Prasidius
578 posts

Prasidius
@PrasidiusNovat
Health Administrator Data processor Qualitative and Quantitative research skills
Tanzania Katılım Ekim 2021
169 Takip Edilen67 Takipçiler

@PrasidiusNovat @Aruatani si wapo kwenye shule ya WAMA-NAKAYAMA
Filipino

@623de4f5f8f048e @IKawahi @INFLUENCERjr Wataalamu wa Afya walifika kufanya kazi kama maofisa Usalama barabarani au kutoa Huduma za Kiafya kwa majeruhi?
Indonesia

@IKawahi @PrasidiusNovat @INFLUENCERjr Mwakajana, ilitokea ajali wilaya ya chemba Dodoma, watu walijeruhiwa na wengine walikufa vibaya sana, Madaktari na wafanyakazi wa hospital ya Halmashauri waliitwa karibia wote, Emergency ikajaa kukawa na shortage ya wahudumu wa Afya,
Halafu katibu wa Afya haoni umuhimu wowote
Indonesia

@RabinBoniface76 @InnoMillic84927 @madeinmusoma Yanayotendeka kwa hii picha ni dhahiri anayafanya huyu mtu🤔
Indonesia

@623de4f5f8f048e @INFLUENCERjr Acha kuongea ujinga
Wewe ni Katibu wa Afya?
Indonesia

@INFLUENCERjr Sasa, Katibu wa Afya katika Halmashauri mfano, ndie anaetengeneza Bajeti na sera za Afya pia, Watu sipojua alama za barabarani watapata au kusababisha ajali, Tayari ni mzigo wa sekta ya Afya indirectly, kwanini usijibu maswali ukatulia?
Indonesia

@Hunaiya153989 Hii kazi lazima aipate tena bila kipingamizi ni hatua kubwa ya Ushindi kwa huyu Binti
Indonesia

Jana mdogo wangu alisema anaenda kwenye interview yaani kazi ya supermarket ila HR anaomba mapenzi

BeLINDA@belindaPINDA01
Kupata kazi bila kuombwa chini ni ngumu sana.. Nimechoka😔
Indonesia

@cooler1134180 Nchi hizi zote kiarabu ukiwa na ngoma aka UKIMWI sio sehemu ya kukaa chimba fasta hivyo vitu hawa entertaining kabisa
Indonesia

Kwenye fikra za huyu bwana, pamoja na udokta wake, Waislam Billion 2 duniani, Wahindu Bilion 1.2, Wachina na wengine wote wenye imani tofauti na Ukristo ambao ni zaidi ya billion 6, wote hawatambuliwi na Mungu.
Strangely, wanaotambuliwa ni Wakristo tu!
Natamani kumuuliza, WAKRISTO WAPI HASWA??🤔
Wakatoliki, Walutheri, Methodist, Wasabato, Waanglikana, Wapentekoste, au wapi haswa???🤔🤔

Indonesia

@Kinetclops @Therealngassa Uko sahihi kabisa, Mimi ni muhanga katika hili🤔🤔
Filipino

@Therealngassa Punguza kukalili kaka, walotoka six hlf jkt sio kwamba wanaenda military science direct Ile kitu ni kiwaki sana kwa mana wale dogo wanaingia pale hawan ujuz wwte ninao masela wamepitia kote huko ila wameishia kuwa private tu. KUWA COMMISIONED OFFICER NI PROCESS NDEFU
Filipino

#TajiriLaKihaya
Iran imefika Islamabad na timu inayoonekana kama ya mkutano wa kitaaluma… watu wanne wenye shahada za uzamivu (PhD), uzoefu wa miongo kadhaa katika diplomasia, na vyeti kutoka vyuo vikuu bora.
Marekani imeleta mfanyabiashara wa mali isiyohamishika, mkwe wa Trump, mwanasheria na jenerali wa jeshi…
Inaonyesha tofauti ya mtazamo katika namna ya kushughulikia mambo, haha.
Indonesia

@mTusiOriginal Bora waliletwa Africa tena ya mashariki kama wangejikuta kwa mbele ingekua tabu, maana ua wanajikuta so special😃
Indonesia

@PrasidiusNovat @spana_Konki Kila forexer anajiita Sir😭😭😭😂
Filipino

@emabilly2001 Mbn huna confidentiality na kazi yako hapa unamtangazia nan ajue unafanya kazi dp mkubwa
Filipino

@cristensen_ @giboretz Nenda hapo mkuu ukipata mama ya kinamibia unapata uraia moja kwa moja hakuna maswali
Indonesia

Tafuta hiki Kitabu pia Kisome-
Codex Gigas- The devils Bible.
Kinaaminika Kiliandikwa na Shetani Kupitia Monks hand.

I AM@francismtey
Shetani ni kama Alinyimwa haki yake ya kutoa Maoni/Dukuduku? Tunaambiwa tu Story za Upande Mmooja. kwanini lakini...
Filipino

Hii imetokea Keko Usiku Huu Uzuri Jeshi Letu La Police Limefika Kwa Wakati Kuja Kuwachukua Anaehusika Kuiba Nyeti Na Kijana Alieibiwa Nyeti Zake.
Anaehusika Ni Msichana Na Inasemekana alisema awezi kuzirudisha mpaka atakapofika polisi kwaajili ya usalama wake. Ila dawa za kuzirudisha alidai anazo.
Jamani tahadhari muhimu haya mambo yapo achaneni @mangekimambi na wanaharakati ambao kila kitu kwao ni kama ajenda.
Hii imetokea kweli Keko na hapa ni mtaani kwa ndugu yangu (Photogenic Mtoto) Taharuki Ni Kubwa Sana.
Video nyingine Ipo Chini.
Indonesia

















