Tweet Disematkan
Modesta Z
156.1K posts


@_kingOFstreet Hupewi kwa hiyo hela labda wenyewe kwa wenyewe tu ya kupoteza maboya ujue bidhaa zao ni rahisi
Indonesia

Kama ni mtu wa kwenda minadani nahic ushawah kutana na Hawa lusha nguo si ndio eeh😌😌
Sasa kuna wale wanao lushaga mabeg, vitengee na baadhi ya nguo utakuta beg la elf 30 anadai anakuuzia kwa elf kumi hiv hizii bidhaa ushawah nunua? Na je Yale mabeg yanakuwaga imara kwel?
Mimi mwenzenu mgumu sanaa kuamin vituu na Huwa sosogei kbasa

Filipino

kutoa ass hole
lesbian
hizi nimezikataa kwa gharama yoyote duniani na mbingu imeingilia kati🙌🏾
kama Mungu ni wa wote huo utajiri atanipa sio lazima nifanye huo ujinga
SPOON@TonnyUnfiltered
Ni dhambi gani huwezi kufanya na hufikiri kufanya ata ulipwe kiasi kingi cha pesa?
Indonesia
Modesta Z me-retweet

Unajua kwanini nchi kama Kenya hamna watu kama Mange Kimambi??
Sababu watu (kila mtu) wana uhuru wa kuongea na kukosoa Serikali yao hadharani, mta lalamikia wanaHarakati ila ukweli unabakia kwamba ni MMEWATENGENEZA WENYEWE..
#FreeNinja
Indonesia
Modesta Z me-retweet

My sis just told me coz she has a shop near Ninja place ni kapiga kelele sana tu hawa watu me siwajui na hapo Google park kunajaa watu 24/7 ila nobody even bother aise watu hatuna utu. #FreeNinja
Indonesia
Modesta Z me-retweet

Talk to me nicely... Might offer you an admission to WMU in the US...

Lusaka Radio🎧97.7@Joe_Kafuba_MD
Of all the international students I've met from the Southern region of Africa I've never met one from Tanzania... They don't learn that side?
English

Open ya dm ma'am 😫
Muuza viatu🌹@Agnesskanje
Best dick comes from a skin nigga who smoke a lotta weed.
Indonesia

Video hii hapa.. 😂😂😂😂
Kule mwishoni ndio utakufa kucheka.. just be patient 😂😂
Dada Conso 🐺@DadaConso
Kuna video huko TikTok, mtoto wa Zumaridi amerudi kutoka India.. Kaja na rafiki yake, sio mhindi.. ni mswahili mwenzetu mmoja wamemkandika make ups 😂😂 Si wakaanza ku-dance kihindi? Kanisani waumini wamelipuka Kwa shangwe na vigelegeleeee.. I was like:
Indonesia
Modesta Z me-retweet

SOUTH AFRICA KILA MARA WATANZANIA WANAUWAWA.
Jana amefariki huyu Jamaa anaitwa JOE ZAMU ni mzaliwa wa Arusha.
Huyu jamaa amefariki kwa kuchomwa moto mjinj Cape Town akiwa ndani na mwanamke wake wa kiSouth Africa jamii ya Kaladi.
Kaladi ni wale machotara wa ki South Africa ambao wengi wao wamechanganya damu baina ya mtu mweusi na Mzungu, Muhindi au Mwarabu kisha akazaliwa mtoto.
Joe pamoja na mwanamke wake wamefariki hapo hapo kiasi cha kushindwa kutambulika yupi ni Yupi, na wamechomwa moto na raia wa South Africa 🇿🇦
Mpaka sasa Jamii ya Watanzania wanaoishi South Africa wanawatafuta ndugu zake na Joe ili wawape utaratibu juu ya ufanyaji DNA ili kuweza kutambua mwili wa Joe Zamu ni upi.
Hii si Mara ya Kwanza, Karibu kila Mwezi kuna Raia wa Tanzania anauawa South Africa, Na jamii ya Watanzania waishio South Africa hushirikiana Kwa Kila kitu.
Joe ana tambulika kuwa nyumbani kwao ni Arusha kwa maelezo ya marehemu kipindi cha uhai wake.
kwa yoyote yule mwenye details za Joe Zamu kuhusu familia yake anaombwa kuwasilisha taarifa kupitia namba hiyo chini.
+255763005575
Mohamed Taibalh Hamza Msangi

Filipino
Modesta Z me-retweet

Mojawapo ya kigezo Cha kuwa mwanaharakati (activists) mzuri ni kuwa na the RIGHT/TRUE/ACCURATE data, details, information..
Hata kwenye kutoa maelezo kuwa why unapambania unachopambania inakuwa rahisi kujielezea bila ku-jam mid-sentence..
Mimi ukiniuliza why napambania vijana wafanye kazi kwenye mazira mazuri na salama huwezi nisikia na-jam.. I'll tell you why. Tena Kwa lugha nyepesi kabisa.. #ElimikaWikiendi #SafetyFirst

Filipino
Modesta Z me-retweet

WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!!
Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!!
SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !!
Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu


Indonesia
Modesta Z me-retweet









