Sabitlenmiş Tweet

Wazee Msilazimishe Vijana Tuwavunjie Heshima. Mkikuta Foleni Kaeni Kwenye Foleni. Kila Mtu Ana Haraka Zake. #tutawavunjiaHeshimaKweliHamtaamini
Indonesia
Ngapulila!
42.6K posts









@Thommunkondya @Tinahcristiaan @lapexproperties Thom Hapa sina shaka na wewe Upo smart kwenye haya Mengine. Kuna Watu wangu Wawili uliwasaidia Vizuri kabisa. Shida najiuliza why na Usomi wako na Uelewa Wote na Eksposha Yote Hiyo ukaungana na ccm? Ujue sijawahi kukuelewa kabisa. That part cant be fixed tulichofundishwa sicho.



