Mpemba

15.5K posts

Mpemba banner
Mpemba

Mpemba

@pemb_a

.....

Dar Salane Se unió Haziran 2017
368 Siguiendo914 Seguidores
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Mkuu nitakutajia viwanda 5 vya haraka haraka katika hiyo hiyo scope. Karibu. 1. Kiwanda cha kuzalisha vioo cha Saphire, Pwani. Uwezo wa Ajira za Moja kwa Moja kati ya 1600-2000 ( viwanda.go.tz/news/tanzania-…)-Uzinduzi, Sept, 2023. 2. Kiwanda cha kuzalisha Sukari cha Mkulazi, Morogoro. Kinatoa ajira za moja kwa moja 5000+ (nukta.co.tz/rais-samia-azi…). Uzinduzi, August 7, 2024. 3. Kiwanda cha kuzalisha Mbolea cha ITRACOM, Dodoma (mzalendo.co.tz/2025/06/28/rai…) Ajira 1800-3000. Muda wa kuzinduliwa ni June, 2025. 4. Tan Sol, kiwanda kikubwa kabisa Africa cha kuzalisha umeme wa nishati jua, kimezinduliwa Dec 10, 2025. More than 3000 direct Job ( youtu.be/7oEa1JP2po0?si…) 5. Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu kilizinduliwa Juni 17, 2025. (habarileo.co.tz/rais-samia-azi…) Hivi ni vile ambavyo ni vya haraka haraka tu na vina cover 10% ya request yako. Karibu.
YouTube video
YouTube
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz

Swali: Tunaweza kusaidiana kuorodhesha angalau viwanda 50 tu Tanzania vyenye uwezo wa kuajiri angalau watu 2,000 moja kwa moja kila kimoja vilivyoanzishwa kati ya mwaka 2021-2026?🙏🏿🤔 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15. 16. 17. 18. 19. 50. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

