Boniface Jacob

17.9K posts

Boniface Jacob banner
Boniface Jacob

Boniface Jacob

@ExMayorUbungo

Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM CHADEMA CC MEMBER

Dar es salaam Katılım Nisan 2013
8.6K Takip Edilen580.9K Takipçiler
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Nawatakia mfungo mwema wa Kwaresma ndugu zetu Wakritu. "Maandiko ya Mungu yanasema mtumishi wa Mungu Musa kwa siku arobaini alikuwa mlimani akimsikiliza Mungu, katika kipindi hicho alifunga kula na kunywa (Kut24:12-18). Hii inatufundisha kuwa siku hizi arobaini zina mchango mkubwa katika kurekebisha mwenendo wa maisha yetu tukiongozwa na maandiko matakatifu.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
9
85
651
18.6K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Nawatakia mfungo mwema wa Ramadhani ndugu zetu Waislamu.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
19
75
788
8.3K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Karibu katika SHOW za TL. Kama vile ambavyo watu wengine wanapenda kwenda club za muziki za usiku siyo kwenda kucheza bali kwenda kuangalia tu vile DJ anavyocheza na meza yake akifanya mixing yake kwa mbwembwe mara kagusa huku kagusa kule, mara kapunguza sauti mara kaiachia burudaaaaaaani kabisa. Au kama vile wengine wanavyopenda kwenda katika muziki wa dancing siyo kwenda kucheza bali kwenda kutazama tu vile mpiga drums anavyocheza na drums zake vile anavyogusa moja moja kwa mbwembwe huku anachezesha mguu wake wa kulia kupiga ile ngoma ya chini. mara kapiga ngoma za kushoto yeye kageukia upande wa kulia bila kutazama basi burudaniiiiiiiiiii. Basi ndivyo ilivyo hapa Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam katika kizimba za ukumbi namba 1 wa Mahakama kuu. Lissu hapo mezani ametandaza Vitabu vyake sheria,mafaili,kanuni,miongozo,PGO,bando kitika la ukabidhi kutoka Kisutu ,kamusi na marejeo ya kesi mbali mbali kutoka Mahakama zote Daniani za Jumuiya za madola.HATARI TUPU Na raha inakuja pale Lissu anapogusa vitabu vya sheria hii anafunga na kufungua sheria hii anafunga na kufungua faili hili na wakati anafungua na kufunga mafaili yake anawatajia Majaji Jina la sheria,Mwaka wake na vifungu vya sheria ,vinapatikana ukurasa namba ngapi. Ni burudani tosha,ni elimu bila malipo,hakika wengi tunajisemea Walimu wa sheria wangekuwa hivi kila mtu nchi hii angekuwa Mwanasheria. Kuna siku niliona Jaji ameomba tuition ya bure kutoka kwa Lissu kiaina alipo muuliza swali Lissu "Mshitakiwa kuna tofauti gani kati ya Kesi inayoendeshwa kwa "session" na zile zinazoendeshwa kwa "Sitting " Hapa hata wauza mayai tulipata somo tukaishia kutingisha vichwa Mahakamani kwamba hata sisi tumeelewa. Nakuibia siri tuh kwamba hata maaskari magereza wanaosimama nyuma ya Lissu kizimbani huwa wanajisahau wakati mwingine wanaishia kutingisha Vichwa wakizielewa nondo za jamaa vizuri. Wakishindwa kujua sheria ni uzembe wao tuh. Mashahidi wanasema "Ni heri ukutane na Simba mbugani kuliko kukutanishwa na Lissu katika Kizimba cha Mahakama. Karibu katika Show za TL.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
33
206
1.1K
32.5K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Karibuni katika SHOW ZA TL. 1.Leo patakuwa na uamuzi mdogo kutoka kwa Jopo la Majaji kuhusu pingamizi (Objection) lililowekwa na Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu juu ya Shahidi kutoa ushahidi wake akiwa katika kibox (kizimba) kilichozibwa bila majaji Kumuona Shahidi,bila mtuhumiwa Kumuona Shahidi na bila Wahudhuriaji Kumuona Shahidi. Kwa mujibu wa maelezo ya Tundu Lissu ushahidi wa namna hiyo ni ushahidi wa watuwasiojulikana na ni ushahidi wa gizani. 2.Leo tena hapo hapo Mahakama Kuu patakuwa na kesi ya madai dhidi ya CHADEMA, kesi namba 8323 ya nwaka 2025 Saidi Issa Mohammed na wenzake wawili katika ukumbi mwingine mbele ya Jaji Mwanga. N.B Tunapitishwa katika moto mkali lakini tutashinda.
Boniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet media
Filipino
25
257
1.6K
35.4K
Boniface Jacob retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi(Sugu) @TheRealJongwe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boniyai) ni miongoni mwa viongozi wa CHADEMA waliofika hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
Indonesia
1
28
207
5K
Boniface Jacob retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mapema leo Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe. @ExMayorUbungo akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. @TunduALissu, Mwenyekiti Chadema Taifa.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
2
34
166
3.3K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Happy new year Chairman Lissu..! Asanteni kanda ya pwani kwa kuja.
Boniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet media
Indonesia
28
250
1.8K
23.5K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Oyaaaaaaa wakimaliza kuuza akiba yetu ya dhahabu nasikia wataanza kutuuza watu Wanene. Vibonge wote nawapa hii code,kaeni kimasta sana,lolote linaweza kuwakuta. Kama unajijua ni Kibonge usitembee ovyo usiku.Vibonge wanahitajika sana huko uarabuni kama Wapishi.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
140
271
2.1K
53K
Boniface Jacob retweetledi
BOBI WINE
BOBI WINE@HEBobiwine·
Museveni's criminal son is still looking for me and issuing threats to harm me. Thankfully, our people are still keeping me safe. My wife is still recovering from the trauma of an overnight raid and assault. Thousands of our people have been violently arrested and detained. My home is still surrounded by the military. Several of our supporters have been murdered in cold blood. All because we challenged Dictator Museveni in an election in which he faced a resounding rejection across the country. He had to shut down the internet and declare himself 'winner' on gunpoint. We remain committed to freeing our nation from these savage criminals. We remain hopeful that the people of Uganda will have the last laugh. 'Deep in my heart, I do believe, WE SHALL OVERCOME some day.' #FreeUgandaNow
BOBI WINE tweet media
English
805
2.1K
8.8K
435.2K
Boniface Jacob retweetledi
Bernie Sanders
Bernie Sanders@BernieSanders·
Please read this statement from the parents of VA ICU nurse Alexander Pretti, who was murdered yesterday by Border Patrol agents.
Bernie Sanders tweet media
English
3.9K
16.1K
64.9K
1.3M
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
5. Uwepo wa watu wasiokuwa wajumbe wa Kamati Uwepo wa watu wengine nje ya wajumbe halali wa Kamati, yaani Madiwani, Mbunge na Watumishi wa Halmashauri ulikuwa kinyume cha kanuni. 👉🏽 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Kanuni ya 58, zinaeleza kuwa shughuli na mijadala yote ya Kamati ni siri: _“Mjumbe wa Kamati au Kamati Ndogo hatatoa nje jambo lolote lililoletwa au kuzungumzwa kwenye Kamati au Kamati Ndogo bila ruhusa ya Kamati hiyo…”_ 👉🏽 Kanuni hii inapewa nguvu na Sheria Na. 7 ya Mwaka 1982 (Sura ya 287), Kifungu cha 74(4). 👉🏽 Kanuni zinakataza mtu asiye mjumbe wa Kamati kushiriki katika shughuli za Kamati, kinyume kabisa na kilichotokea ambapo watu wengi walijazana kusikiliza marumbano kati ya Mbunge na Mwekezaji. 6. Mamlaka ya Kamati za Kudumu Kamati za Kudumu hazina mamlaka ya kutoa maelekezo ya moja kwa moja kwa Mwekezaji. 👉🏽 Badala yake, Kamati zinapaswa kufikia maazimio na kutoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri, ambayo lazima yapate idhini ya Baraza la Madiwani. 👉🏽 Kanuni ya 40 ya Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Geita inasema: _“Kamati zote za Halmashauri zitawasilisha taarifa zao kwa Halmashauri, na hakuna hatua itakayochukuliwa kutekeleza uamuzi wowote wa Kamati yoyote mpaka hapo taarifa ya Kamati husika itakapokuwa imekubaliwa na Halmashauri…”_ 👉🏽 Kanuni hii inapewa nguvu na Sheria Na. 7 ya Mwaka 1982 (Sura ya 287), Kifungu cha 84. 