Ally Salum Hapi

3.6K posts

Ally Salum Hapi banner
Ally Salum Hapi

Ally Salum Hapi

@AllyHapi

Farmer 🇹🇿

Dar es Salaam, Tanzania Bergabung Mart 2013
285 Mengikuti46.6K Pengikut
Ally Salum Hapi me-retweet
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, Askofu Bernadin Francis Mfumbusa kilichotokea Aprili 14, 2026 jijini Dodoma. Pamoja na kuwatumikia wananchi kiroho, tutamkumbuka kwa umahiri wake uliochangia kukua kwa sekta ya mawasiliano nchini kupitia mafunzo na ulezi kwa wanahabari, uongozi na utafiti. Ninatoa pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Wolfgang Pisa, Maaskofu, Mapadri, Watawa, familia, ndugu, jamaa, marafiki, waumini wa Kanisa Katoliki na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
44
56
224
21.9K
Ally Salum Hapi me-retweet
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Mapema leo katika Dua Maalum ya Kumwombea Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mwasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na mmoja wa waasisi wa Taifa letu. Leo ikiwa ni kumbukizi ya miaka 54 tangu kifo chake, tunamuenzi kwa ushiriki wake katika kazi kubwa ya kuweka msingi wa ujenzi wa jamii bora yenye amani, umoja, ustawi na maendeleo yanayogusa maisha ya wananchi wote.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
33
69
179
17K
Ally Salum Hapi me-retweet
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, jana Aprili 4, 2026. Ninatoa pole kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao na wananchi wote walioathirika na ajali hiyo kwa namna mbalimbali. Nimeziagiza mamlaka za uchunguzi kufanya kazi ya kubaini chanzo cha moto huo, kufanya tathmini ya madhara na hasara iliyotokea na kuchukua hatua stahiki haraka.
Indonesia
58
60
230
37.5K
Ally Salum Hapi me-retweet
The Wall Street Journal
The shooting down of two American warplanes was the most serious example of Tehran’s ability to raise the cost of the war for Washington on.wsj.com/4dsk5vp
English
222
1.2K
4.5K
305.6K
Ally Salum Hapi
Ally Salum Hapi@AllyHapi·
Leo nimeshiriki maziko ya marhum kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, marh. Capt Abbas Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Unguja. Allah amjaalie kauli thaabit. Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raajiuun.
Ally Salum Hapi tweet mediaAlly Salum Hapi tweet mediaAlly Salum Hapi tweet mediaAlly Salum Hapi tweet media
Indonesia
1
0
3
579
Ally Salum Hapi
Ally Salum Hapi@AllyHapi·
Mapokezi ya vijana wa TK Movement walionialika kufungua semina yao ya viongozi wa wilaya na mikoa yote Tanzania jijini Dodoma 🇹🇿
Ally Salum Hapi tweet mediaAlly Salum Hapi tweet mediaAlly Salum Hapi tweet mediaAlly Salum Hapi tweet media
Indonesia
15
13
126
6.3K
Ally Salum Hapi me-retweet
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Leo ni siku ya kipekee katika sekta ya kilimo na uchumi wa nchi yetu kwa ujumla, ambapo nimezindua Benki ya Ushirika Tanzania. Benki hii ni sehemu ya kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kuongeza tija katika sekta ya kilimo. Uanzishaji wa benki hii unalenga kutimiza hitaji la wananchi la upatikanaji wa mitaji kwa wakulima, hasa wakulima wadogo walioko vijijini. Hatua hii ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (2020-2025) ambapo itachochea zaidi maendeleo nchini ikiwemo ajira kwenye kilimo, ukuaji wa Pato la Taifa, upatikanaji wa malighafi za viwandani na kuhakikisha usalama wa chakula. Nimeielekeza benki hii kuwa bunifu katika kutanua wigo wa huduma zake pamoja na kusimamia kikamilifu fedha zinazotolewa, ili kujihakikishia uimara, uwezo wa kujiendesha kibiashara na uendelevu wa benki yenyewe.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
154
235
708
56.4K
Ally Salum Hapi me-retweet
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino. Tuendelee kumwombea kwa Mwenyezi Mungu alale mahali pema.
Samia Suluhu tweet media
HT
273
246
905
110.4K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@AllyHapi Vijana wengi hawawezi kujua umuhimu WA kua na kiongozi kama wewe Allah protect you brother 🙏🏾
Indonesia
1
0
1
92
BIGMAESTRO💣
BIGMAESTRO💣@Xlarger7075·
@AllyHapi Mentor keep shinning, we still follow and watch any step you count.🏆🤍👑
English
1
0
1
56
BILL ADAMSON
BILL ADAMSON@billadamson_·
@AllyHapi Niwe mwanafunzi wako bro,nifuate nyayo zako
Filipino
1
0
1
382