Indonesia
6
14
30
5.2K
Mpemba
Mpemba@pemb_a·
@Mrmpigi @Mwitah_tz Am just a living victim.... Only 2% go to intended but the rest hamna kitu
English
1
0
0
8
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Sasa leo lipo jambo limefanyika pale JNICC ila kwa sababu most of our attention huwa ipo katika angle ya siasa pekee basi kuna vitu huwa hatuzingatii. Niskiize kidogo hapa. 1. Rais wa Tanzania emekabidhi leo hundi ya TZS 94.1 Billion kwa OPM-TAMISEMI kwa ajili ya mikopo ya Wanawake na Vijana ambayo imeenda sambamba na makubaliano ya ushirikiano ya uwezeshaji wa hii mikopo kupitia CRDB/CRDB Foundation na Program yao ya IMBEJU! 2. Maana ya Mh Rais kuweka hii mikopo kwa CRDB na TAMISEMI ni kwamba hii Wizara ya TAMISEMI chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, hawa ndio wanamiliki local gvt, na huko ndio kuna watu haswaa na hawa watu wanahitaji some financial push ILA ili kuwe na sustainability katika hizi mikopo ni lazima zipitie Banking Channels maana Banks ndo wataalamu wa KYCs. 3. Infact, CRDB pia wanakopesha aina hii ya mikopo kwa watu kama Mama Lishe ambayo huingia katika kundi la mikopo yao chechefu NPLs kwa kupitia madawati ya Local Govenments (Maafisa Maendeleo) ili walau kila kijana au mMama awe na access ya mikopo yenye masharti nafuu sana. Walau NIDA & Business Plan pekee vitoshe kumpa loan, na pia kama mkakati wao wa muda mrefu wa kirasmisha biashara za kitaa. Now, fursa hapa ni nini ? Niskiize. 1. Mikopo iko bankly streamlined. Nyooka tu upate hii mikopo na ukuze biashara zako au wazo lako. 2. Sera zetu za kifedha na kiuchumi zimeanza sasa ku operate katika pure fiscal context yetu ( uhalisia wetu wa kiuchumi). Wewe ni machinga, kopa usipolipa utafikiwa kwa taratibu za NIDA/Serikali ya Mtaa na utalipa TU! 3. Mikopo isiyo masharti meeengi ndio uhalisia wa uchumi wetu na lazima tuishi nao. Na katika hili, this regime will go down to history kama one of the best! Asante.
Mwita C. Mwita tweet media
Filipino
22
22
65
17.2K
Mpemba
Mpemba@pemb_a·
@TitoMagoti Why msitengeneze documentary na kuiweka kwenyr ads iwe na reach zaidi
Indonesia
0
0
0
25
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
FACTS: 1) Samia ameuwa maelfu ya Watu akijilazimisha kuwa rais. 2) Samia ameteka, tesa na kupoteza Watu akijilazimisha kuwa rais. 3) Samia amewadhalilisha kingono maelfu ya Watu akijilazimisha kuwa rais. Mtu mwenye wasifu wa uhalifu kama huo👆🏻hasafishiki. Stahiki yake ni jela
Indonesia
13
198
784
10.6K
Mpemba retuiteado
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
Wauaji wa @SuluhuSamia halafu unaunda tume ikusafishe ww ni muaji
Eesti
28
194
650
22.6K
Mpemba retuiteado
Taifa kwanzatz
Taifa kwanzatz@mchina_jr94958·
Bibi katema shule kubwa sana Hii inaleta picha kua Watanzania wanauelewa mkubwa sana na yanayoendelea sio wajinga kama wanavyotuchukulia #tutaelewanatuh
Eesti
25
131
779
35.7K
Mpemba retuiteado
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Tanzanian man drew a train attendant while in transit. He's so talented 🙌🏿😍
English
42
534
4.1K
87.3K
Mpemba retuiteado
Vicensia Shule
Vicensia Shule@vicensiashule·
Ndugu @tanpol mmeona @ChademaTZ2 wanafanya sherehe na kupika kwenye ofisi zao? Msijifanye hamuoni, nendeni mkale, njaa zisiwaue
Indonesia
49
113
893
22.4K
Mpemba retuiteado
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Nchini Malawi kuna Mahakama ya Mafisadi sidhani kama imeshawahi kumfunga hata mtuhumiwa mmoja Ila ukija kwa watuhimiwa wa Kesi za Kuku wako wengi hadi wanataka kujengewa Jela kila Wilaya 😆
Indonesia
11
31
264
4.4K
Mpemba retuiteado
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Watangazaji wawili wa Radio Kyela FM, Tumsifu Nsangalufu Katina na Emmy Eliud Haisule, wamekamatwa na jeshi la Polisi wilayani Kyela, na usiku huu wanasafirishwa kuelekea Mbeya mjini. Kukamatwa kwao kunahusishwa na kusoma taarifa iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi yenye kichwa cha habari "AFANDE WA MWIGULU ATOWEKA"
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
31
152
789
34.6K
Mpemba
Mpemba@pemb_a·
@AbroadTanzania Wakianza kuuza umeme tanesco hapo tutajua ni hujuma moja kwa moja kabisa
Indonesia
0
0
0
57
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz, imeingia makubaliano ya kununua sehemu ya hisa katika biashara ya gesi ya Orca Energy Group Inc. nchini Tanzania, hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria katika sekta ya nishati. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Aprili 13, 2026, Taifa Gas itanunua asilimia 49 ya hisa za kampuni ya PAE PanAfrican Energy Corporation (PAEM), huku kampuni ya Amber Energy Investment L.L.C-FZ ikichukua asilimia 51 iliyobaki. HIII NI MIPANGO YA KUHUJUMI TAIFA
