Sightmirror

71.5K posts

Sightmirror banner
Sightmirror

Sightmirror

@sightmirror

#FFF#

Joined Temmuz 2018
585 Following722 Followers
Sightmirror retweeted
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Help my research
Fortunatus Buyobe tweet media
English
37
2K
422
261K
Sightmirror retweeted
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Sisi sio watu wa kutishiwa wala kuwa blackmailed.. Upuuzi huu lazima ufike mwisho, hatutakubali kuwa mateka wa kikundi cha majambazi hata dakika moja.
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

🙄 Msione yaelea vimeundwa! Kila mtu alishangaa kauli ya Chande kuhusu vijana kupewa mafunzo kwenye jengo ambalo liko kita 10 kutoka kituo cha polisi Kumbe chawa wa Abdul katoa code kuwa walilenga @ChademaTZ2 eti jengo la Ufipa Sasa mzee Chande atueleze kama hiyo ripoti waliandika pamoja na akina Abdul ama inakuwaje? Yaani mtu azuke kutoa details hizi kweli? Huu upumbavu wenu una mwisho na tunashukuru Mungu kawapiga upofu wanabwabwaja tu Ila #TutaelewanaTu #SamiaMustGo

Indonesia
8
84
388
10.2K
Sightmirror retweeted
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Manina, huyu ndio mtu wa Mungu wa kuniwekea mimi mkono?? Bora mara 1000 uwe mpagani kuliko kuhubiriwa na mshenzi kama huyu. Anachowaza hapa ni ile gari aliyohongwa tu, TAPELI WA MADHABAHU.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
17
20
116
2.4K
Sightmirror retweeted
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Free Aloyce Nyanda Now!!
Filipino
8
87
373
5K
Sightmirror retweeted
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Hiki ndicho alichokifanya Jaji Kiande. Hizo pesa za uzeeni atazila kwa shida sana.
Tito Magoti tweet media
Indonesia
5
35
196
3.4K
Sightmirror retweeted
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Je ametekwa na wasiojulikana? Mwanahabari Alloyce Nyanda yuko wapi?. Polisi wamekana kumshikilia. Leo ni siku ya pili tangu iliporipotiwa kukamatwa kwake, Kinachoshangaza ni ukimya wa wanahabari wenzake na wameogopa kabisa hata kuandika jumbe za kudai UHURU wa mwenzao. Mwisho wa haya yote upo karibu #FreeAloyceNyandaMtozi.
Hilda Newton tweet media
Filipino
12
92
418
9.7K
Sightmirror retweeted
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Sioni uhusiano kati ya maridhiano na katiba mpya. Hakuna uhusiano. Wananchi wa pande mbili za muungano wafanye refereundum kuhusu aina ya muungano. Sheria ipitishwe ya kuwa na katiba mpya na kuweka timelines Wataalam waandike katiba kuzingatia maoni ya wananchi yaliyotolewa 2012
Tonny@TonnyAdamms

✓ uandikaji wa Katiba Mpya hauna lazima ya kusubiri maridhiano, unaweza kuanza mara moja, wakati jitihada za kutafuta maridhiano zikiendelea; DILLY-DALLY DELAYING TACTICS HAZITAKUBALIKA; ✓ MUSWADA BUNGENI NI MUHIMU NA LAZIMA ili ku kickstart Mchakato wa Kuipata Katiba Mpya; ✓

