Ngapulila!

42.6K posts

Ngapulila! banner
Ngapulila!

Ngapulila!

@FreeData462

Lissuizim

Tanganyika! Se unió Eylül 2020
2.1K Siguiendo2K Seguidores
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Namshukuru Mungu Leo nimehamia kwenye appointment yangu nikiwa na miaka 23🎉😻
ochola..🦅⚠️ tweet mediaochola..🦅⚠️ tweet media
Indonesia
76
39
437
31.8K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kuna watu wengi hukosoa kitendo Cha wanaume kupiga Magoti siku ya kuvishana Pete na kusema ni kwenda kinyume na matakwa ya Mungu huku wengine wakisema ni kushusha hadhi ya mwanaume. Na hii picha ni siku Nikki wa pili ambayo alikuwa akimvisha Pete aliye kuwa mke wake huyu. Unapiga Magoti hivi na bado unaachwa aisee hiki kitu hakiwezi toka akilini.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
22
5
82
11.7K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Haujaoa bado harafu unamsema vibaya nikki fresh mwanetu 🫵
PàChâ#1738 💫 tweet media
Eesti
18
16
82
2.1K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Rais Félix Tshisekedi wa DR Congo ametoa zawadi ya gari kwa kila mchezaji wa timu ya taifa ya DRC kwa kufuzu kushiriki World Cup kwa mara ya pili baada ya miaka 52 kupita.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
21
15
582
21.6K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Tuwachanganye wakishua, kwenu mnaitaje hii kitu hapa..👇🏾
kasesco☆ tweet media
Indonesia
62
39
175
9.4K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wote wanaotoa taarifa za uzushi kupitia mitandao ya kijamii na kupelekea uvunjifu wa amani.
Indonesia
18
0
65
9.5K
Shasila Nabipa
Shasila Nabipa@Shasilanabipa·
Kafanyaje huyu mbona ana trend..??
Shasila Nabipa tweet media
Türkçe
4
0
6
1.9K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Huyu Hapa anaitwa Mchungaji Lilian IPM ndo mke halali wa Nabii IPM. Kwahiyo mnapo Sikia jamaa alinyimwa Show mpaka akanunua iphone ndo akapewa muwe mna muelewa jamani, si mnaona Wenyewe mtoto huyo halafu ni mchungaji mjue. Kwa wale ambao mlikuwa hammjui ndo huyu hapa, vipi yaliyomo yamo?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
22
1
101
26.3K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Isarito anajaribu sana kufanya vitu vikubwa kwenye muvi ila ni kama Watanzania Wameshindwa kabisa kumpa sapoti inavyo takiwa. Tumpe maua yake huyu jamaa kazi anaiweza. Ulimkubali kupitia muvi gani huyu?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
11
1
111
10.1K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Ni muhimu kwa taasisi zetu kuruhusu uhuru wa kutoa maoni na ukosoaji kutoka kwa watu wa ndani. Hatua hii husaidia kubaini na kurekebisha makosa mapema, kabla hayajafika nje ya taasisi. Aidha, ukosoaji unapojikita zaidi kutoka nje, unaweza kutafsiriwa kuwa taasisi haina uwezo wa ndani wa kutambua na kushughulikia changamoto zake mapema. Hivyo, kujenga utamaduni wa kushauriana na kukosoana kwa ndani ni msingi muhimu wa kuboresha maamuzi na kuimarisha ufanisi wa taasisi. Tujenge tabia ya kuambiana ukweli ndani ya taasisi zetu.
Indonesia
15
8
19
18.4K
Ngapulila!
Ngapulila!@FreeData462·
@Thommunkondya Kuna Namna Mchongo Yako Inaenda Ukiwa Huko Ukiko. Huenda Wewe Na Familia Yako Mafuta Mnanunua Kwa Kutumia Kadi Za Chama.
Filipino
0
0
1
27
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Unataka kusema wenye akili hawapo CCM.? Hivi nani aliwadanganya hili wakuu.? CCM ndiyo ina watu wengi nchini very Smart. Hawaongei ongei tu. Nyie mnaona mna watu smart kwasababu wanakosoa serikali. Katika kazi rahisi hata mjinga anaweza kuonekana smart ni kukosoa jambo. Kukosoa jambo hakuhitaji akili mbona.
Gerry The Warrior...!@Gerry780000000

@Thommunkondya @Tinahcristiaan @lapexproperties Thom Hapa sina shaka na wewe Upo smart kwenye haya Mengine. Kuna Watu wangu Wawili uliwasaidia Vizuri kabisa. Shida najiuliza why na Usomi wako na Uelewa Wote na Eksposha Yote Hiyo ukaungana na ccm? Ujue sijawahi kukuelewa kabisa. That part cant be fixed tulichofundishwa sicho.

Indonesia
34
2
16
3.1K
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Mahuni ya CCM yakiamua kukuharibia hayabahatishi ni either yakuweke wewe karibu au Mke wako kisha yabutuweee... 😂🚮
Aruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet media
Indonesia
25
28
476
70.8K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Kutukana viongozi na kukosoa serikali kumewafanya wajinga wengi kuwa maarufu nchini Tanzania. Mbaya zaidi, wakati mwingine huonekana kana kwamba wana akili kubwa 😁.
Indonesia
96
9
52
16.4K
Lamu Rafael Lamu
Lamu Rafael Lamu@LamuRafael77·
📍 Inawezekaneje Mbunge wa EAC, kuteuliwa kuwa Mbunge wa JMT?. Mtu mmoja anakuwaje na kofia mbili katika Taifa lenye watu zaidi 61m?, Mamlaka ya UTEUZI haikuona mtu mwingine tofauti na Kizigha?. Mwanasheria Mkuu wa Serikali anatimiza kweli wajibu wake wa Kikatiba (Ibara ya 59B).
Lamu Rafael Lamu tweet media
Indonesia
41
49
201
21.8K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mara nyingi ninapokutana na wazee au viongozi waliowahi kulitumikia taifa au chama hasa UVCCM au TYL (TANU Youth League) napenda sana kujifunza kutoka kwao, hasa kwa kusikiliza na kuuliza maswali. Siku moja, mzee Ulimwengu alitusimulia tukio ambalo lilinifurahisha na kunifundisha sana. Alieleza kwamba wakati fulani wakiwa bungeni, kulijitokeza tabia ya baadhi ya wabunge kutaka kuwahi kuondoka ili wakale nyama, hasa mwishoni mwa wiki. Hali hiyo ilisababisha wengine kuanza kuwaharakisha wabunge waliokuwa wanachangia kadri muda wa kikao ulivyokuwa unakaribia kuisha. Anasema siku moja aliposimama kuchangia, alimwomba Spika awaruhusu wale wanaotaka kwenda kula nyama waondoke, ili wabaki wale waliokuwa serious na masuala ya taifa waendelee kujadili mambo ya msingi. 😄😄🙌🏿💪🏿 Hiki ni kisa kimoja kati ya vingi kilichonifundisha sana, hasa ukizingatia alikuwa kiongozi ndani ya Jumuiya ya Vijana ya TANU. Heri ya kuzaliwa Mzee wetu watoto wako tunajifunza mengi kutoka kwako kupitia maandishi yako,simulizi zako,interviews zako nk. Mungu akujalie afya njema tuendelee kujifunza zaidi.
Thom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet media
Indonesia
11
7
75
22.8K