.

212 posts

.

.

@dr_bashiru

.

Dar es Salaam Beigetreten Haziran 2014
0 Folgt10.8K Follower
Angehefteter Tweet
.
.@dr_bashiru·
Hakuna mtu mwenye akili timamu wa kuomba radhi kwa kusema ukweli, hata kama wenye madaraka wana hasira kiasi gani.
Indonesia
292
164
2K
0
.
.@dr_bashiru·
Kuna watanzania hawakupenda mbinu za Mzee JPM kushinda chaguzi 2019 na 2020, lakini kwa CCM hiyo ndio mbinu pekee iliyobaki kama tunataka dola. Rais Samia akitaka kubaki na dola na wabunge wengi lazima afanye kama JPM alivyofanya 2019/20 ingawa leo wanamtukana.
Indonesia
100
53
362
26.5K
.
.@dr_bashiru·
Serikali ni chombo cha wananchi walichokiunda ili kiwaletee maendeleo. Inapotokea chombo hiki kinakuwa mali ya familia fulani au kikundi fulani, maana ya serikali haipo tena.
Filipino
168
86
909
40.4K
.
.@dr_bashiru·
Hadi leo hii utoaji wa taarifa za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 haujakamilika. Wazee ni wangapi, Watoto ni wangapi? Kata fulani ina watu wangapi? Bado haijulikani.
Indonesia
98
41
328
22.1K
.
.@dr_bashiru·
Walitaka kumtoa Uwaziri Mkuu Ndugu yangu Kassim Majaliwa ili wamuweke mtoto wao pendwa lakini mtoto haoneshi uwezo hata kwenye masuala madogo ya wizara. Tatizo la wazee wa CCM hawawajengi vijana wao kiuongozi, wanaamini nafasi zao zina nguvu ya kuwapa vijana dola.
Indonesia
111
57
497
0
.
.@dr_bashiru·
@NtagwaM Mwanangu, Uhuru wa kuongea si kitu cha kupewa na mtu, ni zawadi kutoka kwake aliyetuumba.
Indonesia
21
4
68
0
ntagwa mwashitete
ntagwa mwashitete@NtagwaM·
@dr_bashiru Tatizo lenu ni unafki. Wakati JPM anakopa, kwa siri, akidanganya ni mapato ya ndani, mlikaa kimya. Ni nini kinawafanya mseme sasa? Ni kwa sababu Mama hafanyi siri, anakopa kwa uwazi, amewapa Uhuru wa kuongea na kukosoa Uhuru ambao wakati wa JPM tuliukosa na wewe ukishadadia!
Indonesia
32
3
52
0
.
.@dr_bashiru·
Deni la serikali ni kubwa sana. Ndani ya mwaka mmoja tumekopa Tsh. Trilioni 30 na hakuna cha maana kinachoonekana. Gharama ya maisha imeongezeka maradufu. Na bado hiyo mikopo italipwa na kodi za wananchi.
Filipino
193
117
1.2K
0
.
.@dr_bashiru·
Ukiwa na mawaziri ambao kutwa kucha wanapishana kwenye milango ya matajiri kuomba fedha na kufanya madili... Hakuna tena serikali ya wananchi.
Indonesia
49
28
188
0
.
.@dr_bashiru·
Wana CCM wenzangu na Watanzania kwa ujumla, kwa hali ilivyo sasa, Je! mnadhani Rais @SuluhuSamia ataweza kushinda 2025 kwa uchaguzi huru na wa haki?
Indonesia
40
13
83
0
.
.@dr_bashiru·
Wakati wa Mzee JMP sauti ilikuwa kubwa na mambo makubwa yalionekana. Sasa hivi tuna kelele nyingi na kinachofanyika hakionekani - pamoja na mikopo ya matrilioni.
Filipino
131
59
790
0
.
.@dr_bashiru·
Ubadhirifu ni dhana kubalika na barikiwa ndani ya chama chetu CCM. Hasa wakati tunapoongozwa na watu legelege.
. tweet media
Indonesia
75
58
441
0
.
.@dr_bashiru·
Bila Mzee JPM kuirudisha CCM madarakani hawa viongozi wanaomtukana leo sijui wangetukana wapi?
Indonesia
30
7
139
0
.
.@dr_bashiru·
Inasikitisha baadhi ya viongozi wa CCM na serikali sasa wanaonesha hadharani kupingana na Mzee JPM na kuchafua jina lake wakati akiwa hai waliufyata mkia.Hiki kiwango cha unafiki ni kikubwa mno.
Indonesia
92
33
361
0
.
.@dr_bashiru·
Mchwa wapo kazini. Nchi inatafunwa mithili ya fisi atafunavyo mifupa.
. tweet media
HT
68
56
529
0
.
.@dr_bashiru·
Kama Rais wangu @SuluhuSamia anakubalika kwa kiwango kikubwa, kwanini wapambe wake hawataki wengine wachukue fomu ya urais 2025? Kama anakubalika woga wa kushindana unatoka wapi?
Indonesia
132
46
438
0
.
.@dr_bashiru·
Kwa kauli yake ile ya watu wazuri hawafi, na kutaja mifano ya Jakaya na Kinana, moja kwa moja kaka yangu Yusuph Makamba alimaamisha Waliokufa, akina Mzee JPM, Mzee Mkapa, Balozi Mahiga, Balozi Kijazi, Jaji Ramadani, nk walikuwa watu wabaya. Kaka Makamba atafakari kuomba radhi.
. tweet media
Indonesia
91
64
680
0
.
.@dr_bashiru·
CCM imerudi kumilikiwa na watu wachache ambao ndio wanufaika wakubwa wa Rasilimali za Taifa. Kuna kazi kubwa ya kufanya kukirudisha chama kwa wananchi.
Indonesia
113
33
358
0
.
.@dr_bashiru·
Bila shaka mmeshuhudia wazee wa familia chache zinazotafuna nchi walivyojipambanua kule Dodoma. Wakatangaza na maazimio ya Mama agombee 2025 ili woanekane wanampenda sana - kumbe wanapalilia malisho ya familia.
Indonesia
71
54
415
0
.
.@dr_bashiru·
Bado natafakari mkutano mkuu wa Chama chetu ulivyotawaliwa na majungu, uongo na fitina. Wengine wakadiriki kuonesha furaha yao hadharani kwa kifo cha Mzee wetu JPM.
Indonesia
205
61
533
0
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
"Watu Wazuri HAWAFI,ndiyo maana Mzee Kikwete na Kinana wapo mpaka leo" YUSUPH MAKAMBA Siyo Maneno ya @godbless_lema au @HecheJohn,na Wala siyo Mkutano Mkuu wa @ChademaTz Tusihili limetukanwa na Mwana-CCM mwenzio mbele ya Mkutano Mkuu wa CCM Wala siyo kwa bahati Mbaya
Boniface Jacob tweet media
Filipino
193
142
1.5K
0
.
.@dr_bashiru·
Tatizo ni; -umeme -maji -gharama za maisha. Katikati ya hayo hakuna kuupiga mwingi. Lakini tunaweza kuimba anaupiga mwingi ili watoto wetu waendelee kula.
. tweet media
Indonesia
109
135
1.3K
0