Jackson Samwel

2K posts

Jackson Samwel banner
Jackson Samwel

Jackson Samwel

@here_isjackson

Historian, Critical thinker, Judge, Business Associates, reader, Critics morals and writer Always laughing 😂😅

Tanzania Beigetreten Aralık 2023
10 Folgt64 Follower
Angehefteter Tweet
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Yes nature is a good teacher in n the life that counts, and some day, when you are tired of books and work and things in general, go and sit down on the grassy bank of a river, and let it tell you the story of life. There is something so human and companionable about a river!
English
0
0
0
68
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Kuna sku nime enda kuomba kitu chap nilisahau changu Ile nafika Kwa jirani nkamwambia "shikamo mzee, naomba unisaidie 123" Kaniambia "kijana kua mnyenyekevu unapoingia anga za watu Kimoyomoyo nkajisemea "huyu nae jau tu sa me nimekosea wapi" NB: Kuna watu wanapenda ubosi sana 🙌
Indonesia
0
0
0
4
dwells
dwells@Cannabino_kid·
@british77boe Ichape huku unaangalia report ya CAG unavyoshaa kod zinavyoiwa ndo unazd kuila huku huku sgr inakwama kufka kwa wakati 🫵🏾😎
Indonesia
8
1
14
2.3K
britishboe
britishboe@british77boe·
Mbinu yoyote ya kuzuia bao la 1 tafadhali Kabla ya dakika 30🙏🙏nasoma comment 😃😃
britishboe tweet media
Filipino
28
15
254
25.6K
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Pale msingi Tulikua tunarudi nyumbani sa sita kula ndio turudi tena shuleni, Nakumbuka siku tumetoka sa sita tumeambiwa turudi sa saba, nafika nyumbani nakuta Mama wameenda shambani wameacha kibarua uende ukavune vikuni uje upike ugali ule wakwako mwingine utuletee shambani, nkawaza natakiwa nirudi sa saba shuleni,aliyeniona porini Nlinyokua nalia sana kwa uchungu huku navunja tukuni nikakoroge dona alijua naenda kujitundika labda💔🙌
Indonesia
21
48
148
5.3K
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Effort ikiwa not equal to Reward mtu anapata kukata tamaa
Filipino
0
0
0
1
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Ukiwa unataka Kufanya maamuzi juu ya pesa ghafla ukaona Kuna involvement ya HISIA NA HURUMA Please acha haraka sana Kufanya huo huamuzi coz destruction is at hand.
Indonesia
0
0
0
2
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
@kasesco_tz Huwa nasema "we mpumbafu, we mbwa, unasemaje, ropoka, kwanini unanipigia sm,changamka kuongea ama nikate sm"
Indonesia
1
0
1
232
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukipokea simu ya mshikaji wako yule mwenyew kabisa yan mbali na hello, Ni neno lingine uwa unalisema..?
Indonesia
53
26
175
6.4K
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Kuna siku nimetoka bank kutoa 20M nikalipe ada ya mwanangu nikakutana na majambazi watatu. Nikamshika mmoja nikamgonga ngumi ya shingo akazimia. Wale wengine wawili nikawatembezea kichapo haswa halafu nikawaambia “Nimewapa nafasi nyingine ya kuishi” Wote wakakimbia kuokoa maisha.
Indonesia
42
38
139
6.2K
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Mwanaume hutakiwi ufanye happy birthday Wala Post kuhsu happy birthday na mambo kama graduation ama Nini Mwanaume post theories, assumptions, researches,laws and rules, experiments na findings Mambo sjui ya 1+age blood achana nayo wewe sio M'mama🙌
Filipino
0
0
0
6
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
@kibaha_finest Mwanaume unatembea mfukoni na elf 4! Mwanaume unakula chakula sa 6 sa 8 umemaliza kweli?!
Filipino
0
0
1
486
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
STORY TIME. (uzi) Nilipokuwa first year nilikua sijui hawa wadada wanao simama barabarani usiku huwa wanasubiri nini wanauza nini binafsi nilikua sijui kama biashara ya ngono ipo seriously nilijua ni story za mtaani tu lakini siku moja mida ya saa 4 usiku pale kurasini TIA..👇
kibaha_finest tweet media
Indonesia
5
3
56
9.6K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Nimerudi kutoka kazini nimekuta MKE wangu kapika chakula kala chote hajanibakishia! Nifanyaje?
Indonesia
90
59
304
8.9K
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Matajiri wote wanajua ku negotiate na udalali
Indonesia
0
0
0
2
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Na suggests all men should study and learn the following Human psychology Persuasion Negotiation Patterns Recognition Understanding Knowledge NB: Negotiation is good to be learnt
English
0
0
0
2
Jackson Samwel
Jackson Samwel@here_isjackson·
Inauma sana unapo fail ku negotiate deal aisee Inauma zaidi ya Kuachana na mpenzi wako 🤦
Filipino
0
0
0
2
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
kontawa alijichanganya sana kwa huyu manzi mwanamke akishakuwa mzuri tu anadhani yeye anaweza pendwa na kupata mwanaume yoyote anaye mtaka. cheki sasa mwanetu ali invest muda na pesa zake mwisho wa siku demu akampiga tukio na kusepa.💔🚮
kibaha_finest tweet mediakibaha_finest tweet media
Indonesia
20
13
334
46.3K
GehGeh
GehGeh@official_Gegeh·
After a break-up: Cut her off. Act like she died.
English
212
534
4K
85.9K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Halafu kuna watu wanakwambia hii ni pisi mbovu
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
52
14
146
7K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mchana huu MABONGE yakienda kula migahawa ya mtaani. Linagiza ugali mbili na ka nusu. Mboga tano yanachanganya kwenye bakuli moja. Soda au juice ni lazima. Maji hayanunui ni yale yale ya pale kwa mama ntilie. Kama kawaida ma sauti mdomoni wakati linakula. Mnduku nje nje. Likishiba ni kulala na kujijambia kimya kimya. Hapo kati kabla ya lunch lishakula karanga za kuchemsha au miwa. Mabonge yanakera.
Indonesia
106
39
461
24K