FREE NINJA🇵🇸@allymohamed

140.6K posts

FREE NINJA🇵🇸@allymohamed banner
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed

FREE NINJA🇵🇸@allymohamed

@KINGLUDA18

|Football Enthusiast|Man United,Real Madrid| |Suratul Baqarah 2:153| |MINESO PROMOTION C.E.O| |UDSM ALUMNI|

Inscrit le Temmuz 2020
1.2K Abonnements2.9K Abonnés
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed retweeté
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Wakuu tusiache kupiga kelele hadi mwenzetu hapatikani, leo utaona haikuhusu ukanyamaza iko siku watafika dirishani kwako, tunahitaji kelele ya kila mmoja wetu mwenetu arudi uraiani #FreeNinja
Indonesia
1
85
105
1.6K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed retweeté
Msambinungwa😍😂
Msambinungwa😍😂@AnthonyEme27082·
Wapendwa leo tumeenda kumtembelea mama yake na ndugu yetu #Ninja hali yake kama mnavyojua haiwezi kuwa nzuri sana,hivyo basi kulingana na maelezo yake toka wamchukue hadi sasa hawajui alipelekwa wapi, kwaiyo tunaomba kwa yeyote atakaewiwa kwenda kumtafuta ndugu yetu kesho..
Indonesia
4
104
249
8.8K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed retweeté
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
#FreeNinja Mpaka mwanangu urejee home ✊
#FreeNinja tweet media
Indonesia
2
119
189
1.9K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed retweeté
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Kwa nini tusiache hashtag ya #FreeNinja? 1.​Inalinda usalama wa mhanga kwa kuweka macho ya dunia kwake. ​2.Inazuia tukio kusahaulika au kuzimwa. 3.​Inatuma ujumbe kuwa umma unajua na unafuatilia. Paza sauti, usinyamaze #FREENINJA
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
6
182
281
4K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed
Humu ndani tunaishi na watu wa hatari sana na tunacheka nao kwenye tweet kila siku sema nn hata nyie hamtaishi milele👍🏾
Indonesia
5
36
95
1.8K
Dume O'Reilly 🩵
Dume O'Reilly 🩵@Dume_Jeuri__·
Kila nikiingia humu nikiona picha ya jamaa yetu hapa hata nguvu ya kubaki humu inaisha kabisa Maumivu ni makali sana Kibaya hatujui jamaa yuko na hali gani uko aliko Inaumiza sana aisee 💔💔 MUNGU AKULINDE JAMAA WAKURUDISHE UKIWA MZIMA KABISA #Freeninja #Freeninja
Dume O'Reilly 🩵 tweet media
Indonesia
2
26
37
652
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed retweeté
KIDAWA
KIDAWA@Sallamasally_·
My sis just told me coz she has a shop near Ninja place ni kapiga kelele sana tu hawa watu me siwajui na hapo Google park kunajaa watu 24/7 ila nobody even bother aise watu hatuna utu. #FreeNinja
Indonesia
6
44
121
7.5K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed retweeté
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!! Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!! SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !! Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Indonesia
3
195
537
14.7K