GIPSON BNN
127.5K posts

GIPSON BNN
@mentor209
No handouts, no pity. Just hunger in my chest and fire in my steps. Today we grind reckless.
Nyumbani kwetu Katılım Şubat 2021
1.9K Takip Edilen12.8K Takipçiler

Watu wameweka hela kaka au hauna shida na hela nyepesi hapo
GIPSON BNN@mentor209
Wazee wa vibunju hawaamini macho yao 3:30-4hrs unaweza kutoka moshi to Arusha. Vibunju oyeee
Indonesia

Ndio mtu wa rally huyu? Anatembea kama tahmeed
RaHeeM@Cowwbama
Mwanangu wa kuitwa kakwezi (kaks) kanambia kwa yeye kwa kutembea kwake ametembea 6-6.30hrs Ubungo-Moshi✅
Indonesia

@mentor209 @Cowwbama @MarekaMalili Kaka kile kipande msata mpaka korogwe ule wembamga na yale makorongo plus mashimo bado mnapita 180?
Filipino

Kama ni 160kms per hour kwa 500km ni masaa 3.40
GIPSON BNN@mentor209
Unakumbuka December tulifika Moshi Kwa masaa matatubna nusu😂 Nyumbani wakaniuliza kwani umekuja na ndege😂😂 Watu wengi hawawezi tembea 140-160 Ila 120-140 Moshi haizidi masaa manne
Indonesia

@lugmeryz @Amani_Ndoveni Kaka mimi nimesema tu waislamu wanasujudu kama wayahudi
Indonesia

@Amani_Ndoveni @mentor209 Hawa watu ni wapumbavu sana yaani...
Kitu pekee wanaweza ni uongo tu.
Yaani dini iliyokuja miaka 600 baadae ndio inajigeuza ndio eti yenyewe mwanzilishi wa tamaduni.
Hata hai make sense labda uwe mjinga wa mwisho kabisa
Indonesia


@LifeofSteph_1 @Kil0voltI @Cowwbama Kaka cowbama muache😂 huyo hawezi tembea 180 ana mahusiano trojan ana nunua
Indonesia

Jifunze kuendesha kwanza
Cletus_jr7@cletus_jr7
Mimi sijui kuendesh gari lakini huo umbali hauwezi tumia masaa matatu na nusu
English

Masaa matatu na nusu unatokea wapi?
Eng Msaki@Aloycemsaki
@Ninja_Damour Ninja unataka kubisha😂
Indonesia

@Cowwbama @MarekaMalili Malori sio mengi malori ni machache mno tena sana kama ukisafiri alfajiri ya jumapili unakutana na malori na magari kwa nadra sana.
Indonesia

@mentor209 @MarekaMalili Njia ya moshi haina malori au malori sio mengi?
Indonesia

@Cowwbama @MarekaMalili Kaka ushawai kusafiri siku yoyote alfajiri? Njia ya moshi haina malori kaka hio sio safari ya iringa
Indonesia

@MarekaMalili 160/hr barabara ya moshi arusha askari mda wote wa mrungi
Tochi ndio hamna, barabara yenyewe sio nzuri na malori mengi
Indonesia

@Cowwbama Mimi nakuambia hio ni real sio uongo unaweza kaa pembeni
Indonesia

@mentor209 Siwezi jaribu iko kitu
Ila naweza kukaa moshi au dar nikusubiri hayo masaa matatu
Indonesia


