Pinokyo

332 posts

Pinokyo banner
Pinokyo

Pinokyo

@Pinokyo100

I drink and i know things

Tanzania Se unió Ekim 2020
140 Siguiendo48 Seguidores
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
Free Tundu Antipas Lissu, He is a good man.
Pinokyo tweet media
English
0
0
0
1
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@chapo255 Inabidi watoto pia wapende shule aisee...au malezi yanachangia?
Eesti
1
1
10
2.3K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@Thommunkondya Kaka Thom anataka kutuaminisha kwamba yeye ni mfanyabiashara wa kipekee ambaye lengo lake la kwanza ni kutoa ajira na sio maximum profit. Ulimwengu unaendelea wote kwenye technology, machines za viwandani almost zinafanana kwenye production,watu wanapunguza man power ye anaongez
Indonesia
0
0
0
17
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@Thommunkondya Ulaya wanapunguza man power, washadevelop robots kwenye kazi nyingi na Ai za man power. Kufikia hiyo 2050 nadhan dunia itakuwa kwenye level tofauti kabisa. Hakuna mtu ataajiri watu 100k...acha siasa za ulaghai kaka.
Indonesia
3
0
1
504
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Ifikapo 2050, nalenga kumiliki viwanda 20+, kuajiri Watanzania 100,000+, na kuchangia 2%–5% ya uchumi wa $1T. Ndoto yangu ni kuwa kinara wa viwanda na ajira Tanzania kama mtanzania mwenye asili ya Tanzania wa kwanza.
Indonesia
78
25
190
19.5K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@Sativa255 Jamani mwenye link ya game na mimi nimalizie 2nd half
HT
1
0
0
167
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Rice cooker inaendelea kupika WALI vizuri kabisa😂🫵🏾
SATIVA tweet media
Indonesia
13
7
247
6.1K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@a_derll Link please....i need to watch the game
English
0
0
0
183
Miss ADEL🦋🦚🌹
Soo unselfish from Mbappe but how did Neuer stop Vinicius 🤯
English
22
36
1.4K
139.3K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@TichaMandevu Me nipate link tu ya kuangalia game jamani....
Indonesia
0
0
0
19
TICHA MANDEVU13
TICHA MANDEVU13@TichaMandevu·
Kila mkeka mmemuua Madrid mtashangazwa Leo mnamjua Madrid 😂🙌
Indonesia
4
4
21
542
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@Thommunkondya Sijaelewa ulichoandika kama umemaanisha ninachokisoma. Anyways tuombe uzima
Eesti
1
0
0
76
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Huyo dogo Pitarch aliyeanza hapo kwenye kiungo cha Madrid ni nani tena?? Anajua!? Maana kuwapiga mkeka watu kama Jude, Militao, Ceballos na Camavinga halafu yeye akaanza sio joke ujue
Filipino
20
9
324
11.9K
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Wakolosai 2:16 mtu asihukumiwe kwa chakula au sikukuu. Warumi 14:17 ufalme wa Mungu si chakula wala kinywaji.
Pinokyo@Pinokyo100

@mentor209 Nashindwa kuelewa muktadha wa andiko lako. Ukisema taratibu za kanisa unamaanisha sio la kikristo? Otherwise, taratibu za kanisa la kikristo na taratibu za kikristo ni kitu kilekile. Labda tofauti ya mapokeo na madhehebu...

Indonesia
2
2
16
1.5K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@mentor209 Nashindwa kuelewa muktadha wa andiko lako. Ukisema taratibu za kanisa unamaanisha sio la kikristo? Otherwise, taratibu za kanisa la kikristo na taratibu za kikristo ni kitu kilekile. Labda tofauti ya mapokeo na madhehebu...
Filipino
0
0
1
1.9K
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Wakristo wengi hatujui kati ya taratibu za kanisa na taratibu za kikristo.
Indonesia
12
9
142
6.4K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@SharonMontana20 @Adv_innocent Kyela ni malawi...mtu kutoka kijijini ipinda huko, ni ngumu kutoa shamba kwenye kichwa yake. Mbeya ni pale mjini tu.😀
Indonesia
0
0
0
9
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@gabyconscious Pamoja mzee....Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nawe.
Polski
1
0
1
24
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@KWrudate @gabyconscious Of course, am proud to be Catholic. Very proud. Sijasema kakosea kula nyama, anaweza kuwa mkristu safi wa madhehebu mengine ni haki yake. Kanisa katoliki linakataza kula nyama Ijumaa kuu...on the same occasion unapost nyama na salamu ya kikatoliki, haikai poa. Homeboy kanielewa..
Indonesia
0
0
0
19
Kentsuh Wrudate
Kentsuh Wrudate@KWrudate·
@Pinokyo100 @gabyconscious Unaanza kua kama wale wa proud to be sasa. Wao ndio wako insecure na imani yao. Ukiwasema kidogo tu wanajaa mihemuko. Wakatoliki hatuko hivo janja..
Indonesia
1
0
0
16
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@TitoMagoti Wamesubiria pasaka ipite, ili tuhuma zao za kuhamisha goli ziende kwa kelele chache. Ujue makanisa yote kingewaka pasaka hii... I guess ni hivo, ila waovu ni waovu tu.
Indonesia
0
0
6
223
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Ni saa kumi na nusu jioni. Tume mwitu ya Jaji Chande inayokusudia kumsafisha muuwaji Samia haijatoa taarifa yake. Iwe wamepata second thought au wanapima upepo, tunawasubiri kwa wivu mkubwa sana. Hakuna namna Samia atajiondoa katika msala wa mauwaji ya halaiki. Tunataka Haki!
Indonesia
23
130
830
18.2K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@SharonMontana20 Unataka wazungu waje watujengee kila mtu nyumba nzuri, watuwekee umeme na maji, tuwe kama dubai. Kila mwisho wa mwezi wawe wanatulipa bila kazi yoyote. Kwa msaada wanaotoa tungekuwa tunajitambua tungekuwa tumefanya zaidi ya hapa tulipo. Tunapaswa kujilaumu wenyewe.
Indonesia
0
0
1
54
Doctor Mishy🇷🇺
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20·
Kama barabara zote zinajengwa kwa misaada au mikopo, hiyo ni proof gani ya mafanikio? Inaonyesha utegemezi, sio maendeleo. Maendeleo ni pale nchi inaweza kugharamia miradi yake yenyewe, sio kuishi kwa misaada kila siku
Pinokyo@Pinokyo100

@SharonMontana20 Barabara za lami zote kubwa hapa nchini hakuna tuyajenga kwa fedha zetu, zote ni ufadhili kutoka nje. Hakuna mradi wowote mkubwa wa nchi yetu kama sio mkopo basi ni ufadhili. Bado pesa hizo ziliwe na hao viongozi. Then tuje kulaumu misaada haitusaidii? Tumerogwa...

Indonesia
4
3
12
611
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@SharonMontana20 Barabara za lami zote kubwa hapa nchini hakuna tuyajenga kwa fedha zetu, zote ni ufadhili kutoka nje. Hakuna mradi wowote mkubwa wa nchi yetu kama sio mkopo basi ni ufadhili. Bado pesa hizo ziliwe na hao viongozi. Then tuje kulaumu misaada haitusaidii? Tumerogwa...
Indonesia
0
0
1
814
Doctor Mishy🇷🇺
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20·
Kwa nini misaada kutoka nje haijawahi kuleta maendeleo ya kudumu Afrika?
Indonesia
39
12
96
13.4K
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@LugumiL Kuna buku la fegi hapa...tuma namba uokote boss.
Filipino
0
0
0
188