ELIZABETH MAMBOSHO
965 posts


@odompopodo @IkindaKani11826 Aisee we unanifahamu kitambo
Indonesia

@IkindaKani11826 Huyu ni lizzy
Namkumbuka sana alipokamatwa na kitoto kidogo cha miezi miwili sijui
Filipino


MUNGU amevingirisha JIWE
Giza haliwezi kushinda NURU
NURU imeshinda giza,
TUMSIFU YESU CHRISTO
#FREETUNDULISUNOW
#NOJUSTICENOPEACE
#STRONGERTOGETHER


Indonesia

Mungu ndiye atuonyeshaye njia ya kuiendea...✌️✌️✌️🙏🙏
Tito Magoti@TitoMagoti
Dada Elizabeth Mambosho, Mungu akubariki sana kwa majitoleo yako. For the records, Lizzy hajawahi kosa mahakamani. Alipigwa na kudhalilishwa mahakamani Kisutu April mwaka jana. Alikabiliana na makarao waliopiga watu Mahakama Kuu. A LIONESS in her category. Respect!!
Filipino

@TitoMagoti Amen Amen asante sana kaka @TitoMagoti kwaneno la baraka... Hya mapambano kwetu ni Imani
हिन्दी

Dada Elizabeth Mambosho, Mungu akubariki sana kwa majitoleo yako.
For the records, Lizzy hajawahi kosa mahakamani.
Alipigwa na kudhalilishwa mahakamani Kisutu April mwaka jana.
Alikabiliana na makarao waliopiga watu Mahakama Kuu.
A LIONESS in her category. Respect!!
Chadema Tanzania@ChademaTZ2
Dua na Sala leo Mahakamani.
Filipino

MH JOHN HECHE @hechejohn ANAZUNGUMZA NA TAIFA MUDA HUU.
youtube.com/live/go8pz1NOa…

YouTube

Indonesia

KANDA YA PWANI ITAONGEA LEO
Leo saa kumi jioni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Mh. @ExMayorUbungo atazungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari.
Nitawaletea link ✌🏽✌🏽

Indonesia

@AbdulRamad27884 We ni mpuuzi, mjinga na mbinafsi,, tamaa ya madaraka haiwezi kukufanya uwe mnyama hivi..
Indonesia

@mambosholizzy Wanaompost huyu jamaa ukiangalia wote ni chadema, you guys are so nice and kind😂😂, ila hatuwezi kuwapa nchi
Filipino

#BREAKING_NEWS
Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitambulisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao,, Ofisi za ALISTAIR.
#FreeNicodemusLoyore

Indonesia

Jana @MalisaGJ_ aliutaarifu umma juu ya watu waliovamia nyumbani kwao Kidia Moshi usiku wa manane. Leo tangu saa tatu Polisi wako hapo na wamemweka mama yake chini ya ulinzi wakiwa na waandishi wa habari kadhaa. Hakuna mtu anaruhusiwa kufika hapo hata majirani wamezuliwa.
Indonesia

@mambosholizzy Hapo kwenye chadema digital hebu mfanye maboresho kidogo hasa kwenye payments.
HT

FUATILIA LIVE KATIBU WA BAVICHA TAIFA @dualyamzito AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI..
youtube.com/live/XvHzfDzqS…

YouTube

ELIZABETH MAMBOSHO retweetledi











