Stephano Mkulima

276 posts

Stephano Mkulima banner
Stephano Mkulima

Stephano Mkulima

@StephanoMa67973

A farmer, A political analyst and carrier diplomat (International relations analyst)

Babati Katılım Temmuz 2023
601 Takip Edilen37 Takipçiler
Stephano Mkulima retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kila mwanzilishi wa biashara au kampuni hujenga vitu viwili kwa siri: biashara na uvumilivu wake.
Indonesia
0
12
63
1.8K
Stephano Mkulima retweetledi
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Elimu ni mbegu, Maarifa ni maji, Uelewa ni jua, Ndoto ni udongo, Maono ni hewa, Bidii ni jembe, Utendaji ni mche, Uzoefu ni mbolea, Uvumilivu ni matunda, Mafanikio ni mavuno.
16
108
628
28.2K
Stephano Mkulima retweetledi
Mkushi
Mkushi@Mkushiiiiii·
Kuvaa vizuri sio kufake Maisha kaa tu smart Mkuuu! Acha kufanana na shida Zako.🫡
24
116
971
38.1K
Stephano Mkulima
Stephano Mkulima@StephanoMa67973·
@John_Pambalu Tukiachana na ushenzi wa kisiasa Sisi pia ni binadamu yafaa nn hata iwe hvi?
Indonesia
0
0
0
1.3K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Lala salama kamanda. Pumzika shujaa
John Pambalu tweet media
Latviešu
30
126
731
21.2K
Stephano Mkulima retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Dogo alipo nimaliza pale alipo sema "ukinichukua ukinipiga, ukiniua wewe utajua mweny... Mimi naishi maisha yangu" tumefika pabaya sana dogo anaona hana chakupoteza.😥
The mandevu tweet media
Filipino
69
164
1.8K
43.9K
Stephano Mkulima retweetledi
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Aliniambia tukafanye kazi. na mimi ni mtu wa kazi. siwezi acha kazi. kazi ni kazi . na mimi siezi acha kazi . kwasababu sina kazi.
Indonesia
7
30
201
5.4K
Stephano Mkulima
Stephano Mkulima@StephanoMa67973·
@yose_hoza @GraceNguo Acheni kutuonea tuliozaliwa nje ya ndoa.... Alafu punguzeni maelekezo Kila mtu ni mara yake ya kwanza kuishi duniani
Indonesia
1
0
0
14
Holy
Holy@yose_hoza·
@GraceNguo 1. Kuzaa mtoto ni baraka 2. Kuzaa mtoto ni kukua kuingia kwenye hatua ya pili ya maisha baada ya kuzaliwa na kuishi 3. Kuzaa mtoto ni agizo la Mungu (Mwanzo 1-3) NB: Muhimu kuzaa katika mpango wa Mungu (Ndoa) ili malezi yawe ya wazazi wote wawili japo ukizaa nje ya ndoa tubu.
Indonesia
2
0
0
217
Saumu Farms🧄
Saumu Farms🧄@Nalimasaumu·
Tumefanya trials ya Kuzalisha mbegu za Kitunguu maji Lengo ni kuwa na OPV tulizoziandaa sisi So far maendeleo ni mazuri 😍 #Harakatizakilimo
Saumu Farms🧄 tweet media
Indonesia
16
15
84
4.7K
Stephano Mkulima retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Mapazia tangu niyanunue sijawahi kuyafua yenyewe yanajua bado yapo dukani😂
Indonesia
18
34
457
11.6K
Stephano Mkulima retweetledi
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Unapomaliza chuo kuingia mtaani kuna ule muda wa kutolewa mawenge na uhalisia. Picha yako ukiwa umechomekea kwenye kiti cha kuzunguka inaanza kupotea taratibu. Survival instincts zinaanza kukuingia. Unaanza kukubaliana kwanza na uhalisia uliokua nao muda huo. 😂
Filipino
49
93
745
29.5K
Stephano Mkulima retweetledi
Agribusiness Media
Agribusiness Media@agribusinesszw·
No matter how many mistakes you make or how slow your progress is in your farm business, remember that you are still ahead of people who have not started and those who have given up. #agribusinesstalk
Agribusiness Media tweet media
English
2
9
51
3.1K
Stephano Mkulima retweetledi
OSCAR MSANZI
OSCAR MSANZI@OscarMsanzi·
Ukiachana na kujituma siri nyingine ya kuvutia kupata unachotaka ni kushukuru kwa Yale mazuri ambayo tayari unayo ✍🏿 .
Filipino
3
26
123
1.9K
Stephano Mkulima retweetledi
Luhaga Mpina
Luhaga Mpina@LuhagaMpina·
“CCM inaweza kuongoza nchi hii hata kwa kutumia mabwege.” - Baba wa Taifa, 1995
Luhaga Mpina tweet media
Indonesia
77
195
1.3K
26.6K
Stephano Mkulima retweetledi
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Huyu mke...
1
11
56
3.1K
Stephano Mkulima retweetledi
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Huu ni Ujumbe Mzito Kwa Kila Kijana anatakiwa Kuujua Chapa Repost Hapa Kuusambaza…!!
Fumbo Khan tweet media
12
152
1.5K
85.8K
Stephano Mkulima retweetledi
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Kuna stage utafika, vitu vingi sana vibaya vitasemwa dhidi yako, na watu wengi sana wataviamini na kukuchukia bila hata ya kusikiliza upande wako wa story.
Indonesia
11
34
339
8.3K
Stephano Mkulima retweetledi
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Myunani tweet media
Tanzania 🇹🇿 ZXX
15
37
837
37.3K
Stephano Mkulima retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
"Usimdharau wakati wa mwanzo mdogo, maana Bwana hupenda kuona kazi ikianza." Zekaria 4:10
Indonesia
3
43
339
7.3K