The Rustick
4.5K posts


Kama ni PL only basi goat wangu hapa itabidi anyanyuke japo najua kuna watu hawatanielewa.
Abochie (Fan) 🧘🏽♂️@_abochie
Without being bais, who should stand for Mohamed Salah to sit?
Indonesia

@GilbertPaul095 Wale wa mchujo jezi zao zimeandikwa GSM Foundation, huyu ni mmoja kati ya wale wa kulipia.

@mentor209 Yani Kristo anakuwaje Mkristo ilihali yeye ndiye Kristo!? Watu wengine bhana. Sinagogi ni nyumba ya Ibada ya Wayahudi. Hekalu ni chuo cha Torati. Hayo ndiyo majengo mawili ya kiimani aliyoingia Yesu. Halafu, kama Yesu angekuja leo, angeingia msikitini na popote penye dhambi.
Indonesia

@kidogosana @Mkanaani_ Oya, mbona unataka kunichekesha. Umeelewa ulichosema ?
Filipino

@rustickjm @Mkanaani_ kadanganya ila maana sahihi ni hii,..... nahisi shida sio anae tafsili shida ni kitabu kimeluhusu kilamtu atafsili anavyotaka yeye ili mladi awe na roho mtakatifu. So asilaumiwe mtu huwenda Kila anaetafsili ndo roho mtakatifu kamuongoza hivyo.,,
Indonesia

Kwenye Kitabu cha nabii Hosea, Mungu alimwambia Hosea akaoe mwanamke kahaba akazaa nae watoto watatu na kati yao mmoja hakuwa wake yaani alizaa nje ya ndoa ! Mbaya zaidi mwanamke akasepa kwenda kula maisha.
Mungu akamwambia Hosea amsamehe mkewe na mrudishe maana yeye ni mke wake.
Mungu anataka tujifunza nini hapa, Mungu anataka tujue yale maumivu anayopata mwanaume/mwanamke akigongewa au mkewe kuzaa au mume kuzaa nje ya ndoa ndivyo maumivu Mungu anapata sisi tunapo mwacha na kuipenda Dunia.
Ulikuwa ujumbe wa Mungu juu ya Taifa la Israeli hata sisi leo.

Indonesia

@kidogosana @Mkanaani_ Yes. Yesu wakati anajiandaa kufanya hiduma yake, alifunga siku 40, shetani akamjaribu kupitia maandiko "..... maana imeandikwa atatuma malaika wake....." Yesu akamjibu akamwambia, "Usimjaribu BWANA Mungu wako"
Kumbe hata shetani hutumia maandiko.
Indonesia

@rustickjm @Mkanaani_ Hapa unamaanisha kuwa kama utatafsili unavyotaka wewe bas hilo ni kosa lako si ndio???
Filipino

@kilepi_tweve Support your argument with some data, mfano kadi za njano/nyekundu, fouls committed/game, adhabu zingine kutoka mamlaka eg kamati ya "saa 72" nk.
Filipino

@kidogosana @Mkanaani_ Yesu wakati anaanza huduma yake alisema "nimetumwa kuwatangazia habari njema..."
Kwahiyo, kile kisu kilichoko jikoni mwako, ukikitumia kumchoma mkeo badala ya kukatia mboga, hilo siyo kosa la kisu, ni kosa lako.
Filipino

@kidogosana @Mkanaani_ 1. Ishara zitaambatana nao waaminio
2. Mkamate sn elimu, usimuache aende zake
3. Watu wangu wanaangamia kwa kosa maarifa.
4. Nao watasema, tulitoa pepo kwa jina lako, atawajibu "Siwatambui nyie"
Hizi ni baadhi tu ya tahadhari ambazo Biblia imetoa
Indonesia

@sukununu01 Kwann mnamdhihaki mtu anayehitaji msaada. Mnafahamu watu hawa wana matatizo makubwa kifkra na kiakili.
Indonesia

@kidogosana @Mkanaani_ Well, nafikiri kuna point imekupita. Biblia harafasiriwi kwa akili na ufahamu wa kibinadamu, bali kwa ufunuo wa Roho Mtakatifu. Biblia inatafasiriwa kulingana na Mungu anataka kusema nini na watu wake wakati huo. Ukileta akili zako ni wewe, siyo Biblia.
Filipino

@rustickjm @Mkanaani_ Hapa mnakose tena sana tu au mnaitumia hii njia vibaya, wengi wenu mnatafsili kwa matakwa yenu ,fikilia binadam tuna akili tofauti wapo wenye uelewa wa juu kati n chini, Sasa wote watoe tafsili wanazo taka wao, kweli??? Kwmfano👉 Utakuta andiko linasema usizini, anakuja huyu ..👇
Indonesia

@kidogosana @Mkanaani_ Na huo ndiyo ukamilifu wa Biblia. Biblia imesema kila kitu katika mazingira yote. Neno moja ktk Biblia lina maana elfu kulingana mazingira na ufunuo. Hata Yesu Kristo amefundisha kwa njia hizo, mf. habari ya mpanzi, shamba la mizaituni.
Filipino

@Mkanaani_ Hapa ndo mnapokosea kila mtu anatafsili anavyotaka yeye, nakuhakikishia andiko hilohilo ukiwaita wachungaji 10 wawili tu ndo watafanana kutafsili
Indonesia
The Rustick retuiteado

@EsirEid Sawa. Lakini imeandikwa "in Japan" , hakuna neno Japanese.
Filipino

#TajiriLaKihaya
“Hakuna Mjapana au Mchina muislamu”
😂😅😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Universal News@universalnewsx
🔴 Eid prayer was held five times at Tokyo Camii in Japan due to high attendance.
Indonesia

















