K A L A M U

5.6K posts

K A L A M U banner
K A L A M U

K A L A M U

@logic_himself

Afya yako iwe kipaumbele chako||Kama mwanaume hakikisha unajisimamia🤝||

Dar es Salaam, Tanzania Se unió Haziran 2021
4.2K Siguiendo15.3K Seguidores
Tweet fijado
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Adhabu gani nzuri ukimfumania na mkeo
13
3
75
5.7K
K A L A M U retuiteado
William Shirima
William Shirima@Dr_shirimatz02·
Aibu hailipi bili 💸 usione aibu wakati unajitafuta fanya kazi yoyote halali mpaka upate kazi ya ndoto yako.
Indonesia
21
53
144
1.8K
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Tangu nimerudi watu mmenisahau kabisa kmmk,
Indonesia
6
13
29
268
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Najua wengi hamjui M-pesa Ile "M'' ni Mapenzi😁😁
HT
2
3
7
92
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Mwisho wa yote tunasema Mungu ni mwema. 🙏🏼
Eesti
3
17
84
990
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Ambao hatuna blue tick ,Elon musk anatuona kama wazamiaji...
Suomi
0
0
6
43
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Upendo huja kwa namna nyingi lakini Daima hutoka moyoni...
Indonesia
0
1
15
138
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Mwanamke anayegawa namba hovyo,ni ngumu sana kuwakataa wanaume!
Filipino
0
1
14
211
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Chuki ni upendo,ulio left group.💔
Polski
0
0
2
37
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Mtoto wa Jirani ni wako,Ila mke wa Jirani ni simu..😊 Kivipi sasa
Indonesia
0
0
11
210
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Kwanini vijana waliokomea Darasa la saba wamefanikiwa sana???
Filipino
2
2
23
727
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Nimetoka kanisani,nikapunguze makali ya mahubiri kwa vi bia hata viwili....🙂‍↔️
Indonesia
0
0
9
118
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Mwanamke ambaye hamuheshimu baba yake chanzo huwa ni mama yake..
Indonesia
0
0
2
50
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Elon musk ameivuruga hii app mpaka inaboa🚮
Eesti
0
2
22
539
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Jamani post zangu mnaziona kweli???
1
2
7
62
K A L A M U retuiteado
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Jitahidi usali / kuomba kabla ya kulala, usiku una mambo mengi mnoo..🙌
Indonesia
7
17
65
863
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Dalili nyingine ya umasikini ni kuzidisha dk1..
Indonesia
0
2
13
424
Jacksonsamwel
Jacksonsamwel@here_isjackson·
@logic_himself Sio hvyo tu pia hakikisha una wana ata wa 5 hvi ambao unaweza kuwa kopa au kuwaomba laki au milioni 2 na wakakupa bila shida
Indonesia
1
0
1
10
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Ukifika miaka 30,Hakikisha unakopesheka...
1
1
18
365
K A L A M U
K A L A M U@logic_himself·
Bongo hakuna long-distance relationship nyie ni wahuni tu😀😀
Indonesia
0
3
13
332