
gery teacher
6.6K posts

gery teacher
@gery_Teacher
Ardhi University Alumni | Teacher | Land Economist and Consultant in Real Estate | | Ex -Vice Pesident ASSOCIATION OF REAL ESTATE PROFESSIONALS | Free Thinker |
Katılım Ağustos 2019
539 Takip Edilen231 Takipçiler

@SalimuIbwe @EngMapundajr We acha tu bro. Yani wanasema tutajane tuone aibu.. 🤣🤣🤣
Eesti

@gery_Teacher @EngMapundajr Makazi yangu ni hapa Kahama.... Mji wa dhahabu.
Hii nchi imebarikiwa sana. Ni vile tu kuna Jambo Viongozi wetu wanatukosea. Hatukupaswa kuwa hivi.
Indonesia


@SalimuIbwe @EngMapundajr Safari njema. Mikoa ya dhahabu hiyooo!
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@gery_Teacher @EngMapundajr Hapa chuma inaelekea Kahama kwanza... Kisha uelekeo Dar
Indonesia
gery teacher retweetledi

@godbless_lema @lifeofmshaba Msiba wa Taifa la waTanganyika ndio huu sasa
Indonesia

@TweveDevota Unaiba mzigo mrefu mpaka hakimu anatamani mgawe pasu pasu 😹
Filipino
gery teacher retweetledi

@EduTalkTz Onesmo, watu wengi wameuwawa na wanauwawa kwa kuwalazimisha kumuogopa Mungu. Tumechelewa sana... Kwa sauti ya magufuli
Filipino

Kwa maelfu ya miaka tuliyoishi hapa duniani wanadamu tulishindwa kufanya chochote cha maana zaidi ya kubishana na kuuana kumpigania Mungu.
Fikra za udadisi zikazimwa, watu wakalazimishwa kuamini story za Mungu pasipo kuhoji. Theolojia ikawa mawazo pekee yasiyopingwa kwa hofu ya Mungu.
Tukaendelea kuuawa kwa magonjwa, majanga, na kuishi maisha duni ya tabu na mateso kwa sababu tu ya fikra mgando.
Tuliishi maisha ya tabu na mateso makubwa kwa miaka kibao yote kwa sababu ya kukaririshwa story za Mungu na kulazimishwa kuziamini.
Leo miaka michahe tu baada ya scientific revolution, binadamu anafanya mambo makubwa kuliko kawaida.
Tunatibu magonjwa, tumeongeza umri wa kuishi, tumepunguza umaskini, tumepunguza vita na ushenzi wa kuuana, tunawasiliana kwa simu, tunabrowse mitandao, tunasafiri kwa ndege, treni, na magari ya kisasa, tunatabiri hali ya hewa, tunatuma vyombo kwenye anga za mbali, na mengine kibao.
Story za Mungu na ubabe wa Kanisa vimetuchelewesha sana, leo tungekuwa mbali mara dufu.
Indonesia

@EduTalkTz Onesmo, we can not just produce mobile phone because we have that ingredient BUT we could produce if we have TECHNOLOGY.
so let shape our system to encourage innovation.
English

@mad_genius6 @fadhilikangusi Hiyo GodsvWisdom imeandikwa na nani?
Filipino

@fadhilikangusi Hapa nimekujibu, na ukitaka kupata isight zaidi, anza kusoma Gods Wisdom. Ama puprose ya Mungu kwa Mwanadamu na viumbe wengine, Majibu yapo wazi.
Filipino

@fadhilikangusi .. Ndio uanze kushtulia hadith tulizolishwa!
Indonesia

RIP Mhe Lukuvi. Mama Germina na familia, Mungu awape nguvu. Kwa miaka 10 pamoja Bungeni na kwenye NEC tulifundishana mengi: ukinieleza hali halisi ya MFUMO na mimi nikihimiza kuwa "WE ARE FIGHTING POVERTY NOT THE POOR" sentensi iliyokufurahishaga sana ukinitania kuwa ni mwanaharakati wa kudumu. Zaidi tulibishana sana kuhusu ujenzi wa depot ya mabasi ya mwendo kasi hapo Jangwani. Wewe ukiwa Ofisi ya mhe Waziri Mkuu Pinda ulitaka kuendelea na ujenzi hapo Jangwani tusichelewe. Mimi nilionya kwamba ni environmental hazard na itakuwa hasara kubwa kwani patafurika tu. EIA ilitolewa kimakosa na Waziri wa Ardhi ana mamlaka kamili juu ya maeneo oevu. Nikasimamisha ujenzi na kwa kuwa Rais Kikwete alishanipa assurance kuwa pasijengwe tukawatafutia sehemu nyingine huko Ubungo Maziwa kuhamisha kituo. Ukaniangalia, nikiri kwa amusement na kunikumbusha "PROFESA, SUBIRI, PATAJENGWA TU na MFUMO". And sure enough baada ya wiki 2 hivi nikaona ujenzi unaendelea bila kibari cha Wizara ya Ardhi. Hali halisi. Baadaye ulipoteuliwa kunirithi kuwa Waziri wa Ardhi tarehe 26.01.2015 nilikukabidhi ofisi kwa andiko maalum na matumaini makubwa ya kuendeleza flagship projects zilizokuwa katika hatua mbali mbali za utekelezaji: Kigamboni New City; DSM Masterplan; Makongo Juu Redevelopment Scheme; Wazo Hill/Bunju Resettlement program; Bagamoyo Eco Energy; Land Tenure programs mawilayani ikiwemo Loliondo Village Survey Project kukomesha migogoro na hata NHC Special Programs Audit ya miradi kama wa Kawe kujua ufanisi wake. nkd. Hivo tulifanya kazi pamoja, kadri ilivyowezekana, ni masikitiko kuagana ghafla hivi. Muumba wetu Akujalie raha ya milele.

Filipino

Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya umaskini na imani za dini. Mara yako ya mwisho kumwona tajiri akiangushwa na mapepo ni lini??
Karl Marx aliwahi kusema dini ni kama sindano ya ganzi hivi au madawa ya kulevya, inasaidia sana kukubaliana na hali.
Dini kwa kiasi kikubwa inafanana na kile kidonge cha SOMA kwenye Brave New World ya Audley Huxley, ukilia kinakupooza.
Ukishaambiwa “kuna maisha mazuri zaidi baada ya kifo,” iwe utapewa mabikra kibao au uzima wa milele, unasahau kabisa umaskini. I mean hausahau lakini angalau unakuwa tayari kuvumilia.
Tena kama haitoshi unaaminishwa kabisa kuwa Mungu ndio mgawaji wa kila kitu; yeye ndio ameamua wewe ufe maskini huku Ridhiwani Kikwete akiogelea kwenye utajiri unaotokana na jasho lako.
Ukiuliza kwa nini amempa yule akaninyima mimi?
Jibu ni jepesi: NJIA ZAKE HAZIELEZEKI; YEYE HUMPA AMTAKAYE.

Filipino

@mad_genius6 Injili imeandikwa na watu/kikundi cha wana philosoph wazuri tu. Lkn Bado ni watu walioandika.
Kama mm nimaumbwa na Mungu na Mungu yupo ndani yangu basi injili ipo ndani yangu.
Hakuna mtu anamuambia mtoto kuwa asingate ziwa. Anajua ndipo anapata maziwa.
Indonesia

@gery_Teacher Soma vizuri injili, fatilia pia kusudi la kuishi kwako.
Indonesia











