jaster
23.8K posts

jaster
@jastertz
๐๐จ๐ง๐ญ๐๐ง๐ญ ๐๐ซ๐๐๐ญ๐จ๐ซ|| ||Statistician|| @ManUtd ๐ ๐๐ง|| ๐๐ข๐ง๐ ๐ฅ๐ โค๏ธ || ๐๐ก๐๐ง๐ค ๐๐จd ๐
East Africa Beigetreten Ocak 2019
6.5K Folgt10.1K Follower
Angehefteter Tweet

#TajiriLaKihaya
Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa akiba ya mafuta ya miezi mitatu (strategic/operational reserves) inalenga kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa haukatiki (security of supply), siyo kudhibiti bei zisibadilike.
Katika masoko ya mafuta, bei huamuliwa na mchanganyiko wa gharama za kimataifa (international benchmark prices kama Brent), gharama za usafirishaji (freight), bima (insurance premiums), pamoja na gharama za ndani kama ushuru na logistics.
Hivyo hata kama mafuta yaliyopo yaliletwa kabla ya mabadiliko ya bei duniani, thamani yake ya kiuchumi hubadilika mara moja kulingana na bei ya sasa ya soko (market valuation), siyo bei ya zamani ya ununuzi.
Pili, biashara ya mafuta inaendeshwa kwa kanuni ya โreplacement cost pricingโ badala ya โhistorical costโ. Hii ina maana kuwa bei ya kuuza leo inaangalia gharama ya kununua mzigo unaofuata, siyo gharama ya mzigo uliopo. Kama utaendelea kuuza mafuta kwa bei ya zamani wakati gharama ya kuagiza mzigo mpya imepanda kwa kiasi kikubwa, basi mapato utakayopata hayatatosha kurejesha kiwango kilekile cha stock (volume).
Hii husababisha kile kinachoitwa โinventory lossโ au โunder-recoveryโ, ambacho kinaweza kupelekea upungufu wa mafuta sokoni. Ndiyo maana marekebisho ya bei hufanyika mapema kabla hata akiba ya zamani haijaisha.
Tatu, katika muktadha wa Tanzania (na nchi nyingi zinazo-import mafuta), mfumo wa ununuzi wa pamoja (bulk procurement system) unalenga kupata bei shindani, lakini bado unaathiriwa moja kwa moja na mabadiliko ya soko la dunia na thamani ya fedha (exchange rate risk). Hivyo kinachoonekana kama faida ya muda mfupi kwa wauzaji au serikali, kiuhalisia ni โprice smoothing mechanismโ inayolinda mzunguko mzima wa ugavi (supply chain sustainability).
Kwa lugha rahisi: fedha inayopatikana leo kwa bei ya juu ndiyo itakayowezesha kununua mafuta ya kesho kwa bei hiyo hiyo ya juu, ili kuhakikisha kiasi cha mafuta (volume) kinabaki kilekile bila kusababisha uhaba sokoni.
The SPECIAL ONE โข๏ธ@bajabiri
Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?
Indonesia

Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but lengo ni hela hakuna ajira tuheshimiane but tuwe kwenye mstari mmoja-kuikomboa nchi),sio kila ukweli lazima usemwe mwingine unauacha watu waje washuhudie wenyewe(binafsi nimejifunza hilo), tupishane mawazo but tusipoteze direction... Kijiti kwenu Gen Z๐ช
Indonesia
jaster retweetet
jaster retweetet


@nickshirleyy @Chrizzyness CNN: โHello itโs CNN, are you committing fraud?โ
Somali childcare center: โHi. No, we are a legitimate business. Thereโs no fraud here.โ
CNN: โWe have established that there is no fraud.โ
Tanzania ๐น๐ฟ English


@Cobratate Me still wondering why @elonmusk personally has more children than the entire Minneapolis Somali daycare system๐
Tanzania ๐น๐ฟ English

@nickshirleyy @Chrizzyness @NickJFreitas Elon personally has more children than the entire Minneapolis Somali daycare system
Tanzania ๐น๐ฟ English

Journalist @nickshirleyy didn't uncover what Minnesota politicians and media missed.
He uncovered what they orchestrated and covered up.
Protect @nickshirleyy at all costs.
English
jaster retweetet

๐จ Here is the full 42 minutes of my crew and I exposing Minnesota fraud, this might be my most important work yet. We uncovered over $110,000,000 in ONE day. Like it and share it around like wildfire! Its time to hold these corrupt politicians and fraudsters accountable
We ALL work way too hard and pay too much in taxes for this to be happening, the fraud must be stopped.
English
jaster retweetet
jaster retweetet
jaster retweetet

The most difficult decision of in life.๐คฃ๐คฃ
Avicii with "The Nights" and Alan Walker with
"The Spectre" are two key landmarks of the electronic scene that
marked an era and helped define the EDM sound globally.
Both tracks transcended the club to become generational anthems,
connecting millions with their energy, melody and message.
"The Nights" represented the emotion and spirit of progressive
house, conveving a philosophy of life that turned electronic music
into something deeply emotional.
For their part, "The Spectre"
consolidated the electropop and digital aesthetics of modern EDM
reinforcing its global impact and identity as an influential culture...
#Music
Tanzania ๐น๐ฟ English















