Tzee

793 posts

Tzee banner
Tzee

Tzee

@CiscaOfph

All my life 🧬

Beigetreten Ocak 2024
755 Folgt121 Follower
Tzee retweetet
KOT Socha 🇰🇪
KOT Socha 🇰🇪@Kotsocha_ke·
Tuesday tuko street wasee, hakuna kuvumilia tena
Suomi
35
210
844
8.2K
Tzee retweetet
Masika
Masika@Masika_039·
Maandamano Tuesday is back.
Masika tweet media
Filipino
7
187
552
2.8K
Tzee retweetet
wanjiru
wanjiru@Wanjiru2027·
We cannot continue living like this
wanjiru tweet media
English
47
1.1K
2.2K
14.2K
Tzee retweetet
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Machalii wetu kibao waliuliwa Hii siku sitokaa nisahau R I P Awadhi & Antony 🙏🏻
SafariMlevi tweet media
Indonesia
35
180
961
15.7K
Tzee retweetet
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Sijawahi kufanya video kwa ajili ya Chadema hii ndio ya kwanza. Chadema tunaomba msituangushe kwenye hili. Watanzania tumezika watu kwa ajili ya haki sio kwa ajili ya Lissu kutoka ndani au kwa ajili ya Chadema kufanya siasi.
Indonesia
69
172
636
10.2K
Tzee
Tzee@CiscaOfph·
@HecheJohn Nitajiandikisha vipi kuwa mwanacha Pia naomba kujiunga na umoja wa vijana Chadema Mr president
Indonesia
0
0
0
45
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Asante
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi

Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia). Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo. Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel. Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie. Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema. Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.

Español
12
96
703
10.6K
Tzee retweetet
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
56
461
1.4K
123.7K
Tzee retweetet
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Kitendo hiki wanachofanya Polisi ni kitendo cha Kijinga : MWAIPAYA
Indonesia
1
33
151
1.8K
Tzee retweetet
Mika Chavala
Mika Chavala@MikaChavala·
Mama One Africa
0
3
15
164
Tzee retweetet
Barack Obama
Barack Obama@BarackObama·
Virginia, if you haven’t done it already, make a plan to vote YES on the redistricting referendum. You can vote early by April 18 or on Election Day, April 21. Find your polling place at IWillVote.com/VA.
English
15.6K
9.5K
76.8K
21.8M
Tzee retweetet
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
WANANCHI WANA CHADEMA MOYONI
Think Different tweet media
Indonesia
4
74
533
4.2K
Tzee
Tzee@CiscaOfph·
@Baradhuli2 Siku nikikutrack nikushike nakutomba i swear
Filipino
0
0
0
48
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Tayari uyo sakafu imemtosha😅. Na ndo kwanza ni mwaka tu anataka mazungumzo huyu akipigwa mwaka tena mmoja atautambua hadi Uchaguzi😅
Indonesia
30
19
69
5.8K
Tzee
Tzee@CiscaOfph·
@Adv_innocent Jamaa alikuwa ampendi manara anauliza usenge
Indonesia
0
0
0
173
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Heche Alijibu kama pro hapa🙌
Indonesia
39
186
980
18.7K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Kwaiyo @mangekimambi umeamua ukawasambazie ukimwi na majirani zetu. Pole sana @LarryMadowo zingatia mboga, matunda, maji na fanya mazoezi kiasi.
BARADHULI tweet media
Indonesia
23
21
114
11K
Tzee
Tzee@CiscaOfph·
@Rahma_Simba Iyo ni system ya jeshi haiusiani nahitaji elfu samia acha upuuzi
Indonesia
0
0
0
6
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
Haya vijana sasa ndio wakati wetu huu, Rais Samia amwaga ajira jeshini.
Eesti
2
12
13
221
Tzee retweetet
Billy
Billy@MwangiHub·
TUESDAY TUESDAY TUESDAY TUESDAY TUNARUDI UWANJANI!!!!!!!!
English
42
1.7K
5.4K
47.3K