7. Mamlaka ya kuagiza kukamatwa Mbunge, akiwa mjumbe wa Kamati, hana mamlaka ya kuagiza vyombo vya dola kumkamata mtu katika utekelezaji wa shughuli za Halmashauri. 👉🏽 Endapo kungetokea hali ya kuhatarisha amani au kikwazo katika utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri, Mkurugenzi ndiye mwenye wajibu wa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi au kumjulisha Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya (Mkuu wa Wilaya). 👉🏽 Ikiwa Mwalikwa angekuwa anavuruga kikao, Kanuni za Kudumu zinamtaka Mwenyekiti wa Kikao, si Mbunge—kuchukua hatua. Soma Kanuni ya 18: _“Iwapo mtu yeyote atavuruga mkutano, Mwenyekiti atamwonya… na endapo ataendelea, ataamuru atolewe kwenye chumba cha mkutano…”_ 8. Hoja ya umiliki wa eneo Watumishi wa Halmashauri walieleza kuwa mmiliki wa eneo linalobishaniwa ni Chama cha Mapinduzi (CCM). 👉🏽 Kabla ya Halmashauri kukutana na Mwekezaji aliyeingia mkataba na CCM, ilipaswa kutoa taarifa rasmi kwa maandishi (barua) kuhusu ukiukwaji wowote wa taratibu za ujenzi au matumizi ya ardhi, au kusimamisha maendeleo hayo kwa barua rasmi. 👉🏽 Kitendo cha Kamati kufika eneo husika kuuliza umiliki wa eneo ni udhaifu wa kiutendaji, kwa kuwa Madiwani si watendaji wa Halmashauri bali ni wasimamizi wa shughuli zake. 9. Ukosefu wa Uongozi wa Kikao Kuanzia mwanzo hadi mwisho, kikao/ziara haikuonekana kuongozwa rasmi na Mwenyekiti wa Kamati au Halmashauri katika kusimamia mijadala. 👉🏽 Halmashauri na Kamati husika hazikutumia ipasavyo sheria na kanuni katika utekelezaji wa majukumu yao, hali iliyopelekea kuzuka kwa vurugu. 10. Tukio la kushambulia na kutukana Kuhusu Mbunge Msukuma kurusha ngumi na kutoa matusi, vitendo hivyo vinaingia katika makosa ya jinai. 👉🏽 Hakuna kinga ya kisheria dhidi ya vitendo vya jinai kwa kisingizio cha uwakilishi wa wananchi. Nategemea kwamba mpaka muda huu Mbunge Msukuma angekuwa tayari yuko mikononi mwa vyombo vya dola kwa hatua za kisheria. HITIMISHO Ni vyema vyombo vya dola, ikiwemo TAKUKURU, kufanya uchunguzi huru kwa kuwahoji wahusika wote ili kubaini chanzo halisi cha vurugu hizo. Kwa uzoefu wangu, ukiukwaji wa sheria na kanuni katika utekelezaji wa majukumu ya mamlaka za Serikali za Mitaa mara nyingi husukumwa na mazingira ya mashinikizo kwa wawekezaji, hususan pale wanapokataa au kugomea kutoa rushwa kwa watendaji au Madiwani. Boniface Jacob Mwenyekiti (CHADEMA) Kanda ya Pwani 0712239595 Mstahiki Meya mstaafu H.M.Kinondoni Mstahiki Meya mstaafu H.M. Ubungo Diwani Miaka 10.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
6
18
125
9.3K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
MAKOSA (10) YA MBUNGE MSUKUMA, MADIWANI NA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA KWA MWEKEZAJI RASHIDI UTANGULIZI Uchambuzi huu umeandaliwa kwa kuzingatia uzoefu wangu kama Kiongozi mzoefu katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo inayoonesha tukio la vurugu kati ya Mbunge Msukuma, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita na Mwekezaji Rashidi. Katika uchambuzi huu nimetumia Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Geita za Mwaka 2004 pamoja na Sheria Na. 7 ya Mwaka 1982 ya Serikali za Mitaa na Mamlaka za Wilaya (Sura namba 287) 1. Haki ya mwalikwa kujieleza Nimesikia Mwekezaji (Rashidi) akisema wazi kuwa katika ziara ile ya Mbunge pamoja na Halmashauri hakuwa na cha kueleza. 👉🏽 Kauli hiyo ilikuwa sahihi kisheria, kwa kuwa Mwekezaji ana haki ya kujieleza kwa maandishi au kupitia uwakilishi rasmi wa kisheria, badala ya kulazimishwa kujieleza yeye binafsi mbele ya Kamati au hadhara. 