One Sister

186.6K posts

One Sister banner
One Sister

One Sister

@Rahma_Simba

Katılım Şubat 2015
5.1K Takip Edilen12.3K Takipçiler
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
EACOP YAFIKIA ASILIMIA 86, YAKAMILIKA AGOSTI 2026 Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi Uganda–Tanzania (EACOP) umefikia asilimia 86 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika Agosti 2026, ukichochea mapato, ajira, uwekezaji na usafirishaji wa mafuta Afrika Mashariki.
One Sister tweet media
Indonesia
0
4
4
67
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
Takwimu za miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Walipakodi 👥 Mwaka 1995/96: 75,000 💶 Mwaka 2025/26: Milioni 8.4 Mapato 👥 Mwaka 1995/96: Bilioni 297 💶 Mwaka 2025/26: Trilioni 37.9
One Sister tweet media
Filipino
0
7
5
162
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
LENGO LA TANZANIA: UCHUMI KUKUA ZAIDI YA ASILIMIA 7 IFIKAPO 2030 Serikali ya Awamu ya Sita inalenga kukuza uchumi kwa zaidi ya asilimia 7 ifikapo 2030 kupitia uwekezaji katika miundombinu, viwanda, nishati, kilimo na utalii ili kuongeza uzalishaji, ajira na kipato cha wananchi.
One Sister tweet media
Indonesia
0
5
4
76
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
MIRADI 28 YA UMWAGILIAJ YAKAMILIKA,HEKTA ZAIDI YA 31,000 ZANUFAIKA Serikali ya Awamu 6 imekamilsha mirad 28 ya umwagiliaj ikiwemo skimu mpya 10 zenye uwezo wa kumwaglia hekta 10,300,ukarabat wa skimu 9 zenye hekta 10,760 na ujenz wa mabwawa 7 yenye uwezo wa kumwaglia hekta 10,141
One Sister tweet media
Indonesia
0
6
4
89
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
MCHOME: CHADEMA HATUTAKI UFISADI Lembrus Mchome amesema CHADEMA haitaki ufisadi ndani ya chama na amepinga madai ya John Mnyika kuwa wanaokosoa uongozi wanalipwa na CCM, akiyaita uzushi. Amesema fedha za wafanyabiashara zinapaswa kusimamiwa kwa uwazi.
Indonesia
3
4
3
325
One Sister retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Chadema tatueni migogoro ya ndani mnakiangamiza chama chenu wenyewe.
Indonesia
1
13
12
1K
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
MCHOME : MNYIKA ASIONGEE UONGO, CHADEMA HATUTAKI UFISADI 👇👇👇
Indonesia
1
4
5
110
One Sister retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
MCHOME : MNYIKA ASIONGEE UONGO, CHADEMA HATUTAKI UFISADI Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Lembrus Mchome, amesema wanachama wa chama hicho hawataki kuona ufisadi ukitokea ndani ya chama chao. Akizungumza na waandishi wa habari leo,....
Indonesia
2
8
8
250
One Sister retweetledi
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
Sikilizaa sauti ya mamba 24
Filipino
0
1
0
38
One Sister retweetledi
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
Mskie dudu baya 😅
Indonesia
0
5
4
97
One Sister retweetledi
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
Hakuna Kuminyaminya Nyanya Mamba 24 Ye Amenyooka Kama Rula
Indonesia
0
10
9
324
One Sister retweetledi
Good Boy Tz
Good Boy Tz@Good_boy255·
Konki Master ni mmoja tu hakuna kuomba msamaha😄😄🤣
Good Boy Tz tweet media
Suomi
0
5
8
561
One Sister retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Mamba 24 ni mmoja tu Gen z hawaamini macho yao mambo ambayo millenia tulipitia?😄😄😄
Indonesia
1
11
10
774
One Sister retweetledi
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
Hiki chuma bhana kimeamua kuondoka na upepo leo Kila Kona yeye tu 😂😂😂 Natamani kujua alisema nini mpaka mic 🎤 ikazimwa
Indonesia
0
9
8
329