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
5
15
170
18.9K
Mpemba
Mpemba@pemb_a·
@JamiiForums Dooooh Bunge la.kisenge kabisa hili sijawahi kuona
Indonesia
0
0
0
8
Mpemba
Mpemba@pemb_a·
@MwanzoTvPlus Nchi haina uwezo wa kushughulikia maswala makibwa kama hayo viongozi waliokuwepo wote hawana uwezo
Indonesia
0
0
5
439
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
PROF. JUMA:TUME ILIWATEMBELEA WAHANGA WA MATUKIO YA OKTOBA 29, NA WALIWASILISHA USHAHIDI WA VIAPO Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Oktoba 29, 2025 imetembelea wahanga wa matukio hayo, ambapo wote wamewasilisha ushahidi wa viapo. Kadhalika Prof Juma amesema: “Kuwa na Tume ni nchi inaonyesha kwamba tuna uwezo wa kushughulikia masuala makubwa kama hayo na kwamba tutafanya kazi zetu kwa uwazi zaidi kwamba tuna taasisi zinaweza kufanya hizo kazi na taarifa yetu vilevile inatakiwa ikidhi hayo matarajio kwa hiyo taswira kubwa ambayo naiona hapa ni namna gani tunaiambia dunia kwamba tuna uwezo wa kushughulikia changamoto zetu na kuzipatia ufumbuzi” amesema Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
21
8
55
12.3K
Vamos
Vamos@MuuhDreezy·
@kirigitim Mombasa to DSM parefu sana hapa kuna geti kama 4 hiv mkoani Tanga kote imevuka imefika DSM mamwela ndio washtukie..??? Uongo
Filipino
3
1
37
5.9K
Abuu Yasir
Abuu Yasir@habibu_mzimba·
@bajabiri It is owned by Taifa Gas Tanzania Limited~ROSTAM AZIZ 41% and Amber Energy Investment L.L.C-FZ 51%.
English
2
1
1
336
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Hatimaye Mzalendo Rostam ainunua project ya Gas ya #SongoSongo. Hizi ni habari njema kwa WATANZANIA.....
Hormuz™️ tweet media
Indonesia
18
16
272
13.7K
Mpemba retuiteado
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Nduli Idd Amin Mama katuma wasiojulikana nchini Kenya ili wawateke na kuwapoteza Waandishi wa Habari wa @radio47__kenya kisa wanamkosoa.
Indonesia
6
87
443
16.4K
Mpemba
Mpemba@pemb_a·
@RKishaija81715 @lordmoremi Weka blame kwa Ewura in which wali weka price juu ghafla tu na kuvuruga kila kitu regardless cost and others.... serikali ilitakiwa isipandishe mafuta bei simply hivyo mtaandika sana sanaa ila serikali ilitakiwa isipandishe mafuta bei
Filipino
0
0
0
23
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
@lordmoremi Unajua tunaweza acknowledge bei kupanda kwa replacement cost kama a principle ambayo dunia nzima inakubali. Na pia tukakubaliana hatua za chukua bei iwe moderate Sasa usipokubali hilo la kwanza hizo hatua unataka zishushe bei ya kitu gani?
Indonesia
1
1
2
201
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
As much as you are a great leader you are so close to being a Populist. Ni kama unaandika kuenrage wananchi rather than kudirect. Kusema tutumie historical prices kwa uwezo wako unafahamu ni haiwezekani. Ila nakubaliana na hatua ulizo suggest bei iliyopanda ili iwe managed
John Heche@HecheJohn

Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano. Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu. BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki . Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels. 1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar? 2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini. Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu? 3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei? 4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu. 5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje? Sisi tunasema: 1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini. 2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi. 3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini. Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda.. Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.

Filipino
7
2
10
1.9K
Mpemba retuiteado
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Imagine Akili Kubwa Kama hii ipi Gerezani, Inauma sana
Filipino
4
27
113
2.3K
Mpemba retuiteado
Masaki
Masaki@selemasaki·
Moja ya video inayosambaa kwa Kasi zaidi katika mitandao ya Kijamii ikimuonesha Baba mmoja akijaribu kutoa somo la umuhimu wa kuwa na Siri katika maisha Yako.
Filipino
10
157
597
28.2K