Sabitlenmiş Tweet
Jackson Samwel
2K posts

Jackson Samwel
@here_isjackson
Historian, Critical thinker, Judge, Business Associates, reader, Critics morals and writer Always laughing 😂😅
Tanzania Katılım Aralık 2023
10 Takip Edilen64 Takipçiler

@british77boe Ichape huku unaangalia report ya CAG unavyoshaa kod zinavyoiwa ndo unazd kuila huku huku sgr inakwama kufka kwa wakati 🫵🏾😎
Indonesia

Pale msingi Tulikua tunarudi nyumbani sa sita kula ndio turudi tena shuleni, Nakumbuka siku tumetoka sa sita tumeambiwa turudi sa saba, nafika nyumbani nakuta Mama wameenda shambani wameacha kibarua uende ukavune vikuni uje upike ugali ule wakwako mwingine utuletee shambani, nkawaza natakiwa nirudi sa saba shuleni,aliyeniona porini Nlinyokua nalia sana kwa uchungu huku navunja tukuni nikakoroge dona alijua naenda kujitundika labda💔🙌
Indonesia

@kasesco_tz Huwa nasema "we mpumbafu, we mbwa, unasemaje, ropoka, kwanini unanipigia sm,changamka kuongea ama nikate sm"
Indonesia

@kibaha_finest Mwanaume unatembea mfukoni na elf 4!
Mwanaume unakula chakula sa 6 sa 8 umemaliza kweli?!
Filipino

@kibaha_finest Hvi hyo n fridge ndo imewekewa Viatu au sioni vizuri
Indonesia

Vijana mnakwama wapi ma gharama yote hayo ya Nini?
Chakula na Maji
Umeme
Mavazi
Bas hvyo vingine weka kule
Bony 📚@bonifacejoseph_
My Bills per month Kodi - 80K Umeme - 25K Maji - Bure Usafiri - 150K Wi-fi - 70K Azam TV - 28K Chakula - 300K Mpenzi & wazazi - 100K. Jumla - 753,000/= 🥲
हिन्दी

Mchana huu MABONGE yakienda kula migahawa ya mtaani.
Linagiza ugali mbili na ka nusu.
Mboga tano yanachanganya kwenye bakuli moja.
Soda au juice ni lazima.
Maji hayanunui ni yale yale ya pale kwa mama ntilie.
Kama kawaida ma sauti mdomoni wakati linakula.
Mnduku nje nje.
Likishiba ni kulala na kujijambia kimya kimya.
Hapo kati kabla ya lunch lishakula karanga za kuchemsha au miwa.
Mabonge yanakera.
Indonesia

Ladies Ten common Redflag
i. Kuomba pesa hovyo.
ii. Kuwa busy na simu unapokuwa nae.
iii. Uvivu, urafi, uzembe na uchafu.
iv. Outings, Clubing na Fashions.
v. Kuwa desperate na mitandao.
vi. Ujuaji mwingi.
vii. Kukosa aibu.
viii. Kuvaa na kuacha maungo wazi.
ix. Tatoo na kujitoboa mapua, kitovu na sikio zaidi ya mara moja.
x. Kumtaja sana Mama katika kila kitu.















