Kayanda
2.8K posts


Soma hiyo hiyo biblia, huku utajibiwa na ambao hawajaisoma kabisa.
DIGGALLER💯@Danford_tz
Kwahiyo Yuda Iskariote Alijinyonga au Alianguka akapasuka tumbo?? Biblia imenichanganya hapo!
Indonesia
Kayanda me-retweet

@KayandaPM @fumbokhanJr Leo siku ya ngapi umelala na njaa?
Indonesia

Hawa ni wasemaji wa Majeshi yao wanao mkondesha Trump.
Namba Moja anaitwa Iran, Ebrahim Zolfaghar Msemaji wa majeshi yote ya Iran
Wapi pili anaitwa Yahya Saree msemaji wa Majeshi yote ya Yemen.
Hawa Watu wawili wamemfanya Trump adhoofike mwili na Akili kama mnavyo muona hapo kwenye picha ndogo.
Nieleze ni msemaji yupi hapo hua anakukosha ?

Indonesia

This is a scrotum in the picture and the procedure being done is vasectomy.
Vasectomy is a safe, highly effective and permanent method of family planning.
The doctor will just cut and seal the tubes that carry sperm from the testicles. It is just 15–30 minutes.
Ejaculation and sex drive continues, but sperm is no longer present in the semen.
Men, will you be willing to undergo this? 🤔

English

Kama haoni pa kupigia honi, anawezaje kuona barabara ??
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢@kirigitim
Leo ndo nimegundua kuwa hivi vi upele vya kwenye uskani viliwekwa ili kuwasaidia madereva vipofu kuweza kutambua sehemu ya kupigia honi wakati wa safari🙌. Noma sana.
Polski

Na vocha iliitwa dollar, hapakuwa na ya 500, ilianzia 5000, hapakuwa na sms wala ku beep. Line iliuzwa 5000. Hakuna line ya bure.
Shifu.👤@alekkin254
Millennials mjue hatujasahau mlikua mnaita smartphone "touchscreen "
Filipino




















