Modesta Z

156.1K posts

Modesta Z banner
Modesta Z

Modesta Z

@ModestaZ7

Inscrit le Eylül 2020
6.1K Abonnements120.2K Abonnés
Tweet épinglé
Modesta Z
Modesta Z@ModestaZ7·
Sitaki kujua ilikuaje Sitaki kujua ilikua vipi Ninalojua nilikua kipofu Sasa naona Ninaonaaaa🎵 Ninalojua nilikua kiwete Ninatembea Sasa naona ninatembea Yesu ametenda Amenitendea [Sasa ninaona natembea Ametendq kwangu,atakutendea]×2 Amefanyaje sijui Ilikuaje sijui🎶 KKKT-keko
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
2
10
45
1.8K
Modesta Z retweeté
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Ukisikia Wananchi wanasema MAMA HANA DENI ndo kama hivi. Sio machawa wa Bongo, Idd Amin Mama ananuka madeni kila kona, mfumo wa bei, maisha magumu, shule hazina walimu, Hospitalini hakuna Dawa, hakuna miundombinu matatizo lukuki halafu unakuta machawa wanasema “Idd Amin Mama hana deni” nyambafuuuu
Hilda Newton tweet media
Filipino
10
64
368
10.9K
Modesta Z
Modesta Z@ModestaZ7·
Usiku wa pili bila taarifa ya kupatikana kwa mtanzania mwenzetu. Hali hii inaumiza wazazi,ndugu na marafiki. Utekaji utaisha lini? #FreeNinjaDamour
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
1
3
85
Modesta Z retweeté
Msambinungwa😍😂
Msambinungwa😍😂@AnthonyEme27082·
Wapendwa leo tumeenda kumtembelea mama yake na ndugu yetu #Ninja hali yake kama mnavyojua haiwezi kuwa nzuri sana,hivyo basi kulingana na maelezo yake toka wamchukue hadi sasa hawajui alipelekwa wapi, kwaiyo tunaomba kwa yeyote atakaewiwa kwenda kumtafuta ndugu yetu kesho..
Indonesia
1
66
120
3.3K
M.B.G
M.B.G@_kingOFstreet·
@ModestaZ7 Wajanja Janja sana hao
Indonesia
1
0
0
136
M.B.G
M.B.G@_kingOFstreet·
Kama ni mtu wa kwenda minadani nahic ushawah kutana na Hawa lusha nguo si ndio eeh😌😌 Sasa kuna wale wanao lushaga mabeg, vitengee na baadhi ya nguo utakuta beg la elf 30 anadai anakuuzia kwa elf kumi hiv hizii bidhaa ushawah nunua? Na je Yale mabeg yanakuwaga imara kwel? Mimi mwenzenu mgumu sanaa kuamin vituu na Huwa sosogei kbasa
M.B.G tweet media
Filipino
13
5
49
5.8K
Modesta Z retweeté
Kremlin
Kremlin@therealsemsii·
@tanpol KAZI YENU SIO KULINDA RAIA TENA SIO?
Indonesia
1
4
22
947
Modesta Z retweeté
WeAreAllNinja- Free Ninja
WeAreAllNinja- Free Ninja@thenameis_Andro·
Unajua kwanini nchi kama Kenya hamna watu kama Mange Kimambi?? Sababu watu (kila mtu) wana uhuru wa kuongea na kukosoa Serikali yao hadharani, mta lalamikia wanaHarakati ila ukweli unabakia kwamba ni MMEWATENGENEZA WENYEWE.. #FreeNinja
Indonesia
1
12
37
833
Modesta Z retweeté
KIDAWA
KIDAWA@Sallamasally_·
My sis just told me coz she has a shop near Ninja place ni kapiga kelele sana tu hawa watu me siwajui na hapo Google park kunajaa watu 24/7 ila nobody even bother aise watu hatuna utu. #FreeNinja
Indonesia
6
35
103
5.8K
AKON
AKON@robertmgulunde1·
Bwana harusi💪🏿🔥
AKON tweet media
Indonesia
9
5
35
1.9K
Modesta Z retweeté
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
SOUTH AFRICA KILA MARA WATANZANIA WANAUWAWA. Jana amefariki huyu Jamaa anaitwa JOE ZAMU ni mzaliwa wa Arusha. Huyu jamaa amefariki kwa kuchomwa moto mjinj Cape Town akiwa ndani na mwanamke wake wa kiSouth Africa jamii ya Kaladi. Kaladi ni wale machotara wa ki South Africa ambao wengi wao wamechanganya damu baina ya mtu mweusi na Mzungu, Muhindi au Mwarabu kisha akazaliwa mtoto. Joe pamoja na mwanamke wake wamefariki hapo hapo kiasi cha kushindwa kutambulika yupi ni Yupi, na wamechomwa moto na raia wa South Africa 🇿🇦 Mpaka sasa Jamii ya Watanzania wanaoishi South Africa wanawatafuta ndugu zake na Joe ili wawape utaratibu juu ya ufanyaji DNA ili kuweza kutambua mwili wa Joe Zamu ni upi. Hii si Mara ya Kwanza, Karibu kila Mwezi kuna Raia wa Tanzania anauawa South Africa, Na jamii ya Watanzania waishio South Africa hushirikiana Kwa Kila kitu. Joe ana tambulika kuwa nyumbani kwao ni Arusha kwa maelezo ya marehemu kipindi cha uhai wake. kwa yoyote yule mwenye details za Joe Zamu kuhusu familia yake anaombwa kuwasilisha taarifa kupitia namba hiyo chini. +255763005575 Mohamed Taibalh Hamza Msangi
Polycarp The Bibliophile tweet media
Filipino
27
47
233
21.3K
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Today i said YES to the Love of my life💍👑💎❤️
English
85
33
281
10.2K