Nancy Sumari

4.9K posts

Nancy Sumari banner
Nancy Sumari

Nancy Sumari

@NancySumari

Childrens’ book author|Gets kids coding with @jengahub|Runs @NsfoundationTZ & @Bongofive|Mandela Fellow ‘17, Obama leader ‘19|@Wef Shaper| @UCL alumni

Dar es Salaam Tanzania Inscrit le Nisan 2009
361 Abonnements279.3K Abonnés
Nancy Sumari retweeté
Nancy Sumari retweeté
UNICEF Tanzania
UNICEF Tanzania@UNICEFTanzania·
We’re celebrating #WorldChildrensDay by conquering new heights for child rights💙 In a world threatened by climate change, we took on the highest mountain in #Africa with celebrities @NancySumari & Gaudence Lekule to symbolize our commitment to climate action #ForEveryChild💙
UNICEF Tanzania tweet mediaUNICEF Tanzania tweet mediaUNICEF Tanzania tweet mediaUNICEF Tanzania tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
4
15
58
4.4K
Nancy Sumari retweeté
UNICEF Tanzania
UNICEF Tanzania@UNICEFTanzania·
We’re embarking on a journey like never before🏔️ Together with @NancySumari we’re taking on the highest peak in Africa to deliver one message: The climate crisis is a child’s rights crisis! Let's stand together for a better, sustainable future #ForEveryChild! #WorldChildrensDay
English
2
16
54
5.1K
W.A.N.Y.I.
W.A.N.Y.I.@wanyi_rose·
@NancySumari I miss you posting more on IG, ur fashion style is goals
English
1
0
1
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
Kwako kijana unayetamani kujiendeleza kimasomo,fursa ya scholarship za Chevening zinazotolewa na @ukintanzania ziko wazi kwa ajili yako.Kama mmoja ya vijana waliofanikiwa kusoma kwa kupitia program hii, ninakusihi usiache ku apply.#CheveningScholarship #CheveningAlumni
Nancy Sumari tweet media
Indonesia
9
12
99
0
Nancy Sumari retweeté
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Tunakusogezea kilicho bora kila wakati. Pata vitabu vyenye mengi ya kujifunza kwa watoto wako toka kwa @NancySumari kwa kutembelea inalipa app au bit.ly/tysnbks na kufanya manunuzi sasa. Delivery ni BURE. #inalipaapp
inalipa inc tweet mediainalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
17
0
Nancy Sumari retweeté
Daily News Tanzania
Daily News Tanzania@dailynewstz·
DOWN MEMORY LANE 16TH DECEMBER 2005: MISS World Africa, @NancySumari (left) hugs Salma Kikwete, wife of Presidential candidate @jmkikwete, upon her arrival at Julius Nyerere Internationa Airport in Dar es Salaam. #DailyNewsArchives
Daily News Tanzania tweet media
English
1
3
75
0
Jo-Angeline Kalambo
Jo-Angeline Kalambo@jomwalwega·
Congratulations my lil’sis @NancySumari for this cool achievement. Super proud of you 😍 keep inspiring hawa vijana ❤️ @msisiri umeona hii?
UK in Tanzania@UKinTanzania

Meet the 🇹🇿 #Chevening class of 2021/22! This group will soon be travelling to 🇬🇧 to study one-year master's degrees at universities across the country. 🧑‍🎓 We held a farewell event this week to wish them good luck in the adventure ahead! #BeChevening

English
1
1
2
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
Kipekee nimshukuru sana, mwenyeji wangu, Mhe Wanu Hafidh Ameir MP- Viti Maalum ambaye pia Mwenyekiti @Mwanamkeorg, pia Mama Fatma Mwasa ambaye ni mwenyekiti mtendaji wa @Mwanamkeorg , Rais wa Wanafunzi na waziri wake anayeshughulikia mambo ya wanawake shuleni, na Walimu Wote
Nancy Sumari tweet mediaNancy Sumari tweet mediaNancy Sumari tweet media
Indonesia
1
5
30
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
Nimepata heshima kuweza kuzindua kitabu cha ‘SAMIA’ rasmi kwenye Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi, Zanzibar, aliposoma Mhe. Rais @samia_suluhu_hassan. Ninaamini, kila msichana atakayesoma kitabu hiki, atajiona katika safari ya Mama, na atahamasika kutetea na kutimiza ndoto zake
Nancy Sumari tweet media
Indonesia
2
4
39
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
Asante Sana kila mmoja wenu kwa mapokezi mazuri ya kitabu cha ‘SAMIA’. Nimefarijika sana kwa kuungwa mkono zaidi ya matarajio yangu. Ni kweli kwamba sisi Watanzania ni watu Rahim sana. Kipekee nimshukuru mchoraji wa kitabu hiki @titotrythis, kwa ushirikiano ulioupa maneno uhai.
Nancy Sumari tweet media
Indonesia
6
5
47
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
@AD_Abinallah Hehehe, thank you so much Dada. I do age.. Uzee hauna msamaha 🤣
Filipino
1
0
1
0
AshaDii
AshaDii@AD_Abinallah·
@NancySumari Hongera sana Nancy. Great initiative 👏🏾👏🏾👏🏾 And you don’t age, you look fabulous!
English
1
0
3
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
Kila tukio la historia linapotokea, hatuna budi kulienzi kwa kunakili. Ndio sababu kuu na maana halisi ya kuandika kitabu hiki, kinachoangazia maisha ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Nancy Sumari tweet media
Filipino
58
55
503
0
Nancy Sumari retweeté
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
Timu ya @ElimikaWikiendi tunampongeza mdau wetu katika masuala mtawalia ya elimu, Bi. @NancySumari kwa kutambulisha rasmi kitabu cha watoto chenye maudhui ya kihistoria na masuala mtawalia yaliyotokea katika nchi yetu hususan katika vipindi vya uongozi nchini.
#ElimikaWikiendi tweet media
Indonesia
5
19
112
0
Nancy Sumari
Nancy Sumari@NancySumari·
@KiiyaJK Kaka nakushukuru pia kwa Hamasa kwa kupitia harakato zako. Mungu akubariki Sana
Indonesia
0
0
0
0
Kiiya JK
Kiiya JK@KiiyaJK·
Hongera @NancySumari. Kazi ya #Malezi ni yetu wana-jamii. Nafarijika kuona jitihada hizi za kuweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa maandishi. Namna hii watoto wanaamshwa ari na shauku zao katika kuijenga kesho bora kwao. Bora kuliko hii ya kwetu. Kongole. Nitaijia nakala.
Nancy Sumari@NancySumari

Ninapenda kukitambulisha rasmi kitabu changu cha tatu cha watoto, kilichopewa jina linalobeba umuhimu na maana kubwa sana, jina la ‘SAMIA’. Umuhimu huu unatokana na tukio la nchi yetu kupata Rais wa kwanza Mwanamke, ikiwa ni tukio la kihistoria kwa nchi yetu ya Tanzania.

Indonesia
1
1
9
0