Sabitlenmiş Tweet

Mwandishi: Wewe unataka kufanya na kuongeza biashara na Russia sasa mnawezaje kuvuka vikwazo (Russia imeekewa vikwazo).
Rais: Tanzania hatupo kwenye vikwazo. Vikwazo ni vya Russia lakini sio Tanzania na huyo Russia vipo kwnye baadhi ya vitu kama mafuta yake lakini mafuta Tanzania haitegemei uagizaji wa mafuta Russia.
N:B
Jibu la swali " unaitwa nani?" sio mda wote
"Naitwa fulani" mwengine anaweza kwambia "najuulikan kama fulani" au unaweza niita fulani.
Nilichogundua kumbe huwa mnamfatilia kwa ukaribu sana mama kila hatua na kila analoongea mnafanya kazi nzuri sana.😆

HT










