Pascal Mayalla

1.1K posts

Pascal Mayalla banner
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

@pascomayalla

Dar es Salaam, Tanzania Beigetreten Ekim 2013
1.1K Folgt4.2K Follower
Angehefteter Tweet
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
Kipindi ni kila siku za Jumapili saa 3:00 Usiku na marudio ni kila Jumatano saa 9:30 Alasiri on Channel Ten, Karibuni!. youtu.be/ZJIKhnZCf04?si…
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
1
18
3.4K
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
Asante Rais Samia Kuthibitisha Ubambikaji Kesi, DPP Anajua, Baadhi ya Ma... youtu.be/ffZ5LH2-AOE?si… via @YouTube , kweli kabisa!, Polisi wanabambikiza kesi, Ofisi ya DPP wanajua, mahakimu na majaji wanajua ni kesi ya kubambikiza na kesi inaendelea, kama hii kesi inayoendelea...
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
0
0
73
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
@Mwabuk2Boniface @AnanileaN Asante rais wetu wa TLS kwa kusimama na haki, ushauri: Haya mapambano ya kupigania haki kwenye mitandao, tuwaachie wananchi, sisi wenye uwezo wa kufanya kitu, tufanye kitu!, TLS mbona ina uwezo sana tuu wa kufanya kitu kupitia legal redress, tumefanya nini?. Let's walk the talk
Indonesia
0
0
0
191
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU. Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani huu siyo uchokozi dhidi ya TEC ,Father Charles Kitima, Mapadre wala Watawa na Wakatoliki wa kweli wenye mapenzi mema. Ni shambulio dhalimu dhidi ya Kanisa na Wapenda haki. Kuruhusu TEC, Father Charles Kitima, Mapadre na Watawa wakatoliki kushambuliwa na kubagazwa ni kuruhusu watekeji ,utekaji na udhalimu kutamalaki. Kama TEC ilisimama na UMMA wa Watanganyika hakutakuwa na kosa lolote sasa Watanganyika kwa umoja wetu kusimama na TEC kuukabili uovu na Wapangao Maovu. Na umma huo wa watanganyika utakuwa na haki ya kutumia njia hizo hizo zinazotumiwa na udhalimu( reciprocity) kuukabili udhalimu huu. Hili ni shambulio dhidi ya Kanisa,Nishambulio dhidi ya watetezi wa Haki za Binadamu na Nishambulio dhidi ya Katiba na Uhuru wa Kuabudu. BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
97
339
1.8K
92.8K
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
Kinga ni bora kuliko tiba, Shime Tujitokeze kwa Wingi kuipa ushirikiano Tume ya Uchuguzi, Kila Aliyepotelewa na Ndugu, Apeleke Jina, ili Tume Ndio Ije na Idadi ya Waliouwawa, Waliouliwa, Waliokufa, na Waliofariki. mwananchi.co.tz/mw/kolamu/king…
Indonesia
3
0
1
80
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
@Mwabuk2Boniface @mwambingama Naunga mkono hoja, ila tuwache waongee, wale ambao hawawezi kufanya kitu, sisi ambao tunaweza kufanya kitu tufanye kitu, our president wa r ndogo, @Mwabuk2Boniface, TLS can do something, jee wewe na TLS mmefanya nini to help out?, tuwaache wengine wa talk, and let's do the walk
Indonesia
0
0
0
36
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
UKITAKA AMANI LINDA HAKI. Msingi wa Amani ni Haki au Matumaini ya kupatikana kwa haki.Siyo hii Amani ya bandia inayohubiriwa na wakiukaji wa Haki na mashabiki wa vitendo vya utekwaji na upotezwaji wa Watu pamoja na mabingwa wa Mradi wa aibu wa kupotezea mauaji ya halaiki ya Oktoba 29 /2025. HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo njia ya kweli ya kuleta muafaka wa kidemokrasia na kurejesha msingi wa utawala bora. BAK MWABUKUSI.
Indonesia
14
174
487
8.7K
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
@bbcswahili Asante kwa taarifa hii, ila BBC kama chombo cha habari, mna wajibu wa kutumia maneno sahihi, fasaha na Kiswahili sanifu. Neno kudungwa, hutumika kwa sindano, kudungwa sindano, kwa kisu au mshale ni kuchomwa kisu au kuchomwa mshale na kwa panga ni kupigwa panga au kukatwa panga.
Indonesia
0
0
0
45
gery teacher
gery teacher@gery_Teacher·
@pascomayalla Pascal, nimesikitishwa sana na hii statement au fikra. Vyombo vya habari kama ilivyo mahakama, vinatakiwa visimame ktk position yake ili vihesabiwe. Pascal vyombo vya habari havitakiwi kuomba huruma ya serikali bali kutetea katiba na sheria zitakazowapa huo uhimili.
Indonesia
4
0
1
22
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
@gery_Teacher Kwanza naunga mkono hoja kuhusu independent media, ila ili tuweze kuwa na hiyo independent media kama mhimili, lazima media iwezeshwe, iweze!. Ile mihimili mingine yote mitatu inawezeshwa!. BBC inawezeshwa, bila media kuwezeshwa hakuna independent media popote!
Indonesia
0
0
0
14
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
@HildaNewton21 Serikali ya Rais Samia, iwawajibishe waliofanya unyama huu kwa watu wasio na hatia
Indonesia
0
0
0
44
Pascal Mayalla
Pascal Mayalla@pascomayalla·
@HildaNewton21 Hakuna ubaya kwa serikali yetu kujitokeza kutaja idadi ya vifo na majeruhi na kukiri kuna watu wasiohusika, waliuwawa kwa bahati mbaya, ili kuzifariji familia zao kuwa sio kila aliyeuliwa ni muandamanaji¡. Mwaka 1976 kulitokea vifo 4 vya Mahabusu, wahusika wote waliwajibishwa
Indonesia
1
0
0
59
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Tarehe 29/10/ 2025 imeweka alama kubwa sana moyoni mwangu ni siku niliyompoteza binti yangu wa pekee, rafiki yangu kipenzi, mtoto wa tumbo langu tena gafla bila hata kuniaga😭😭 Ndoto zako zimekatishwa mwanangu, kwakupigwa risasi ukiwa jirani na nyumbani 😭😭 yale tuliyopanga yote umeenda nayo halijakamilika hata moja mamaa😭😭umeniacha nikilia kila napotazama picha zako mamaa. Nyumba imekuwa kubwa bila uwepo wako mamaa😭😭naumia mama yako sina wa kucheka nae tena kama nilivyokuwa na tabasamu tukiwa wote mwanangu, nakosa mameno ya kusema zaidii nabubujikwa na machozii tuu bint yangu nimemisi cheko lako na tabasamu lako mamaa😭😭😭Usilale mamaa….!”-; Neema Munuo, Mama Mzazi wa Maria
Hilda Newton tweet media
Indonesia
75
238
1.3K
50.9K