TAVOR X95
28.5K posts

Mmashangaa Mtu kutoka Arusha kwenda Dar kwa masaa 4..? Mwaka 2008 nikiwa TEMESA tulitoka Mwanza saa 5 usiku kupeleka (kifaa) cha Meli Kigoma saa 03:16Am tulikuwa tushafika.

It can't take us more than 2 weeks to capture Tehran. A UPDF Brigade is enough for that job.

Nipoze injini sasa niupatie mwili lolote jambo Watatiii

Hivi Mwanza kuna Airport ? Ujue kijijini kule nakuona

BREAKING: UAE says strait of Hormuz is not Iranian property, it will be opened now with multi-forces

Tundu Lissu ni kama Nyerere, wakati anapigania uhuru watanzania wengi walikuwa wajinga hata alipotetea demokrasia asilimia 20 walimwelewa Nyerere

Maisha ni fumbo sana kwenye hiyo picha ambaye yuko hai ni yule kule nyuma pekee ambaye alikua MLINZI wa Hayati

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdallah Hamid, amewataka vijana waliohitimu vyuo vikuu nchini kuacha kutegemea ajira za serikalini na sekta binafsi, na badala yake wajikite katika kujiajiri kwa kutumia fursa zilizopo katika maeneo yao.ippmedia.com/nipashe/biasha…

BREAKING: Brent crude oil price is back up to $110