ATICK

9.2K posts

ATICK banner
ATICK

ATICK

@Iam_Atick

Katılım Mart 2022
683 Takip Edilen411 Takipçiler
ATICK retweetledi
Dume O'Reilly 🩵
Dume O'Reilly 🩵@Dume_Jeuri__·
Kila nikiingia humu nikiona picha ya jamaa yetu hapa hata nguvu ya kubaki humu inaisha kabisa Maumivu ni makali sana Kibaya hatujui jamaa yuko na hali gani uko aliko Inaumiza sana aisee 💔💔 MUNGU AKULINDE JAMAA WAKURUDISHE UKIWA MZIMA KABISA #Freeninja #Freeninja
Dume O'Reilly 🩵 tweet media
Indonesia
2
22
29
541
ATICK
ATICK@Iam_Atick·
@mbeyud24 Oyaa nini kimefutwa hapo?
Filipino
1
0
1
166
Dick Zola ✌🏾
Dick Zola ✌🏾@mbeyud24·
Tukiwaambia muache kupush reli za kisenge muwa mnaelewa si mnaona watu wanavyoumia nyie wangese njaa zenu zinawafanya watu wengine wanaumia bila hatia
Indonesia
1
13
30
1.5K
ATICK
ATICK@Iam_Atick·
@eralera0123 @influencerjr Kama unamiliki NIDA/PASSPORT,CARD ya benki,Line za simu,Smartphone unadhani jamaa wakikutaka watakukosa kaka?? Hakuna aliyekuwa salama kaka💔💔
Indonesia
1
0
2
22
WHYMYCATISSAD?
WHYMYCATISSAD?@influencerjrr·
Kuwa makini na watu ambao unawatoa twitter na kuwapeleka WhatsApp.
Filipino
51
88
451
18.7K
ATICK retweetledi
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Ukitaka Kujua Haya Majitu Sio Mazuri Na Hatupaswi Kucheka Nayo Sisi Tunauliza Mwenzetu Yuko Wapi Mengine Yameshaanza Kutoa Hateful Comments.Nyie Endeleeni KujiAssociate Nayo Mkijua Mko Salama. Hamna U Special Wowote ✌🏾
Indonesia
6
33
94
2.6K
AFC_Adi
AFC_Adi@AFC_Adi06·
saliba yesterday (reupload)
English
2
40
374
4.4K
★
@sivvlp·
Saliba 😮‍💨
GIF
Filipino
38
740
5.9K
127K
ATICK retweetledi
Abdullahi
Abdullahi@Abdull_tjay·
Saliba has to be player of the season. I hate the way we’ve normalised his performances.
English
11
228
1.8K
19.6K
ATICK retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Moyo wangu unauma sana toka jana baada ya kupokea taarifa za kutekwa kwa ndugu yangu DAMOUR siku ya jana nyumbani kwao MBURAHATI!! Bado hatujui wamekupeleka wapi na unapitia situation gani wakati huu!! Haya matukio yanaumiza mno familia zetu, na kutuachia machungu yanayojenga hofu na chuki dhidi ya mamlaka zinazohusika na ulinzi wa raia na mali zake!! Haya mambo yanaweza yasikuguse sana kama muhusika hatoki kwenye familia yako, until limkute mtu wa circle yako! Na haipaswi kuwa hivyo! (Selfishness) Imagine unavamiwa na kutekwa na watu 7 wenye silaha unapigwa pingu mbele ya mama yako mzazi, na anakua hajui umepelekwa wapi kila kituo cha polisi wanasema hawana taarifa zako!! Mzazi anabaki na trauma ya milele…..Sad😌 Bado nitaendelea kupaza sauti yangu kukemea Utekaji/Ukamataji holela. #BRING_DAMOUR_BACK_ALIVE. #FREE_NINJA Nakuombea sana urejee nyumbani salama mdogo wangu, Damu ya Yesu kristo ikakufunike na kukulinda huko uliko!!❤️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Indonesia
31
316
847
15.5K
Mwanaharakati
Mwanaharakati@MfiaNchi255·
Hii ni true story! Kuna mwana mmoja mitaa ya Chanika waliuza nyumba alafu kwenye mgao akala 30M yake swaafi kabisa. Baada ya mwezi jamaa alibakiwa na million 2 ikabidi anunue pikipiki used apige bodaboda Wakuu pesa ni silaha ila ikifika kwenye mikono ya mtu weak it slips away.
Indonesia
31
37
352
18.1K
ATICK retweetledi
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Mungu akutunze akupe afya njema, pole jaman haieleweki hata umelala katika mazingira gani?? Tuendelee kuretweet, Mungu yuko pamoja nasi. 🥹🙏
MADOPE🌾 tweet media
Indonesia
12
85
169
1.9K
The Touchline | 𝐓
The Touchline | 𝐓@TouchlineX·
📸 - His goal might have been disallowed but nobody can disallow his Aura.
The Touchline | 𝐓 tweet media
English
183
721
12.7K
118.6K
Msambinungwa😍😂
Msambinungwa😍😂@AnthonyEme27082·
Ni usiku wa kwanza tunalala hatujui @Ninja_Damour yupo wapi amekula au hajala hatujui kama amepewa hata maji ya kunywa hatujui hata atajiegesha vipi hata ubavu maskini💔😭😭 Mungu amlinde amjalie uvumilivu amtie nguvu na yote kwa yote aturudishie akiwa salama🤲🤲🙏 #FREENINJA
Indonesia
5
74
153
2.8K