Filipino
2
14
45
1.8K
Sightmirror retweeted
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Ila Mzee wa Jalala una mambo ya kijinga sana hahahaha Kumbe wewe ndiye umeandika ile Speach ya Samia ukamwambia kila baada ya visentesi awe anamtaja baba wa Taifa hahahaha Shida una nyege sana umesharopoka sehemu, na uzuri wa nyege utopona leo umezee na tabia mbaya Huko kwenu siku hizi kunavuja kama bomba, Mwambie Samia unachosema pembeni acha uogo, mwambie unapeleka anavyotaka yeye, Tena umekumbushia namna ulivyofanya anavyotaka Jiwe ukanywa mpaka dawa za Kovid kutoka madagasca kumbe ni juice tu za yule tapeli baadaye akafukuzwa na wananchi sasa unasema huyu wa sasa ni kichaa kuliko Jiwe unampa anachotaka, unafanyaje kazi na kichaa ? siujifanya unaumwa upumzike kazi achaneni na Nyerere wahuni nyie
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
Filipino
6
30
262
19.1K
Sightmirror retweeted
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hii serikali dhalimu na kina Kabudi wanshangaza!!! Yaani badala ya kutatua tatizo wanatengeneza matatizo zaidi!!! Yaani ni sawa mtu unaumwa alafu unakaa wewe mwenyewe unajidanganya kwamba hauumwi!!!!
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

‼️🚨TUSIPOAMKA NCHI IMEKWENDA‼️ Mungu ni mwema sana 🙏🏽 Kabudi ameropoka kila kitu na sasa ni dhahihiri hawana nia yoyote njema na Taifa 👉🏽Tulipewa taarifa kuwa Kabudi ndiyo mastermind kwa maelekezo ya Abdul na genge lake kuDOCTOR ripoti ya Tume ya Chande na ndo ameandaa hotuba ya Samia - tatizo lake ni mropokaji 🙄 Lakini kupitia hii interview ya BBC amejianika kuwa yeye ndo mwandishi na mpangaji wa mipango yote na ndiye anatoa maelekezo wala si @SuluhuSamia 👉🏽 Kabudi anaongelea Tume ya Uchunguzi ambayo imependekezwa na Tume ila ye tayari anaongea (siyo kwamba Rais kamwagiza bali kama yeye ndo Rais mwenyewe) kuwa wataitwa watu na sijui sheria ya Uingereza! Tume haijaundwa wala kupewa hadidu rejea - lakini tayari Kabudi anaeleza what will happen! 👉🏽 Ameweka wazi kuwa watatarget viongozi wa upinzani (CHADEMA), viongozi wa dini na wanaharakati! Yaani wakamate na wafunge midomo wote tunaoongea na kupaza sauti! Ila walioua na ushahidi upo ni polisi hawatawajibishwa! Hakuna Haki itatendeka 👉🏽Katiba mpya wanataka kuleta ya kwao na mmemsikia huko mwisho eti labda waingiliwe na “wasiotakia mema nchi” mnaandaaje Katiba Mpya na huku mnawinda na kukamata wadau muhimu kama wa upinzani na wanaharakati? Sasa eleweni watanzania kuwa genge la Abdul na mama yake wakishirikiana na wasaliti wa Tanganyika kama akina Kabudi hawataki maridhiano ya kweli wala Katiba Mpya Wao wanataka kujizatiti kwenye udhalimu wafunge kila anayekosoa na wanasema watanzania wawe waoga wasithubutu tena kuandamana au kupinga serikali yao! Wanasema mmeshakuwa waoga so bado kidogo mtafyata wote! Sasa nina swali kwa wazalendo wote - hivi kweli tumekosa ujasiri na akili kiasi hiki? Mko tayari nchi izamishwe iwe himaya ya genge dogo la kilafi? Mnaelewa CONSEQUENCES? Kwamba Kabudi na wenzake wanapopeleka hii nchi ni kuDESTROY! Miili ya wapendwa wetu hatutakaa kuzipata! Tunaopaza sauti sasa tutanyamazishwa na giza litafunika nchi! Muda ni huu kutafakari kama Taifa! Kama mtakubali kwenda na huu upumbavu hakuna watu wa nje kuja kutukomboa! Utabaki ukweli daima! The choice is yours! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo youtube.com/live/tKqybIs-j…

