
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki,TUNAJIVUNIA













