
Picha mlipiga zote, hii ndo ilitokea fiti ukaona upost ??.... kama iphone ndo imewatoa hivi...ata heri haka ka-infinix kangu kangewaboost sura kidogo
Book Ten@Bookten8
Haya tumeshiba. What next?
nyrixap
599 posts


Haya tumeshiba. What next?





My children won’t go through this..Imagine nimetumiwa hii na my dad kama fare ya kuenda shule we live in kariobangi so hii pesa ndio inafaa kucover fare ya kuenda na kurudi that is Tao,na bado ndio nafaa kukula lunch mind you nikona exams hadi jioni. Saa hii asubuhi fare ni Mia😭