👉🏽 Baada ya jibu hilo, Halmashauri na Kamati husika zilipaswa kurejea ofisini, kufanya majadiliano ya ndani na kufikia maazimio rasmi, kisha kumuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri kuchukua hatua kulingana na maazimio hayo. 2. Utaratibu wa maswali kwa mwalikwa Mjumbe wa Halmashauri katika kikao au ziara haruhusiwi kuelekeza maswali au hoja moja kwa moja kwa Mwalikwa. Badala yake, mjumbe anatakiwa kuwasilisha hoja au swali lake kwa Mwenyekiti wa Kikao, ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kumuagiza Mwalikwa kutoa ufafanuzi. 👉🏽 Hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 16(6), inayosema: _“Mjumbe anapozungumza ataelekeza mazungumzo yake kwa Mwenyekiti tu na atapaswa kusimama.”_ 👉🏽 Katika tukio husika, Mbunge Msukuma alionekana kulumbana moja kwa moja na Mwalikwa kwa kumuuliza maswali binafsi, kinyume na kanuni hii, huku Mwenyekiti wa Kamati na wa Halmashauri wakiwa kimya bila kutekeleza wajibu wao wa kiuongozi. 3. Ualikaji wa Vyombo vya Dola (OCD) Mbunge Msukuma, yeye binafsi, alitoa maelekezo aitwe OCD kushiriki kikao/ziara ya Kamati kwa namna inayodokeza dhamira ya kumtishia Mwekezaji. 👉🏽 Kitendo hiki ni kinyume cha Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Kanuni ya 50, inayosema: _“Mwenyekiti wa Kamati, Kamati ya Pamoja au Kamati Ndogo, baada ya kushauriana na wajumbe wa Kamati husika, anaweza kumwalika mtu yeyote kuhudhuria na kuzungumza kwenye mkutano kuhusu suala lolote au kushiriki kwa namna yeyote kwenye kikao cha Kamati, lakini mtu huyo hatakuwa na haki ya kupiga kura.”_ 👉🏽 Kanuni hii inapewa nguvu na Sheria Na. 7 ya Mwaka 1982 (Sura ya 287), Kifungu cha 74(4). 👉🏽 Hivyo, ni Mwenyekiti wa Kamati pekee, na si Mbunge—aliyekuwa na mamlaka ya kumwalika mtu yeyote kushiriki kikao au ziara, na hilo halina budi lifanyike baada ya mashauriano ya Kamati husika. 4. Ushiriki wa Vyombo vya Habari Mtumishi mmoja wa Halmashauri alieleza kuwa kilichofika eneo lile ni Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira. Hata hivyo, mbele ya vyombo vya habari, Mbunge Msukuma aliwaita waandishi wa habari wafuatilie tukio ili kurekodi marumbano yake na Mwekezaji. 👉🏽 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Geita zinakataza vyombo vya habari kushiriki vikao vya Kamati au Kamati Ndogo. 👉🏽 Kanuni ya 51 inasema: _“Majadiliano katika Kamati, Kamati ya Pamoja au Kamati Ndogo hayatakuwa wazi kwa umma na vyombo vya habari, isipokuwa kwa azimio la Halmashauri linaloruhusu umma na vyombo vya habari kuhudhuria.”_ 👉🏽 Kanuni hii inapewa nguvu na Sheria Na. 7 ya Mwaka 1982, Kifungu cha 85 na Kifungu cha 67(2). 5. Uwepo wa watu wasiokuwa wajumbe wa Kamati Uwepo wa watu wengine nje ya wajumbe halali wa Kamati, yaani Madiwani, Mbunge na Watumishi wa Halmashauri ulikuwa kinyume cha kanuni. 👉🏽 Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Kanuni ya 58, zinaeleza kuwa shughuli na mijadala yote ya Kamati ni siri: _“Mjumbe wa Kamati au Kamati Ndogo hatatoa nje jambo lolote lililoletwa au kuzungumzwa kwenye Kamati au Kamati Ndogo bila ruhusa ya Kamati hiyo…”_
Indonesia
24
68
347
19.2K
Boniface Jacob retweetledi
Barack Obama
Barack Obama@BarackObama·
The killing of Alex Pretti is a heartbreaking tragedy. It should also be a wake-up call to every American, regardless of party, that many of our core values as a nation are increasingly under assault.
Barack Obama tweet media
English
66K
116.2K
812.4K
43.8M
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Mimi nimefanya kazi na Mheshimiwa @TunduALissu kwa miaka zaidi ya 15 sasa. Kitu ambacho naweza kuwathibitishia Jeshi la Magereza ni kwamba. 1.Ule ni ujumbe kutoka kwa Lissu 2.Ule ni mwandiko wa Lissu 3.hata matamshi yaliyomo mle katika salamu zake za rambirambi (pole) kwa Mzee Edwin mtei ni ya Lissu. 4.Hata ukiwa unasoma ule ujumbe akilini unaona kabisa kama lissu anaongea mbele yako. Je umetokaje Jela.? Hata mimi sijui kwa kweli. Au kuna CHADEMA huko kwenu.? Nashauri fanyeni uchunguzi,ila kwanza askari wote wasimame kazi Kupisha uchunguzi. Tutampata tu aliye utoa nje ule ujumbe hadi ukatufikia sisi.
Boniface Jacob tweet media
Filipino
86
263
1.5K
83.2K