Venture Rafael

3.5K posts

Venture Rafael banner
Venture Rafael

Venture Rafael

@venture_rafael

🇹🇿 Manchester United FAN

Bergabung Aralık 2013
176 Mengikuti1.3K Pengikut
Mzee wa Chuki 🤬
Mzee wa Chuki 🤬@PapiiKhan98·
Unakumbuka ulikua unaenda kudai Marks kwa walimu…. Sahivi umekua winga unadai Ganji.😂😂😂🙌🏼
Indonesia
36
61
340
9.7K
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
Kili Fair 2026 Arusha, Tanzania. Huu Mji kila siku shughuli kama wana udugu na Wazaramo 🙌🏽.
Shakur Faith tweet media
Indonesia
83
65
424
26.2K
Venture Rafael me-retweet
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kama jana haikuwa siku yako, usikate tamaa. Kitabu cha maisha hakina ukurasa mmoja tu. Asubuhi njema na siku njema ya ushindi
Indonesia
52
89
163
2.4K
MchaggaElite🩺
MchaggaElite🩺@Dr_ShirimaElite·
Nikipost tweets za kizungu hamgusi kabisa wakubwa shida nini ..!!??😂
Indonesia
25
23
59
1.4K
Kibayasi FS 🇹🇿
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF·
Mzazi wako kastaafu, upo home huna Ajira. Cha ajabu katoa 10M mchango wa Kanisa. #Hallelujah 🙌
Indonesia
44
45
519
23.5K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kama haujala usiku huu na hauna hela andika neno "Magumu" kwenye comment section
Filipino
45
26
122
3.4K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Niliwahi kuwafungisha watu ndoa kupitia post yangu ya instagram!! Na leo wamenambia wamepata mtoto wa kiume wanempa jina “Roma” Ilikuwa hiviiiiiiii….. Kuna siku nilipost andiko fulani Instagram, lile andiko lilileta sana mjadala kwenye comments!! Umewahi kuona unapost kitu then wanatokea watu wanaanza kubishana wao kwa wao kwenye comments za post yako!? Unakuta post ina comments 500, ila 100 ni za replies zao!! Basi ndivyo ilivyokuwa, kuna mchizi na sister du flani hawakuwa hata wanajuana wakaanza kubishana kuhusu nilichoandika….sikuwazingatia hata!! Miaka ikapita, siku moja yule mchizi akanicheki DM na kunisimulia. Kumbe walivyobishana sikuile kwa comments, wakahamia DM, baadae wakawa marafiki, baadae wakaja kukutana…..wakatongozana. Binti akatepeta….mchizi akaishi!! Ndio ile DM alikuwa ananihadithia wamefunga ndoa na makutano yao yalikuwa kwenye Post yangu!! Leo kanambia wamepata mtoto wa kiume wamemuita “Roma” ❤️ kama kumbukumbu ya mtu aliyewakutanisha!!
Filipino
74
130
1.5K
52.4K
🥂
🥂@joyfullypillow·
Glory Glory Man united 😌
🥂 tweet media
English
22
25
240
10.7K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
💀💀💀
RaHeeM tweet media
QME
5
4
25
3.5K
Zed
Zed@zed_ogtz·
Lazima Tupate Kitu Roho Inapenda, Wewe Baba Bora Mninyonge Mimi Sioi Kimbau Mbau Najijua, Mimi Napendaga Ndembe ndembe Bora Kuwa Single Kuliko Nusu Mtu, Nataka Nikipita Nae Mkono Juu Mwendo Wa Mateka.. Watu wewe.... Watu Ohhh Ohhh!! 👏✌️
Zed tweet media
Indonesia
27
32
101
13.2K
fantasy 🤍🧚
fantasy 🤍🧚@Fefe_doll·
Kwenye familia yenu wewe ni wangapi kuzaliwa?
Indonesia
83
63
178
10K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Maisha ni magumu lakini hakikisha una mtu wa kukuuliza siku yako ilikiwaje leo?
Indonesia
19
33
293
8K
Mahaken Nyange
Mahaken Nyange@Nyangemahaken·
Nimeachika nifanyeje ndugu zangu?
Euskara
22
12
49
4.5K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kila mwezi wa tano denge amekuwa akichezea sana ndoige 😁
Mwinshehe 🕊️ tweet media
Filipino
80
105
922
42.1K