Indonesia
16
106
406
9.1K
Sightmirror retweeted
The Ironman
The Ironman@mussa2014_·
@MariaSTsehai Body language,presentation vina outsmarted Le Profeseri kabisa. Huwezi kuamini ni msomi wa sheria nguli,madaraka ya zawadi yanaondoa personal integrity ya mtu. Unashindwa kujua kama aliwahi kufanya research na kuandika,lazima tuwe na vetting organ ya kuwachambua maprof hawa
Indonesia
0
8
23
2.6K
Sightmirror retweeted
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️TUMEMPATA MWANDISHI WA REPORT YA JAJI CHANDE.‼️ Kwa mujibu wa Abdul mtoto wa Idd Amin Mama wakati anajiongelesha kwa watu ambao anadhani wote wanafurahia maujinga yake. Ni kwamba Machi 27, 2026 Jaji Chande alikabidhi Report yao ya Uchunguzi kwa Idd Amin Mama, Report ambayo hapo awali ilipangwa kutolewa hadharani April 3 lakin kutokana na kutoridishwa Nduli Idd Amin Mama aliomba wahairishe. Nduli Idd Amin Mama na mwanae walichukua Report ya Chande, wakampa Palamagamba Kabudi aipitie na kufanya marekebisho kwa kadri atakavoona inafaa. Nduli Idd Amin Mama alimpa Kabudi kwasababu anaamini kwamba ndo mtu ambae anajua kufanya robbing huko kwenye International Community so atamsaidia kumsafisha mikono yake yake iliyojaa damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi aliouwawa Oktoba 29 kwa risasi. Anataka kusafishwa huko kwenye International Community ili wale aliowaita “How are you’ waiondolee Tanzania vikwazo vya kuinyima misaada na mikopo nafuu maana sasa hivi kiuchumi hali ni ngumu, wanapumulia machine. Sasa Kabudi baada ya kupitia Report ya Jaji Chande hakuedit bali aliamua kuandika upyaaa kabisa, hata maana ya kuunda Tume ikapotea maana aliweka maoni yake ambayo walishauriana na kukubaliana na Idd Amin Mama pamoja na Abdul kwamba hiki kiwepo na kile kisiwepo lakin Jaji Chande alikuwa anajua kabisa kwamba Report itabadilishwa maana walimjulisha na alitulia kimya hata wajumbe wenzake wa Tume hakuwambia, sasa ukimya wake ni tafsiri ya kwamba alikuwa tayari kuwaunga mkono kwenye uchakachuaji wa Report. April 23, 2026 asubuhi Jaji Chande alikabidhiwa Report ukumbini ili aisome ndo maana wakati anasoma alikuwa anababaika sana kwasababu hakupata muda wa kuipitia Kama ambavyo utaratibu unataka. Lakin pia Kabudi huyo huyo ndo alimuandikia Hotuba Idd Amin Mama ile aliyosoma siku ya kupokea Report ndo maana Idd Amin Mama alikuwa na majibu ya hoja zote ambazo ambazo zilikuwa kwenye Report ambayo inaitwa ya Jaji Chande, tena akaongeza na chumvi kwamba “Watanzania huko mtaani wanasema wanamtaka Samia ambae wanamjua” 🚮 Kabudi ndo aliyemshauri Idd Amin Mama kwamba wasiiweke report ya Chande public kwasababu ikitoka public wakati kuna wajumbe wa Tume ya Jaji Chande wanareport yao ambayo wameifanyiakazi kwa miezi minne, wanaweza kuamua kuivunjisha makusudi ili Wananchi wafanye ulinganifu so siri itafichuka. Kabudi ndo aliyemshauri Idd Amin Mama kwamba pamoja na mambo mengine ili International Community wampe second chance, inabidi ajifanye anataka maridhano na wapinzani wake lakini kiukweli wala hawataki maridhano ila wanataka picha za maridhano ili wakaombee misaada kwa hao ambao alikuwa anawaita “How are you” ndo maana wanahubiri maridhiano