Halima James Mdee

20.5K posts

Halima James Mdee banner
Halima James Mdee

Halima James Mdee

@halimamdee

....................

Dar es Salaam,Tanzania Inscrit le Mayıs 2011
16.1K Abonnements1.2M Abonnés
Tweet épinglé
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Hatimaye LEO NIMEKAMILISHA safari nyingine ya MIAKA 5 ya UTUMISHI, nikiwakilisha JIMBO la KAWE kwenye BUNGE la J/ Muungano wa Tanzania. Asante sana WANANCHI wa KAWE kwa HESHIMA hii KUBWA, ASANTE sana CHADEMA kwa kuniamini, Asanteni sana WATANZANIA wenzangu!! Tunasonga 😍😍✊🏿✊🏿.
Filipino
1.5K
695
12.3K
0
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Naona MMEAMUA kutukimbia TENA WANANCHI 😂😂🥑!
Halima James Mdee tweet media
Indonesia
19
5
351
19.1K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Mhe. NAONA Timu yako pendwa … imeamua KUTUKIMBIA tena !! 😂😂😂! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!
Halima James Mdee tweet media
Indonesia
39
24
701
42.6K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago.. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE 🫆🫆vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! 😄! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA..
Abdulkarim Juma@JumaAbdukarim

@halimamdee Halima kukijenga chawa Kwa nguvu kubwa hakukupi mamlaka ya kusaliti. Hatujawah kuwa na mjadala wenye kupuuza harakati zako katika ujenzi wa Chadema ila usaliti ndio kinachoondoa heshima yako .

Indonesia
75
7
185
30K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Nami napenda iwe hivyo . Tena ndio SAFI. 😂 ! Yaaani HAKUNA hata kaushahidi.. huoni kanafanya maisha yanakuwa simple sana .
Cruz Scope@CruzScope

@halimamdee Dada Halima kujenga taasisi sio tatizo ishu ni ur EXIT' imefanya hata hakuna finger prints mlizoacha ambazo zinakumbukwa au kiwa acknowledge

Filipino
29
1
65
15.8K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa 😂😂… Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu 😂😂😂! KWa BİTİ NZITO NZITO .. nikitaka punguza stress natembelea’ga’ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! 😂
streetAdvocate@john30747384125

@halimamdee Nakumbuka kile kikao cha mtu kwa mtu ukwamani ndugu ulikijenga chama. Acha hawa watoto wakudharau

Indonesia
218
24
408
52.8K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Umesema VYEMA … you will NEVER know.. MIE NILIAMUA Kunyamaza KIMYA . RAIA MKAMEZA takataka ZOTE mlizomezeshwa. 5 years on… sijajutia UKIMYA wangu.. MAANA naendelea KUJIFUNZA kumbe SIO KILA MTU anaweza vumilia 🥂😃! Cheers najiandaa na MECHI ya WATANİ sasa 😂!
Yours truly@Kaizersossa

@halimamdee Mwanetu naona unajibu comments leo! Anyways! I don’t know what happened to you and probably we will never know! But damn! You are such a good politician! It’s a shame you chose what you decided to choose! Goodluck kwenye mishe zako

Indonesia
89
11
225
34.3K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Pole sana kwa KUPONDA PONDA ❤️ wako..📌! Una fursa ya kuwashawishi wasome kitu kingine.
mndewa@emndewa

@halimamdee Yani we dada nilikupenda sana kwenyw siasa hata watoto wangu kulwa na doto nilipenda wakasome political science ila sasa sijui ikawaje ukashindwa kukataa Yani naunganisha na kule bustani ya Eden huwa hamkatai mabaya basi acha niumie tu

Indonesia
9
0
47
11K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Haka KAJITU kamenikumbusha WASIMAMIZI wa Uchaguzi ,Jimbo la KAWE 2020.
Halima James Mdee tweet media
Indonesia
483
146
3K
162.8K
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Kinega !! Nakutakia MAISHA MAREFU ndugu yangu.
Halima James Mdee tweet media
Indonesia
39
60
1.6K
45.7K