
Albite
5.8K posts

Albite
@Albite13
There is no security without privacy, and no privacy without security.















Hakuna bank ina makato nafuu kama KCB, makato yake ni karibu nusu ya mnachokatwa uko🤞🏿

These next two years will be crazy 🔥








TTCL na POSTA wanahitaji reset kabisa. Zimejaa wafanyakazi waliokaa muda mrefu kupita kiasi, hawana fikra za dunia ya sasa. TTCL imeshindwa hata internet. POSTA imeshindwa logistics wakati dunia yote posta zimebadilika. Bila damu changa, mawazo mapya na mifumo ya kisasa, hizi taasisi zitabaki kuwa mzigo. Reset mpaka walinzi.


Niliamini HISENSE ndio TV bora sana kuliko TCL na kuona kama wanaomiliki TCL wageni wa mji. Baada ya muda sasa namiliki TCL na mimi najiona nilichelewa sana na kuwaona wanaonunua HISENSE miaka hii ya karibuni ni malimbukeni wa brand. TCL TV mwisho wa matatizo.🙌