lakin bado wanateka na kupoteza watu. Abdul wakati anapiga story na wapambe wake anasikika akicheka huku akimsifia Kabudi kuwa ni Bingwa na kwamba kupitia Report hiyo ametunyoosha Watanganyika maana tulidhani Report ya Chande itakuwa ya kuwajibisha maofisa wa vyombo vya dola waliouwa Watanganyika wenzetu Oktoba 29, anasema watawawajibishaje watu ambao wamemsaidia Mama ake kuwa madarakani? kama ambavyo Vyombo vya Ulinzi na usalama vilimlinda Mama yake na wao watahakikisha wanavilinda. Anasema hata uteuzi wa Angela Kiziga ulikuwa mahususi kwa ajili ya kuwatoa watu kwenye mjadala wa Report maana wameona Tume inashambuliwa sana kila kona ya mchi hivyo wanapambana kuzima mjadala. Anasema kuanzia wiki ijayo wamejipanga kuwatumia Wasanii wa Bongo, Viongozi wa dini (Machawa wao) na Watengeneza maudhui wa mitandaoni & etc. anatamba kwamba watatupiga matukio mpaka tutatoka kwenye reli, lengo ni tusahau Report ya Tume na mauaji ya Watanganyika wenzetu yaliyotokea Oktoba 29.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
35
132
633
35.8K
Sightmirror retweeted
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
“Mwanasiasa Ambaye Tumboni Ana Njaa Siyo Wa Kumuamini, Kabla Ujakomboa Watu Kwanza Komboa Tumbo Lako” ~Dr Reginald Mengi (R.I.P)
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
13
145
940
12.6K
Sightmirror retweeted
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Kumbe UVCCM ndio waliofanya mazoezi ya kijeshi na kupewa silaha kuuwa watu? Ushahidi huu hapa.
Indonesia
1
60
212
6.8K
Sightmirror retweeted
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kabudi kupitia Tume ya Chande amemuingiza Samia kwa box Kabudi ameandika hakukuwa na taarifa na polisi hawakujiandaa Waziri wa Mambo ya ndani wakati huu, miezi miwili kabla alisema watakao andamana jeshi la polisi limenipanda na vyombo vingine vya dola , Watakutana na kisiki ( mauaji) Samia na Waziri wa Mambo ya ndani Walipanda Wakaandaa Jeshi la Polisi Wakatengeneza Operation kisiki Wakaua watu siku ya maandamano Tatizo kabudi upumziki unaendekeza sana ngono unasahau vitu vyepesi na una akili ndogo umeaminiwa na teja Abdul unajiona mwamba ila hauna umakini wowote umeandika upumbavu uliandika kwa kukoleza kumfurahisha Abdul kumbe unaaribu Hivi umemwambia Samia na anajua unapokea amri kutoka kwake na unapokea kwa Abdul na unatekeleza anachokuambia Abdul japo sasa unatekeleza pia ya Mwigulu sababu uko kwa KKKT GANG urais 2030
Indonesia
1
44
169
13K
Sightmirror retweeted
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Tulipomkataa mbowe mchana kweupe wengine hatukuwa tunamjua sana ila ishara na matendo yake yalikuwa na ulakini... Huyu sasa ndiye mwamba halisi baada ya kuacha majukumu ya chama...ameungana na wauaji halisi...
Indonesia
1
11
36
375
Sightmirror retweeted
