
Sidhani kam mafanikio ya kihistoria yatamsaidia mTanzania , we are poor we need more advancement katka vtu sensentive kam nishati ndani ya nchii tukuze sector nyingi tofaut na tuingize pesaa
#TUACHE #SIASA #SEHEM #AMBAPO #HAPAHITAJIKI NI DHAMBI
January Makamba@JMakamba
Leo naondoka Algeria kurudi nyumbani baada ya ziara mahsusi ya kikazi ya siku nane katika nchi rafiki na bobezi kwenye masuala ya nishati. Katika siku chache zijazo, tutatoa taarifa ya mafanikio ya kihistoria tuliyoyapata katika ziara hii. [video: na Waziri wa Nishati wa Algeria]
Indonesia













