Sabitlenmiş Tweet
ProsperNow.
123.9K posts

ProsperNow.
@prossoff
A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.
Katavi-Mpanda, Tanzania Katılım Eylül 2020
1.7K Takip Edilen138.5K Takipçiler

Ka video kananiumizaga sana haka😭
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson
Huyu siyo kwamba ni Kibaka au mwizi (panya road)....Hapana. Huyu Mwenezi wa BAVICHA Taifa @FeliusFesto , ni Mtanzania mwenzetu. Kosa lake kuhudhuria kesi ya Uhaini inayo Mkabili Tundu Lissu. Polisi wetu walikuwa Wanapiga kama wanaua nyoka! Hii ilikuwa mwezi April mwaka 2025.
Filipino

Wazee mnataka mpanda tusifanye mapenzi?😂
Sasa niwe na mke home.
Then,
Hizi sa kupita na kusepa nianze kuelekeza namna ya kuandika kweli?😂
Haya ma standard tuweke kwa wanawake wa kuaminia hawa wa kupita tupite wazee.
Siwezi leta STANDARDS za Dar hapa MPANDA.
Tembeeni muone msikariri umjini wenu tena wengine hamjazaliwa uko.
Ndugu zenu wako vijijini na wanawatumia vyakula huko town.
ProsperNow.@prossoff
Huyu single mom amenipania.😂
Indonesia

@prossoff Nakuusia kijana wangu hamna mwanamke atakupa nyau bure Dunia hii lazima Kuna kitu utampa TU !!
Indonesia

@PolycarpMDM Spea halafu kuiendesha gari iko juu ivo ni kazi, hakuna kulala nayo
Eesti

@INFLUENCERjr Anajuaga ball sema hajakaa na watu wanaojua kaka.
Huwezi kuficha uwezo au kuzijuia kuwa bora ukiwa na kundi la watu bora.
Indonesia

Mchezaji ambaye anakamia game za Simba na Yanga tu, hakuna mchezaji humu
FELIX JASON@Iamfelixtz
🚨 𝐈𝐓'𝐒 𝐎𝐕𝐄𝐑 - Azam Fc 🇹🇿 imeachana na kiungo wa kati James Akaminko 🇬🇭 baada ya kumaliza mkataba wake. Kocha Mkuu Florent Ibenge 🇨🇩 hana mipango nae. ✅ Akaminko ni Free Agent.

@prossoff Hakikisha unatumia mouth wash baada ya kula mavitunguu ama baada ya kula vyakula vinavyotoa harufu mbaya. Mouth wash huwa zinakata harufu mbaya ya kinywa kabisa na unaweza kuitumia kila siku baada ya kuswaki hutakuwa na shida ya kunuka nuka mdomo.
Indonesia