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Jana niliandika ujumbe nikikosoa kitendo cha Mzee MBOWE kumuombea msamaha SABAYA. Nimepata maoni mengi; wengine wakisema sikuwa sawa. Ipo hivi. Kuna mambo katika siasa hayawezi kufutwa na maneno laini na mepesi ya “msamaha,” hususani msamaha usiotoka kwa mtenda dhambi mwenyewe. Utawala wa SABAYA katika wilaya ya Hai haukuwa wa kisiasa tu; ulikuwa ni utawala wa chuma na ukatili uliopitiliza. Hata Mzee MBOWE anafahamu hilo. Makosa ya uhujumu uchumi na unyang’anyi wa kutumia silaha (armed robbery) yaliyomfunga gerezani wakati ule, ni tone dogo sana katika bahari ya unyama wake. Wapo watu walitekwa, kuteswa, na kuachwa na vilema vya kudumu. Kusema mtu huyu anastahili msamaha bila toba ya dhati kwa wahanga, si tu ni kosa, ni dhihaka. Miongoni mwa wahanga wa genge la SABAYA ni ndugu yetu Simon MNYAMPANDA, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Hai. Ndugu yetu aliteswa. Simon Mnyampanda aliteswa kwa umeme. Ameeleza wazi kwamba, alihojiwa kuhusu mahusiano yake na Mzee MBOWE. Mwisho, alipigwa misumari ya miguu. Huyu ni mtu aliyepata mateso hayo akimlinda Mzee MBOWE na CHADEMA. Leo Mzee MBOWE anajigeuza kadinali na kumuombea msamaha mtesaji SABAYA? Genge hilo halikuishia hapo. Genge hilo lilikuwa kama MAHARAMIA. Walivamia nyumbani kwa mgombea udiwani wa kata ya Narumu katika jimbo la Hai. Baada ya kumkosa, walitoa adhabu ya kinyama kwa watu waliokuwepo nyumbami kwa kuwakata masikio na sehemu nyingine. Nyumba nzima ilitapakaa damu. Hawa ni binadamu, si takwimu za kisiasa. Hawa watu waliotendewa mambo hayo wapo. Baadhi ya ushahidi wa masuala hayo nimeambatanisha katika makala hii. Inasikitisha kuona Mzee Mbowe anatumia mateso ya wafuasi wake kama mtaji wa kisiasa (political capital). Binafsi nimejiuliza maswali mengi tangu hiyo jana. Je, wahanga wameombwa msamaha na kufidiwa? Je, mateso yao yamekuwa ngazi ya makubaliano ya kisiasa? Hii si dharau kwa wale walioteswa wakikupigania? Sabaya anapaswa kuomba msamaha kwa waathirika, si kuombewa. Vinginevyo, hii ni michezo ya kumtengenezea mazingira ya kupata uteuzi katika Serikali ya CCM. Watu wa Hai hawajasahau. Damu na machozi ya wahanga bado vinadai haki. Msamaha bila toba ni baraka kwa ukatili mwingine ujao. Haki kwanza, msamaha baadaye. Binafsi, nilimheshimu Mzee Mbowe kiasi cha kumpa mwanangu wa tatu jina la “Freeman”. Leo hii, nahisi usaliti mkubwa moyoni mwangu kwa mambo hayo. Kunyamaza mbele ya usaliti huu si busara, bali ni upumbavu ambao kesho utatunyong’onyesha. Nimeandika ili kulinda hadhi ya jina la mwanangu. Siku mtoto wangu akiniuliza, nitamjibu kwa utimamu kabisa. “Nilitetea maana halisi ya ‘Freeman’ wakati jina hilo lilipotaka kuchafuliwa na siasa za kimaslahi.”
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
134
307
1.1K
33.4K
Sightmirror retweeted
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Jaji Chande anaishi Mbezi ya Kimara sehemu moja hivi inaitwa Msumi. Maandamano yajayo ni muhimu sana tupite pale kwake ili akatuonyeshe ushahidi wa Waandamanaji waliokuwa na silaha na izo kambi za mafunzo ya Maandamano.
Filipino
32
153
1.1K
31.9K
Sightmirror retweeted
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Ripoti ya Tume ya Chande, imenikumbusha ripoti za Tume za madini 2017, Magufuli aliunda Tume ya Prosessor OSOLO na MRUMA kuchunguza mikataba ya madini, tume ikaleta ripoti, Homeboy Tundu Lissu anakuwaga Mwaka wa mbele kwa kila kitu, Akaziita ni "PROFESSORIAL RUBBISH" 🚮 🤣 😄
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
6
30
233
6.2K