…
Indonesia
0
0
2
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Zamaradi Mketema alamba dili nono na kampuni ya @happixtz , ajibu ishu ya Hamisa Mobetto @chegechigunda amesema hataki mpenzi wake arudi tena kuwa dansa. Usikose stori zote hizi ndani ya D-Tertainment News saa 08:30 usiku ndani ya @dizzimtv #DTNdlvr.it/QfzDbm
Indonesia
0
0
0
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Umati wafurika katika mazishi ya muigizaji na mchekeshaji Marehemu Mzee Majuto @dokiiwenceslaus afunguka baada ya kuonekana na @richmavoko jana katika ofisi za Basata Shabiki damu wa Yanga Sc @madeeali aihofia Simba Sc msimu huu Usikose stori zote hizi… dlvr.it/QfS8Jd
Indonesia
1
0
0
0
Dizzim TV
Dizzim TV@DizzimTV·
Watu wamekusanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa Marehemu Alhaji Amri Athumani maarufu kwa jina 'King Majuto' @richmavoko ametembelea ofisi za Basata siku ya leo. Kitu gani kimempeleka katika ofisi hizo? @professorjaytzdlvr.it/QfLK0X
Indonesia
0
0
0
0