Samson Charles

1.6K posts

Samson Charles banner
Samson Charles

Samson Charles

@SamsonChazz

Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa na maendeleo hapa EATV. Mkurugenzi wa sadaka yetu group (instagram sadaka_yetu)

tegeta Dar-es-salaam Tanzania Bergabung Mayıs 2012
276 Mengikuti786 Pengikut
Samson Charles
Samson Charles@SamsonChazz·
Mc Chaz. Harusi, Send off nk Nicheki 0715 568653
Samson Charles tweet media
Indonesia
2
0
5
200
Samson Charles me-retweet
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
#NgengazaSiasa: Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kinachotakiwa ni wapinzani waseme sera mbadala ambazo zitawashawishi wananchi kuwapa kura na kama hawana waendelee kuuza Nyanya Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio Host : @SamsonChazz #EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia
85
5
105
21.4K
Samson Charles me-retweet
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
#NgengazaSiasa: (Hoja mezani ni kuhusiana na tume huru ya uchaguzi) Bi. Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake ACT wazalendo anatoa ushuhuda kwenye moja ya uchaguzi aliyoshiriki kwenye eneo (X) na hali ilivyokuwa. Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio #EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia
0
1
6
1.3K
Samson Charles
Samson Charles@SamsonChazz·
Usiku wa Glory na Jonathan. Leo 21 February 2025. Toto la Kigoma chap chap kihalali kabla ya mnuso wa jumapili. Mc Chaz 0715 568 653
Samson Charles tweet media
Filipino
0
0
1
72
Samson Charles me-retweet
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Weekend ijayo haiwezi kuwa ya kinyonge kwa wakazi wa Kilimanjaro, kwani Team nzima ya EastAfricaTv na EastAfricaRadio itakuwa hapo kwa jambo moja kubwa la kuhakikisha binti anaendelea kubaki shuleni. Tumedhamiria tunaposema Binti abaki shuleni kwani tuanza na wilaya ya Same na Hai kwa ajili ya zoezi letu la kumthamini binti Shukrani kwa Taasisi ya Elimu Tanzania na wadau wote walifanikisha kwa hali na mali zoezi hili kwa msimu wa 9 sasa. #Namthamini #Nasimamanaye #EastAfricaTv #HainaKuchoka #Taasisiyaelimu
Filipino
0
2
7
3.3K
Samson Charles
Samson Charles@SamsonChazz·
Ungana nami Leo 12 Februari 2025 saa 1 usiku hapa EATV Pekee.
Indonesia
0
0
2
72
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nitakuwa WAKALA wa KURA za USHINDI za Mheshimiwa TUNDU LISSU Leo. So it will be fine!
Filipino
258
548
4.8K
153.3K
Samson Charles me-retweet
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
#SupaBreakfast : Inahitaji utulivu wa hali ya juu kuelewa mazungumzo haya na anachokisema @samson_chazz ni mtazamo wa kile kinachoendelea kwa sasa ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe Video 👇
EastAfricaRadio tweet media
Indonesia
38
34
925
118.9K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
MBOWE AMEKAMATWA NA JESHI LA POLISI MUDA HUU. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi Magari yameharibiwa kwa kuvunjwa Vioo,Watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya mno,wamepoteza simu na fedha. Polisi wamempakia Mheshimiwa Mbowe katika Defender na Kutoweka naye pasipo Julikana. Viongozi wengine waandamizi wamekamatwa na Kupakiwa katika gari tofauti na ile iliyombeba Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
295
367
1.9K
122.2K
Samson Charles me-retweet
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#VIDEO "Zaidi ya watoto laki moja wana udumavu katika mkoa wa Dar es Salaam, watoto waliodumaa hawatoweza kufikia kiwango kizuri cha kufikiria, kusoma na hata kutoa maamuzi wakiwa wakubwa," - "Mwanamvua Zuberi, Afisa Lishe wa mkoa wa Dar es Salaam #ElimuYaLishe #Mjadala #EastAfricaTV
Indonesia
2
4
9
4.1K