Ty
9.9K posts


Barabara hii inaonekana nzuri kwa macho, lakini kiuhandisi haijakidhi viwango vya usalama. Hakuna lay-bys (maeneo ya dharura) kwa magari yanapopata hitilafu. Hii ni hatari kubwa!
Kuweka curbstones kushoto na kulia kwenye highway ni kinyume na best practices za kimataifa. Nchi nyingi hutumia shoulders (hard/soft shoulders) ili kuongeza usalama na nafasi ya dharura.
Gharama ya kuweka curbstones pande zote + markings kali kwenye km 100+ ni kubwa sana. Kwa fedha hizo, ingewezekana kujenga flyovers kwenye makutano yote muhimu na bado pesa ingebaki.
@Thommunkondya Umeona “Wazalendo” kazini?😂


Filipino

@Arap_Rono25 @Hey__Z Hamna crown FWD, For your knowledge hamna luxury car ambayo ni FWD. ukiona gari yako ni FWD ujue hyo ni entry level.
Crown wana RWD na AWD
CY

@bohny_chengula It's all about psychology, kuwa na mpenzi mmoja lkn kuwa na mindset ya kuwa na wapenzi wengi. Don't make her a center of your life, women like challenges akisha sense amekutuliza hata awe mchungaji lazima akucheze. Make her wonder why you're not giving her all of attention
English

@KhethiweAS @MadeInBongo Unatembeaje barabara moja na magari si unataka kufa. Kuna risk nyingine ni zakipumbavu sana

Unatembea 5km tu unakoswa koswa na bajaji, Subaru, bodaboda, mkokoteni, baiskeli ya Azam ukwaju, daladala na Toyota corolla ya mwaka 1990😭😭.
Aki mbinguni tutafika tumechoka sana
EZEKIAH JEREMIAH@ezzy_wix
Kama hakuna uharaka sana sehemu ya less than 5KM tembea kwa miguu.✍️ hii kitu nimejifunza kwa wazungu.
Indonesia

@Sisimizi3 Kwa gari za chin za toyota ukiondoa v8 na hilux ...crown sio garii ya kuifukuziaaa..n umemee uleeee
Suomi

@Sisimizi3 Alikua na subaru SJ5 ambayo ina hp 150 na alikua anakimbizana na crown ambayo engine ndogo ina hp 215 na LC 300 yenye hp 300. Know your car kabla ya kuunga kwenye ligi ambazo si level zako.
Indonesia

When you watch Yamal, you will agree he’s better than Olise.
When you watch Olise, you will agree he’s better than Yamal.
The difference between Lamine Yamal and Olise is mainly in how they approach the game and impact it.
Yamal is a Pure winger. Direct, fearless, loves to take on defenders 1v1. Very explosive with quick touches and sharp dribbling.
Olise is More of a creator. Slower tempo, but very smooth. He picks passes, controls rhythm, and plays with composure.
Yamal attacks you. Olise studies you.
Yamal is an Aggressive dribbler. Beats players with speed and unpredictability.
Olise is an Elegant dribbler. Uses body feints, close control, and timing rather than pace.
Yamal Creates through chaos, dribbles, quick decisions, final-third actions.
Olise Creates through vision, key passes, crosses, set pieces, and through balls.
Both are currently the best RW in the world now, just how they impact games is different.
Football Factly@FootballFactly
Agree 👀👀👀
English

Hili suala, ukiliangalia kwa jicho la kitaalamu (Technically), hili bwana haliwezi ku–operate 100% full capacity kwa sababu bado TANESCO wanafanya upgrade ya Transmission Lines ku-accommodate capacity ya 2115MW kwenye Grid
Currently lazina kuwe na hasara ya 40% operation
Masharikan 🌎@Adambrv
Poor Tanzania 🇹🇿 This is the dumbest a country can stoop kwa kweli Yani kama Wapigaji basi wamerudi with vengeance kubababeki
Indonesia

Why not just starve him until he loses 300 pounds? It's not like he can get his own food.
Architect in the North@jibrin_jj
The story of the world fattest man that consumes 30,000 calories a day
English

@ALugandu In details singida kuna barabara moja tu nzuri ya kupitia itigi ambayo pia haipiti singida mjini kama unaenda uko kanda ya ziwa
Indonesia

- 2020 Mazda3 Sedan Sportback 🇯🇵 (BP5R)
- KSh2.2 Million
- Fuel Tank: 51L
- 15-18km/litre
- Mileage: 137,740km
- Location: Nairobi 🇰🇪
- +254733665551
- michael@beyondtarmac.co.ke
- 1.5-litre 4-Cyl NA Petrol (P5-VPS)
- 116bhp @ 6000 rpm
- 150Nm @ 3500-4000 rpm
- 6 Speed SkyActiv-Drive AT
- 2WD
- 6 Airbags
- ABS
- Brake Assist
- Electronic Brakeforce Distribution
- Parking Sensors: Front and Rear
- Stability and Traction Control
- i-Activesense Suite:
√ Forward Collision Warning
√ Adaptive Cruise Control
√ Lane Departure Warning
√ Lane Keep Assist
√ Blind Spot Monitor
√ Rear Cross Traffic Alert
√ i-Stop
- Mazda Connect System with 8.8" Floating Centre Display
- Multifunction Commander Control
- Android Auto and Apple CarPlay
- 8-Speaker Mazda Harmonic Acoustics System
- 2X USB-A Ports
- Alloy Wheels
- Fabric Seats
- Wing Mirror Blinkers




English

Sio imagine.
Data za TCRA zinasema Azam ina watumiaji 1.4M kwa mwaka 2025.
Sasa imagine wamelipia watu 1 Million, hao 400k ndio wanaosua sua kulipia!!

Latto 𝕏@Rydx_017
Somebody kaniambia kuwa imagine Azam wana watumiaji million 1 na wote wanalipia 28k Kwa mwezi hiyo ni Billion 28 😀😀 Sawa na $11 Million!!
Indonesia

What does keyless entry mean ? How do I open the door ?
MÙSAKÙRÙ@musakuru45
VOLKSWAGEN GTI Yom 2015 2000cc PETROL TURBO STRATIFIED INJECTION (TSI) 6-SPEED DIRECT SHIFT GEARBOX (DSG) WITH SEQUENTIAL PADDLE SHIFTERS COLD AIR INTAKE DAYTIME RUNNING LIGHTS FOG LIGHTS TUNED TO STAGE 1 REAR DIFFUSER SIZE (R18) ALLOY RIMS KEYLESS ENTRY .......
Kabete, Kenya 🇰🇪 English

@tyball08 @kasesco_tz lakini kitu cha muhimu ni hiki 👇
baridi yenyewe haifanywi na umeme
baridi inatengenezwa na A/C compressor system, na compressor inazungushwa moja kwa moja na engine kupitia belt
Indonesia











