Star Lord🎇

898 posts

Star Lord🎇

Star Lord🎇

@Kinetclops

Dog Handler

Earth 🌍 Inscrit le Ağustos 2023
58 Abonnements65 Abonnés
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@kikotiofficial Kama daktari amedanganya unanenda court unafungua mashitaka ya udanganyifu anafungwa au unapata kifuta jasho kwa uzembe wa daktari
Indonesia
0
0
0
260
KITASA🔑🧥
KITASA🔑🧥@kikotiofficial·
Jamaa kaenda na mkewe mjamzito hospitali, Nilijua mkewe alikuwa anaumwa kumbe jamaa ameenda kujua jinsia ya mtoto, Wamefika huko wamemuuliza ana watoto wangapi kajibu watatu wote wa kiume, Karudi hapa na furaha ameambiwa mtoto aliye tumboni ni wa kike, Najiuliza hivi huyu mwamba anawachukuliaje madaktari yani? Kubaafu huyu😂🤣🙌🏾
Indonesia
6
0
48
5.1K
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@BlackSingapore2 Ushauri tu, nenda google maps katika nchi ya Japan Kuna airport zaidi ya kumi juu ya uso wa bahari sio moja hiyo uliyoona🫂🙏🏼
Indonesia
0
0
0
127
Kante
Kante@MkulimaKante·
Utofauti wa civil engineer na architecture ni nini hasa maana wote wanadili na majengo. Tena hawa architecture wanasoma muda mrefu sana. Na je architecture anaweza kufanya kazi za civil maana wote huku mtaani tunawaita mainjinia.
Filipino
45
25
249
21.9K
Star Lord🎇 retweeté
Netflixx_Nastty
Netflixx_Nastty@Netflixx_Nastyy·
ZXX
0
5
64
1.2K
Beast
Beast@emabilly2001·
Ukikutana na manzi amevaa hivi sio wa kumtongoza anaweza kulisha kuanzia familia yako mpaka na ukoo mzima 😁
Beast tweet media
Suomi
61
34
826
42.7K
Mateo
Mateo@luganomwakimi·
Hii ni mara ya pili nakosa mchongo wa kutatua/kupunguza tatizo la umasikini kwa sababu ya kukosa driving Licence. Nimepishana na salary ya 1.6M, na nimepewa only two weeks kama naweza kuipata niende nikareport. Daah🙌🙌
Filipino
47
37
662
29.9K
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@kasesco_tz Ukibandika maziwa ili yasimwagike weka kijiko ndani ya sufuria au kalishia mwiko juu ya duara hiyo
Indonesia
0
0
0
9
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi hakuna namna nyingine ya kuchemsha maziwa bila kuyasimamia hapo hapo.. 😢🤔.!?
kasesco☆ tweet media
Filipino
81
45
237
19.4K
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@BingwaIK 😂😂😁Unakalili leo vunja ratiba yako yote njoo pale GPSA bandari kona pale kuelekea mivinjeni utaziona
0
0
0
12
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Wewe unasemaje?
~BINGWA⚡ tweet media
Indonesia
37
17
96
7.4K
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@killo_killo11 Ukifika TIA kule nyuma ya liquid bar Kuna mama anaitwa mama master oyaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥ukifika pale a.k.a yangu naitwa mkurya
Indonesia
1
0
0
19
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Pole yenu ambao leo hamkufika chuo.😂🙌
killo_Killotz tweet mediakillo_Killotz tweet media
53
46
524
33.1K
The Kyejo
The Kyejo@OfficialKyejo·
@Therealngassa Mhmm niliwahi jaribu unajaza fomu million moja napo hapo bado kubabeki niliachaga
Indonesia
3
0
4
383
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Hivi process za kujiunga na usalama wa taifa kwa hapa nchini zikoje
Indonesia
34
14
408
32.2K
Am that Guy
Am that Guy@GreatRajii·
@Kinetclops @Therealngassa Mimi nazungumzia kwa ninavo faham wale BMS wote huwa wanakuwa maafisa baada ya kupiga hiyo Bachelor yao, sizungumzii hawa ambae wanatoka vikosin wakiwa either private then usail halafu TMA....
Filipino
1
0
3
39
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
sema wale majanja waliosoma science wakaendaenda jkt wakachaguliwa military science wanakuaga wameula sana
Indonesia
13
23
631
31.6K
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@PrasidiusNovat @Therealngassa Kuna jamaa angu nimesoma nae primary, secondary tukaachana mm nikaenda chuo yeye six pcb baba ake akamfanyia mpango akasomee military science awe doctor mbeleni akagoma "ohhh mm nilitaka tu niwe mwanajeshi mengine sihitaji" now ananipigia simu analiaga kila day yupo airfoce SAK
Filipino
0
0
2
144
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@GreatRajii @Therealngassa Kwenda kusomea Officer cadet ni mpk uchaguliwe na kamanda kwa kikosi mzee tofauti na hapo NI LAZIMA KUZUNGUKA MBUYU
Indonesia
1
0
1
182
Am that Guy
Am that Guy@GreatRajii·
@Kinetclops @Therealngassa Acha kupotosha watu, wote wanaoenda Military Science huwa wanakuwa Commisioned wote na wakimaliza masomo yao wanakuwa Luten Usu
Filipino
2
0
3
331
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@Ugeniaconso Kuna jamaa mtaani kamfungia mkewe ndani mpk leo, mke aliita shoga ake ili athibitishe kuwa hajaolewa ili yule mke wa jamaa akopeshwe million 2. Jamaa nusu awehuke sio kisa kukopa yani alikuwa analia kisa mkewe kakana kuwa hajawahi kuolewa na wkt wali tulikula tena ndoa kanisani
Indonesia
1
0
0
13
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Kama una mke na ana magrupu ya wanawake ya (kukopeshana, mchezo, vikundi vya tuinuane) kwenye cm yake, bro!!😂😂😂😂😂😂😂
Indonesia
25
29
214
9.4K
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@Therealngassa Referees wanahitajika sana mule ndani, kama hauna ndugu wa karibu mwenye hela basi sahau kuvaa zile nyota maisha yako yote jeshini
Eesti
1
0
13
747
Star Lord🎇
Star Lord🎇@Kinetclops·
@Therealngassa Punguza kukalili kaka, walotoka six hlf jkt sio kwamba wanaenda military science direct Ile kitu ni kiwaki sana kwa mana wale dogo wanaingia pale hawan ujuz wwte ninao masela wamepitia kote huko ila wameishia kuwa private tu. KUWA COMMISIONED OFFICER NI PROCESS NDEFU
Filipino
3
0
24
3.7K