Halima James Mdee
20.5K posts

Halima James Mdee
@halimamdee
....................

@halimamdee Tusubiri YANGA vs SBS. sijui fainali ni timu zipi.

@halimamdee Halima kukijenga chawa Kwa nguvu kubwa hakukupi mamlaka ya kusaliti. Hatujawah kuwa na mjadala wenye kupuuza harakati zako katika ujenzi wa Chadema ila usaliti ndio kinachoondoa heshima yako .

@halimamdee Dada Halima kujenga taasisi sio tatizo ishu ni ur EXIT' imefanya hata hakuna finger prints mlizoacha ambazo zinakumbukwa au kiwa acknowledge

@halimamdee Nakumbuka kile kikao cha mtu kwa mtu ukwamani ndugu ulikijenga chama. Acha hawa watoto wakudharau

@halimamdee Mwanetu naona unajibu comments leo! Anyways! I don’t know what happened to you and probably we will never know! But damn! You are such a good politician! It’s a shame you chose what you decided to choose! Goodluck kwenye mishe zako


@halimamdee Aanze kulima na Twitter amuachie nani🤣🤣🤣

@halimamdee Nianze kutafuta mashamba penseni ikitoka tukalime Mh.Halima?

@halimamdee Yani we dada nilikupenda sana kwenyw siasa hata watoto wangu kulwa na doto nilipenda wakasome political science ila sasa sijui ikawaje ukashindwa kukataa Yani naunganisha na kule bustani ya Eden huwa hamkatai mabaya basi acha niumie tu

@halimamdee Kwaio sister tukutegemee CHAUMA au?



