
Huko dm warembo ni wengi wakubwaa hadi naogopa, 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Mpaka nachoka mimi
#TOTTechs
46K posts

@TOTTechs
Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || Computers || Phones | Softwares || ICT Hardwares and Networking || ICT Security || IoT || AI and Robotics

Huko dm warembo ni wengi wakubwaa hadi naogopa, 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Mpaka nachoka mimi


Millennial wali download music kutumia "waptrick,wapdam,Tubidy"


Gen Z wanasema Millennials tulilipia pesa kufundishwa computer na kufunguliwa emails, ni kama wao wanalipia pesa kufundishwa Forex, AI Prompt na "How to make money online" huko mbele Gen Alpha watawashangaa walilipaje. kipindi hicho kuna Quantum computing, AGI, Assistance Robot.


Millenial ndio walikuwa wanaita touch screen badala ya Smartphone😂😂😂

Millennials wakiona videos za paka anaongea wanadhani ni kweli, mpaka tuje tuwaambie ni Ai 😂😂🙆♂️


Hili suala la FBI kuwa na ofisi kwa majirani pale KENYA limekaaje? Kuna vijana wenye michezo ya scamming watapotea mtaani.

What department is this? 😂

Imeshindikana kabisa Bongo kuwa na online rental platform badala ya madalali?

Mnatumia router za specific mtandao au universal routers huko wakuu? And nani anauza? Packages zikoje?
